Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Kuna tabia ya kijinga sana ya kuchukua picha kwenye angle ya mbali isiyoonyesha uhalisia wa ukubwa wa idadi ya watu na kusema mkutano hauna watu. Kuna mwingine amefanya kama wewe kwenye mkutano wa ccm. Haina maana. Kama watu walijaa ni walijaa and vise versa.
 
Hii picha ww umepiga sangap, Dodoma watumsihi wote hawaruhusiwi kuhudhuria mkutano wanachunguzwa, wafanya biashara nao waoga sana sasa subiri kwenye sanduku la kura ndio utashangaa kura zote za dodoma zimetoka wapi. watu wanaogopa kujitokeza hadharani hapo ni sehem nyeti ya kuchorwa nchi ipo hapo
 
hali ilivyo na kama muonavyo kule juu inasakwa picha ya nyomiView attachment 1558340
Labda watu bado wanakuja muda bado.
Na hiyo.picha wkii post YouTube usiku wanmeshaitoa kwa fundi kuishona utahdani ni wengi saana.
Angalia picha ya arusha kuna sehemu wameishona mpaka mshabiki wao NGURUMO nae akaistukia.
 
Watu wanaenda mikutano ya ccm kushangaa wasanii.
 
Shida inakuja pale ambapo hizo za kuonyesha watu wengi hazipo. Hujiulizi mbona picha za mwanza na arusha zilikuwa nyingi sana na video clipa nyingi kweli kweli??
 
Dodoma ambako ndiyo makao makuu ya CCM na Serikali wananchi wake ni mazezeta. Dodoma ndiyo wanakotoka omba omba wote nchini, wanaishi nyumba za mgongo wa tembo (yaani sakafu udongo na paa udono) lakini bado wanachagua CCM.

WAGOGO HAWAJITAMBUI
 
Kushinda atashinda iwe kukandamiza kisukuma au kizenj atashinda tu,tatizo anataka ushindi kwa kishondo by 99.9% by far lakini most likely atapata 70 -80%.
Kama hawajai mbona mzee ana wasiwasi sana[emoji1787][emoji1787]
 

Unataka upostiwe wewe picha?

Kumbe ishu siyo "uwingi wa watu" tena ila ni wewe uone picha zinazopostiwa na viongozi wa CHADEMA, au siyo?

Nimekuambia una tatizo wewe....!!

Jibu lako ni hili;

Kote Shinyanga, Tabora na sasa huko Dodoma, maelfu ya watu kwa hiari yao wanahudhuria mikutano ya ufunguzi wa kampeni za mgombea Urais CHADEMA ya kikanda...

Sasa kama wewe unasubiri picha, kana kwamba picha ndo zinasikiliza sera za mgombea na baadae kupiga kura, basi kalaghabhaho...
 
Kamanda, tusifiche moshi utatuumbua. Ifanyike namna watu wahamasike waje kwenye kampeni zetu
Wewe ni lumumba, haya maigizo yako hayamsumbui mwerevu, endelea kudanganya wajinga wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…