Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #81
Unamaanisha ccm wanawaambia watu wasijitokeze?Mataga bana mnataabika Sana, chadema watatoboa tu hata Kama ccm mnawahujumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha ccm wanawaambia watu wasijitokeze?Mataga bana mnataabika Sana, chadema watatoboa tu hata Kama ccm mnawahujumu
Achana nae huyuHiyo picha aliyoleta moana kama imepigwa asubuhi hivi
Hii picha ww umepiga sangap, Dodoma watumsihi wote hawaruhusiwi kuhudhuria mkutano wanachunguzwa, wafanya biashara nao waoga sana sasa subiri kwenye sanduku la kura ndio utashangaa kura zote za dodoma zimetoka wapi. watu wanaogopa kujitokeza hadharani hapo ni sehem nyeti ya kuchorwa nchi ipo hapoNiwe muwazi mimi binafsi nina amini katika mabadiliko, mabadiliko ndiyo chachu ya maendeleo sehemu yoyote ile.
Nimeona na nimekuwa nikifatilia mikutano yote ya mgombea wetu hapa Dar na kuna afadhali kidogo japo mkutano wa segerea na kawe ulikuwa hauna watu sana, atleast kule Mbagala.
Naanza kupata picha, pengine kuna kitu hakipo sawa Chadema.
Tusi-conclude kuwa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wanafata wasanii tu, hapana.
Ila kama wanafata wanancho wengi wanafata wasanii huko ccm basi sawa, ila pia basi kwa uwingi huohuo na kwa aina ya kukubalika kwa chama chetu basi walitakiwa pia wafate/waje kwa wingi kwenye kampeni zetu.
Kuna mikoa hadi sasa sinaelewa nini hasa kimetokea kutokana na uchache wa watu waliohudhuria tena kwenye viwanja vidogo sana ambavyo tumwchagua kufanyia kampeni.
Tuliona watu kule mwanza na tulifarijika sana na hilo na hadi tukatumia ndege nyuki (drones) kupiga picha za kampeni zetu. Ila baada ya hapo sikuona tena picha za juu (za drone) kwenye kampeni zetu.
Kilichotokea shinyanga, tabora na sasa dodoma ni aibu. Chama kitafute namna au kubadili mbinu ya kampeni ili tuweze kuvuta watu wengi waje kusikiliza sera.
Chini ni picha ya watu waliohudhuria kampeni hii leo huko Dodoma.
Lakini chama kikija na mbinu nzuri, watu watahamasika. Ila kwa sasa hali ni mbaya, watu hakuna kabisa kwenye mikutano yetuWameanza kumchoka
Labda watu bado wanakuja muda bado.hali ilivyo na kama muonavyo kule juu inasakwa picha ya nyomiView attachment 1558340
Shida inakuja pale ambapo hizo za kuonyesha watu wengi hazipo. Hujiulizi mbona picha za mwanza na arusha zilikuwa nyingi sana na video clipa nyingi kweli kweli??Kuna tabia ya kijinga sana ya kuchukua picha kwenye angle ya mbali isiyoonyesha uhalisia wa ukubwa wa idadi ya watu na kusema mkutano hauna watu. Kuna mwingine amefanya kama wewe kwenye mkutano wa ccm. Haina maana. Kama watu walijaa ni walijaa and vise versa.
OK mkuuShida inakuja pale ambapo hizo za kuonyesha watu wengi hazipo. Hujiulizi mbona picha za mwanza na arusha zilikuwa nyingi sana na video clipa nyingi kweli kweli??
HahahhahaLissu akipita karibu na sumaku anavutwa
Dogo unahangaika Kama kuku anataka kutagaSishindwi mpaka chama chetu kihamasishe watu wahudhurie kwa wingi kwenye kampeni
Magufuli alipita Karibu na pombe......Lissu akipita karibu na sumaku anavutwa
Kama hawajai mbona mzee ana wasiwasi sana[emoji1787][emoji1787]
Kamanda punguza jazba, tatzo mnaongea maneno matupu. Jiulize swali rahisi sana, siku ya mkutano wa kampeni kule mwanza viongozi wengi walipost picha na video clips nyingi sana, kila ulipopita unaona wanaonyesha kilichotokea mwanza.
Na hadi picha za juu(za drones) kwa mwanza tuliziona nyingi sana.
Sasa jiulize, kimetokea nini huko shinyanga na tabora tusione picha nyingi za juu na videos clips?
Ila punguza munkari, tunajenga nyumba moja
Wewe ni lumumba, haya maigizo yako hayamsumbui mwerevu, endelea kudanganya wajinga wenzio.Kamanda, tusifiche moshi utatuumbua. Ifanyike namna watu wahamasike waje kwenye kampeni zetu
Huyo mjinga mleta uzi ni kada wa lumumba, msihangaike nae hana akili.Hizi picha zilipigwa wakati watu wanaanza kuwasili uwanjani