Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile.
Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi wetu.
Tabia hii imeendelea nimejikuta asubuhi lazima nianze na pono kwanza. Hapo ndo najisikia nimeanza siku vizuri. Na chapati tatu kubwa basi...siku inakuwa mujarabu kabisa.
Siku moja usiku katika pita pita nikaona changu buguruni. Ilikuwa mida ya saa 4 hivi usiku. Nikaona angalau leo nijaribu changudoa. Basi nikachukua moja huyo mpaka ghetto. Nligundua kumbe sikuwa nimemaliza kupata utamu. Changudoa ni watamu sana.
Nlimgonga mkavu maana nikasema huyu inabidi nimsikilizie ladha yake nipate utamu kamili. Changu ni watamu. Watamu sana asikwambie mtu. Na vile asubuhi nilipata supu ya pono na chapati. Basi nilikuwa fresh sana. Nikamgonga changu nikalala vizuri.
Naye sasa amekuwa samaki pendwa. Sikosi kula changu kwa siku.awe wa kukangaa au wa kuungwa na nazi. Na kwa sasa naenda nunua ferry pale kwa tsh 30 napata wa kutosha tu.
Basi nabadilisha. Mara supu ya pono na chapati au mchemsho wa pono au changudoa.
Papa kwa sasa situmii sana. Hawa pono na changu ni wazuri unaweza wapika kama supu au mchemsho na ndizi au viazi ukala ukalala. Kwa sisi ambao hatujaoa wanasaidia sana. Sasa nmekuwa mlevi wa hawa samaki mpaka nahisi nahitaji msaada wa kisaikolojia. Sifahamu samaki wengine wakoje.