MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Sioni kama kuna shida yoyote mkuu
Maisha yenyewe mafupi raha jipe mwenyewe mkuu
Huoni mimi napenda pombe

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo lazima mtu akuite mjinga, pili hakuna samaki anaitwa changudoa bali CHANGU, samaki huwezi kulala naye ukasema mtamu bali binadamu kwa kufanya naye ngono!.Wewe ndo upunguze zinaa, soma wapi kaongelea zinaa?
Mkuu huu uzi kwa uandishi wake wadau wengi wanaona manyota na mareli tu, watz hatutakagi vitu vigumu ama namna gani[emoji1][emoji1]Watanzania wengi ni Vilaza sana sababu hata kuelewa vitu vidogo ni kazi sana. Wewe umejaza kwenye akili yako ngono tu?
Umesoma huo uzi hadi mwisho ukaelewa mantiki ya mleta uzi?
Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile.
Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi wetu.
Tabia hii imeendelea nimejikuta asubuhi lazima nianze na pono kwanza. Hapo ndo najisikia nimeanza siku vizuri. Na chapati tatu kubwa basi...siku inakuwa mujarabu kabisa.
Siku moja usiku katika pita pita nikaona changu buguruni. Ilikuwa mida ya saa 4 hivi usiku. Nikaona angalau leo nijaribu changudoa. Basi nikachukua moja huyo mpaka ghetto. Nligundua kumbe sikuwa nimemaliza kupata utamu. Changudoa ni watamu sana.
Nlimgonga mkavu maana nikasema huyu inabidi nimsikilizie ladha yake nipate utamu kamili. Changu ni watamu. Watamu sana asikwambie mtu. Na vile asubuhi nilipata supu ya pono na chapati. Basi nilikuwa fresh sana. Nikamgonga changu nikalala vizuri.
Naye sasa amekuwa samaki pendwa. Sikosi kula changu kwa siku.awe wa kukangaa au wa kuungwa na nazi. Na kwa sasa naenda nunua ferry pale kwa tsh 30 napata wa kutosha tu.
Basi nabadilisha. Mara supu ya pono na chapati au mchemsho wa pono au changudoa.
Papa kwa sasa situmii sana. Hawa pono na changu ni wazuri unaweza wapika kama supu au mchemsho na ndizi au viazi ukala ukalala. Kwa sisi ambao hatujaoa wanasaidia sana. Sasa nmekuwa mlevi wa hawa samaki mpaka nahisi nahitaji msaada wa kisaikolojia. Sifahamu samaki wengine wakoje.
Acha uzinzi ndugu utakufaHaya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile.
Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi wetu.
Tabia hii imeendelea nimejikuta asubuhi lazima nianze na pono kwanza. Hapo ndo najisikia nimeanza siku vizuri. Na chapati tatu kubwa basi...siku inakuwa mujarabu kabisa.
Siku moja usiku katika pita pita nikaona changu buguruni. Ilikuwa mida ya saa 4 hivi usiku. Nikaona angalau leo nijaribu changudoa. Basi nikachukua moja huyo mpaka ghetto. Nligundua kumbe sikuwa nimemaliza kupata utamu. Changudoa ni watamu sana.
Nlimgonga mkavu maana nikasema huyu inabidi nimsikilizie ladha yake nipate utamu kamili. Changu ni watamu. Watamu sana asikwambie mtu. Na vile asubuhi nilipata supu ya pono na chapati. Basi nilikuwa fresh sana. Nikamgonga changu nikalala vizuri.
Naye sasa amekuwa samaki pendwa. Sikosi kula changu kwa siku.awe wa kukangaa au wa kuungwa na nazi. Na kwa sasa naenda nunua ferry pale kwa tsh 30 napata wa kutosha tu.
Basi nabadilisha. Mara supu ya pono na chapati au mchemsho wa pono au changudoa.
Papa kwa sasa situmii sana. Hawa pono na changu ni wazuri unaweza wapika kama supu au mchemsho na ndizi au viazi ukala ukalala. Kwa sisi ambao hatujaoa wanasaidia sana. Sasa nmekuwa mlevi wa hawa samaki mpaka nahisi nahitaji msaada wa kisaikolojia. Sifahamu samaki wengine wakoje.
mkuu changudoa ni aina ya samaki kwenye jamii ya changu... kuna changu wa aina nyingi... huyu ni changu mwenye doaSiyo lazima mtu akuite mjinga, pili hakuna samaki anaitwa changudoa bali CHANGU, samaki huwezi kalala naye ukasema mtamu bali binadamu kwa kufanya naye ngono!.