Sijaoa bado. Nimekuwa mtu wa papa sana. Asubuhi Pono usiku sikosi Changu. Naombeni Msaada

Sioni kama kuna shida yoyote mkuu

Maisha yenyewe mafupi raha jipe mwenyewe mkuu

Huoni mimi napenda pombe
 
Watanzania wengi ni Vilaza sana sababu hata kuelewa vitu vidogo ni kazi sana. Wewe umejaza kwenye akili yako ngono tu?
Umesoma huo uzi hadi mwisho ukaelewa mantiki ya mleta uzi?
Mkuu huu uzi kwa uandishi wake wadau wengi wanaona manyota na mareli tu, watz hatutakagi vitu vigumu ama namna gani[emoji1][emoji1]
 

sex addicts
 
Acha uzinzi ndugu utakufa
 
Jua Changu Ana doa, hivyo Umlapo changu basi walau mparaze na umkaange kwa mafuta usile mkavu, Papa huyo Ana chumvi nyingi humuwezi ata hivyo jaribu kumuosha osha kupunguza makali. Huyo pono sasa nadhani sifa zake wazijua basi jitahidi usishabihiane nae maana atakuambukiza. Wasalaam
 
Pole sana, na wewe endelea tu, ukichoka utaacha...
 
Siyo lazima mtu akuite mjinga, pili hakuna samaki anaitwa changudoa bali CHANGU, samaki huwezi kalala naye ukasema mtamu bali binadamu kwa kufanya naye ngono!.
mkuu changudoa ni aina ya samaki kwenye jamii ya changu... kuna changu wa aina nyingi... huyu ni changu mwenye doa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…