Uchaguzi 2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

Unavyoonekana tu huna maadili si ajabu umejilea mtaani baada ya aliyekuzaa kukutupa. Ila sishangai sitegemei mfuasi wa Lisu kuwa mtu anaejitambua. Nikuongezee Nelson Mandela hakuwa mpigania haki wala hakukomesha yeye utumwa bali ni mpango ulioanzishwa na mataifa ya wazungu baada ya wengine kuona wenzao ananufaika na nguvukazi ya watumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…