Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,317
- 1,320
Ni kweli ccm ndio mna uhuru wa kufanya kila kitu ndani ya nchi hii baada ya kutupoka uhuru wetu wananchi ila mwaka huu tumesema SASA BASIMapendekezo yako ni mufilisi Kama unaona raha sana kuwa chini ya wazungu una Uhuru wa kuukana uraia wetu na kuhamia huko kwao.
Ila kwa sasa tunayo haki ya kujiamulia mambo yetu, hatuhitaji kuelekezwa namna ya kufanya,
Wakati wao wakifanya yao hatujawahi kuwaingilia wala hawakuja kutuomba ushauri.
They should mind their own business.