Uchaguzi 2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

Uchaguzi 2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

Minyoo ya nguruwe imepanda kichwani. Ngoja tusubiri mabeberu waje kuwasaidia ili mfanye faragha.
Wewe ni mvuta Bangi tunaendelea kukupuuza maana hata mmeo cyprian Musiba anayekupakata hapo gheto atakuwa anajuuta kukulipa uitetee CCM mitandaoni kwani badala ya kuisaidia CCM umezidi kuitia Aibu kwa kuonekana kuwa na watetezi punguani mitandaoni.
 
Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni.

Nautafuta Ubeberu wake siuoni.

Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa.

Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu ndio hatimaye zilimfikisha huko)

Eti oooh, anataka Migodi yetu na Madini yetu yachukuliwe na Mabeberu (Hivi Mnajua halakati za Lissu katika kupambania Madini yetu na Migodi yetu?)

Nasema tena Lissu ndio Mzalendo wa kweli namba moja Tanzania hii, sisi wengine ni Wanafiki tu tena Wanafiki Uchwara.

Tusikalilishwe kila kitu. Mengine Tuhoji.
Jifunze zaidi kuhusu ubepari na ukoloni mambo leo/Neo-colonialism ndo utaelewa kwann tundu lisu anaambiwa ana element za kibaraka wa mabepari
 
Jifunze zaidi kuhusu ubepari na ukoloni mambo leo/Neo-colonialism ndo utaelewa kwann tundu lisu anaambiwa ana element za kibaraka wa mabepari
Neo-colonialism Naijua hata kuliko wewe.
Weka wazi Ubeberu au Ukibaraka wa Lissu na Mimi nitakuonyesha Uzalendo wake Uliotukuka.
Ni wakati wa kutumia Akili zetu sasa.
 
Hao wameanza enzi mrema, mrema alipokuwa waziri alikuwa mtu timamu alipohama chama wakamuita kichaa na kusema ndio maana anakaa amevaa kofia, sasaivi anailamba miguu ccm hauwezi sikia MATAGA wanamuita kichaa. Hizo propaganda wakawalishe wenzao tu
 
Neo-colonialism Naijua hata kuliko wewe.
Weka wazi Ubeberu au Ukibaraka wa Lissu na Mimi nitakuonyesha Uzalendo wake Uliotukuka.
Ni wakati wa kutumia Akili zetu sasa.
Ni vzur kam unajua ila usijiamixhe kupita kiasi pia kuwa unajua kuliko mm, any way iko ivi mfano tu mdogo nakupa "Magufuli alivoingia madarakani alivunja mikataba kibao ya makampuni ya nje yaliyoonekana kuinyonya nchi yetu, mfano mzur ilikuwa makampuni ya madini, alivunja mikataba na akasema kuwa makampuni haya kama hayatakubali kusain mikataba mipya yenye usawa bac yasepe, lakin tundu lisu iliilaumu sana serukali ya magufuli akisema kuwa magufuli amevunja mikataba bila kifuata sheria kwa hiyo wenye makampuni wataenda kwenya mahakama za kimataifa tutashitakiwa na mali zote za tanzania zilizoko nje zitazuiliwa tanzania itawekewa vikwazo na vya kibiashara itafilisika na itakuwa maskini mno, lakini haya leo hii mikataba ikavunjwa na mingine imesainiwa upya walau kuleta usawa tusinyonywe sana lakin mbona hatujashitakiwa kama tundu lisu alivyokuwa anatuogopesha, mbona leo hii mchanga wa dhahabu haupelekwi nje ya nchi nambie nani ametushtaki na tukafilisiwa, sijaona vzur uzalendo wa tundu lisu kwa nchi hii, pia na mnukuu tundu lisu aliwahi kusema " Raisi magufuli ameongoza nchi hovyo na ametutenganisha na marafiki zetu wa ulaya " mwisho wa kunukuu....kwa nnavyojua mm hakuna nchi Yeyote ya kizungu itakayokuja hapa eti ijenge urafki na sisi itusaidie kiuchumi tuendelee bila wao kuwa na masilahi, zaidi wanajenga urafki wa kiendelea kutuibia rasilimali zetu tu na kutukopesha madeni yasiyohimilika lakin hakuna cha maan wanachotusaidia n wizi mtupu
 
CCM mkienda ulaya kuomba omba misaada kwa wazungu huwa mnawaita wafadhili wahisani, lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi ni mbuzi jike
Kuna tofauti kubwa sana hapo mkuu,

Kumbuka CCM ndio chama kilicholeta Uhuru nchi hii , na ni Muunganiko wa ASP na TANU vyama hivi viliingia madarakani bila msaada wa hao wazungu.

Ila wapinzani kwa sasa wanashirikia na hao wazungu kuingia madarakani,

Ikiwa na maana kwamba Ukoloni unarejea kwa mgongo wa Upinzani kupitia Koti la Demokrasia.

Angalia tu usijekuwa AGENT wa Ukoloni bila kujijua.
 
Ni vzur kam unajua ila usijiamixhe kupita kiasi pia kuwa unajua kuliko mm, any way iko ivi mfano tu mdogo nakupa "Magufuli alivoingia madarakani alivunja mikataba kibao ya makampuni ya nje yaliyoonekana kuinyonya nchi yetu, mfano mzur ilikuwa makampuni ya madini, alivunja mikataba na akasema kuwa makampuni haya kama hayatakubali kusain mikataba mipya yenye usawa bac yasepe, lakin tundu lisu iliilaumu sana serukali ya magufuli akisema kuwa magufuli amevunja mikataba bila kifuata sheria kwa hiyo wenye makampuni wataenda kwenya mahakama za kimataifa tutashitakiwa na mali zote za tanzania zilizoko nje zitazuiliwa tanzania itawekewa vikwazo na vya kibiashara itafilisika na itakuwa maskini mno, lakini haya leo hii mikataba ikavunjwa na mingine imesainiwa upya walau kuleta usawa tusinyonywe sana lakin mbona hatujashitakiwa kama tundu lisu alivyokuwa anatuogopesha, mbona leo hii mchanga wa dhahabu haupelekwi nje ya nchi nambie nani ametushtaki na tukafilisiwa, sijaona vzur uzalendo wa tundu lisu kwa nchi hii, pia na mnukuu tundu lisu aliwahi kusema " Raisi magufuli ameongoza nchi hovyo na ametutenganisha na marafiki zetu wa ulaya " mwisho wa kunukuu....kwa nnavyojua mm hakuna nchi Yeyote ya kizungu itakayokuja hapa eti ijenge urafki na sisi itusaidie kiuchumi tuendelee bila wao kuwa na masilahi, zaidi wanajenga urafki wa kiendelea kutuibia rasilimali zetu tu na kutukopesha madeni yasiyohimilika lakin hakuna cha maan wanachotusaidia n wizi mtupu

Tundu Lissu kwa miaka Mingi tu alipigania Mikataba ya Nchi hususani ya Madini iwe inapelekwa Bungeni kuthibitishwa ili kuondoa uwezekano wa Mikataba kama hiyo.

Tundu Lissu alichokua anasisitiza ni kufuata utaratibu wa Kisheria katika kudeal na hiyo Mikataba ambayo CCM na Serikali yake ilikua ikiishadadia. Unajua ni Mikataba mingapi imetuingiza kwenye kulipa Fidia kwa sababu ya kuivunja bila kufuata utaratibu wa sheria?

Tunaposhughulika na hawa jamaa tunaowaita mabeberu inatakiwa tuwe wajanja hasa kwa mara ya kwanza tunapoingia nao kwenye mikataba.
Je unajua kuna baadhi ya Mikataba ya Madini Mawaziri wetu walienda kuifungia nje ya Nchi?
Ni muda sasa wa kufumua kabisa mfumo wa kiutawala na kulifanya Bunge liwe na Uwezo Mkubwa kuisimamia Serikali na hili litawezekana tu CCM itakapoondoka madalakani.

Lissu kapigania sana Nchi hii inaumiza sana kuona leo hii hapewi credit/recognition zinazomstahili na badala yake zinakwenda kwa Mtu mwingine ambaye sio Mpigania Nchi halisi.

Tusaidiane kwenye hili tuitengeneze Nchi yetu. Tundu Lissu anaweza hii kazi.
Magufuli kafanya kwa sehemu yake tutampongeza kwa sehemu yake lakini kwa sasa atupishe kwanza.
 
Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni.

Nautafuta Ubeberu wake siuoni.

Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa.

Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu ndio hatimaye zilimfikisha huko)

Eti oooh, anataka Migodi yetu na Madini yetu yachukuliwe na Mabeberu (Hivi Mnajua halakati za Lissu katika kupambania Madini yetu na Migodi yetu?)

Nasema tena Lissu ndio Mzalendo wa kweli namba moja Tanzania hii, sisi wengine ni Wanafiki tu tena Wanafiki Uchwara.

Tusikalilishwe kila kitu. Mengine Tuhoji.
Kiongozi wa wanafki ni magu au polepole ?
 
Mzee rabda unamzungumzia Lissu wa enzi ya Dr Slaa huyu Lissu wa sasa mzee wa Miga ni tofauti sana na Lissu wa Slaa leo ukizungumzia mzalendo wa Nchii hii kati ya Lissu na JPM hata mtoto mdogo anajua nani ni mzalendo mzalendo si maneno ni pamoja na vitendo leo Mwenye nyumba wako aje kutembea na mkeo na kuchukua chakula cha watoto wako ukaogopa kusema kisa utapewa notice huyo ndo Lissu aliyesema tutapelekwa mahakamani kwa kuwakataza wazungu wasiibe na kuchukua madini yetu but JPM alisimama kidete na kutetea hakujali kama kuna Drone zinaweza kutumwa au kupelekwa mahakamani leo hii tuna kampuni ya Twiga

Leo unafurahia Uhuru wako wa kutembea na unajitafutia mkate wa kila siku lakini chama chako kilisema tuwekwe ndani mpk wakatoka Bungeni , mwenyekiti wenu anahutubia nyumbani kwake peke yake lakini kavaa groves utadhani Michael Jackson. Leo hii mnasimama majukwaani na kutukana matusi (Kwa maana hamna sera yeyote ya kuwambia watanzania )je tungewekwa ndani leo mngesimama jukwaaa gani wkt tupo ndani??
Uzalendo, kuwa tumepata nini ?!. 16% za daraja la pili ?!
 
Mzalendo mwenye damu ya kikenya 😂😂😂
Mwambie akagombee Nairobi useneta, Tz hatutaki vibaraka.
 
Kwanini uteseke na propaganda za wahuni wa CCM? Wamempiga mtu risasi Jana wameanza kumkana waliyemtuma kufanya mauaji. Ameambiwa ana mikono michafu.
 
Soma kwanza uelewe sijui chadema mnamatatizo gani ?Mm nazungumzia uhuru wa kutoka asubuhi kujitafutia mwenyekiti wenu alitaka mfungiwe kama kuku bandani, hakujali mtakula wapi au kodi za nyumba mtalipa vipi ,lakini leo Chama ninachoongoza kwa kutembeza bakuri ni hao hao waliotaka mfungiwe ndani wkt kila kitu wanawambia muwachangie kifupi Chadema ni matonya wa siasa
Childish mind.
 
Ka
Kuna tofauti kubwa sana hapo mkuu,

Kumbuka CCM ndio chama kilicholeta Uhuru nchi hii , na ni Muunganiko wa ASP na TANU vyama hivi viliingia madarakani bila msaada wa hao wazungu.

Ila wapinzani kwa sasa wanashirikia na hao wazungu kuingia madarakani,

Ikiwa na maana kwamba Ukoloni unarejea kwa mgongo wa Upinzani kupitia Koti la Demokrasia.

Angalia tu usijekuwa AGENT wa Ukoloni bila kujijua.
kama uhuru ulioletwa ndio huu wa kuburuzwa na jiwe namna hii basi hakukuwa na maana ya kutafuta uhuru tungemwacha mkoloni pengine tungekuwa na maendeleo ya Vitu kuliko yatakayofanywa na huyu kichaa hata kama akitawala milele
 
Mapendekezo yako ni mufilisi Kama unaona raha sana kuwa chini ya wazungu una Uhuru wa kuukana uraia wetu na kuhamia huko kwao.

Ila kwa sasa tunayo haki ya kujiamulia mambo yetu, hatuhitaji kuelekezwa namna ya kufanya,

Wakati wao wakifanya yao hatujawahi kuwaingilia wala hawakuja kutuomba ushauri.

They should mind their own business.
 
Ndio mlipofikia hapo, yaani huna cha kuongea sasa unaona ulete mambo ambayo yako nje kabisa ya equation.
Sasa hayo mambo ya ushoga yatawasaidiaje kwenye kampeni. Very hopeless.
Ushoga ni kosa la jinai hapa Tanzania Chadema na mgombea wenu mnasema ni haki ya faragha. Hafai kuwa hata diwani.
 
Back
Top Bottom