Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Usiyeweza kufikiri ni wewe na hao viazi wenzio, juzi katangaza kwamba atafuta kodi zote na bidhaa kutoka nje zitaingia nchini bila kodi, hivyo ataifanya nchi dampo la bidhaa za mabeberu, kweli tunachagua afisa masoko wa mabeberu? katumwa kuja kutafuta soko la bidhaa za viwanda vya mabwana zake? sio ukibaraka huo? tunajenga uchumi shindani ye anataka turudi kwenye ukoloni tulikotoka!!!?? hayo mambo mengi sana anayoahidi atayafanya atapata wapi pesa bila kukusanya kodi? ATATUUZA.Wanachokifanya ni propaganda zakizamani nakitoto zakupumbaza wasioweza kufikiri sawasawa.