superchager turubo
Senior Member
- Aug 12, 2023
- 177
- 304
jibu mkuumhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu mkuumhhh
mkuu kwanini unamcheka mithali lady?
janjajanja nyingi sana ataachwa sana.She is dilusional lady.
Huyo lady kama hana mtoto sijui!!
Nauhakika she is above 30yrs
Hiyo body count nivema ange multiply by 4.
Kwakifupi anatudanganya.
Una umri gani?Siwezi kusema kiundani ila kutokana na sababu fulani fulani amepata picha mbaya kuhusu mimi.Kibinadamu yuko sawa kudhani niko hivyo wala hana makosa ila kiuhalisia siko anavyodhani tatizo yeye sio Mungu kuona ambavyo upeo wa macho ya binadamu hauwezi kuona.Kinachoniuma ni kwamba nampenda sana na amekua mtu mzuri sana kwangu ila sina jinsi yakumtoa imani mbaya aliyoijenga juu yangu.
Vitalis Msungwite hii

😂😂😂😂,Acha nicheke kwanza🤭😁😂🤣😅😄😃😀
haya tuendelee Mae x unao wangapi ndugu mlalamikaji?
nasio mlalamikaji tuu pia wewe ni mwanamke wakwenye mithali ambae mwamba ameshindwa kukutambua kabisa🤭🤭
nahao max walikuoa au vipi?
mkuu huna Cha umwanamke wakwenye mithali wala nini wee ni malaya.
mwanamke wakwenye mithali sifa yake kuu aliolewa akiwa bikiraa.wewe endelea na umalaya wako Hadi ujaze yutong ya max Huku ukijisifia kuwa wewe nimwanamke wakwenye mithali.
🤭polee
Bamia bestKuhusu Nini wangu?
🤣🤣🤣Ngoja nimfuate inbox mkuuBamia best
Unahisi tabia zangu mbaya zinatokana na kuwa na mtoto au nini kimefanya uhisi nina mtoto?She is dilusional lady.
Huyo lady kama hana mtoto sijui!!
Nauhakika she is above 30yrs
Hiyo body count nivema ange multiply by 4.
Kwakifupi anatudanganya.
Fanya ivyo mkuu isije kuwa ilikuwa inamkwaruza jamaa🤣🤣🤣Ngoja nimfuate inbox mkuu
Mkorofi wewe [emoji28][emoji28]Hili nalo umeliingiza Kwenye faili la manung'uniko. Ngoja nirekebishe usije ukajinyonga.
Daah [emoji2297][emoji2297]una chura?
🤣🤣🤣 Wakati bamia zipoFanya ivyo mkuu isije kuwa ilikuwa inamkwaruza jamaa