Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Una umri gani?
 
Una umri gani?
 
😂😂😂😂
 
Ata muna love kaokoka ila madudu yake ni ngumu kufutika vichwan mwa wabongo, nature ya mwanaume ni selfish hapend ku share so hata kama historia ni mbaya still inakata stimu asee.

Pole mithali lady.
 
Acheni Uzinzi jamani. Baada ya kufarakana unakimbilia Mithali kusoma na mawazo juu. Tuacheni unafiki jamani Mungu hapendi vuguvugu.
 
She is dilusional lady.

Huyo lady kama hana mtoto sijui!!
Nauhakika she is above 30yrs
Hiyo body count nivema ange multiply by 4.

Kwakifupi anatudanganya.
Unahisi tabia zangu mbaya zinatokana na kuwa na mtoto au nini kimefanya uhisi nina mtoto?
 
Ata muna love kaokoka ila madudu yake ni ngumu kufutika vichwan mwa wabongo, nature ya mwanaume ni selfish hapend ku share so hata kama historia ni mbaya still inakata stimu asee.

Pole mithali lady.
Asante ila sijamsaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…