Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

,Acha nicheke kwanzaπŸ€­πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€
haya tuendelee Mae x unao wangapi ndugu mlalamikaji?

nasio mlalamikaji tuu pia wewe ni mwanamke wakwenye mithali ambae mwamba ameshindwa kukutambua kabisa🀭🀭

nahao max walikuoa au vipi?

mkuu huna Cha umwanamke wakwenye mithali wala nini wee ni malaya.
mwanamke wakwenye mithali sifa yake kuu aliolewa akiwa bikiraa.wewe endelea na umalaya wako Hadi ujaze yutong ya max Huku ukijisifia kuwa wewe nimwanamke wakwenye mithali.
🀭polee
 
wait kwanza, ulianzaje anzaje nawewe kumuambia mwanaume umetongozwa? uliulizwa au ndo ile kutaka kuonekana unakataaga ukitongozwa unajisemelea mwenyewe nimetongozwa nika kataa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Na huenda ukaribu na ma ex jamaa anahisi bidada anaendelea na mahusiano nao. Hivyo anafikia hitimisho kuwa Huyu ni wale wale. Piga hesabu Kama wapo 10 au 20 na wote anawasiliana nao utajiita una mchumba hapo kweli?
 
Sasa kanisani unaenda kusali au kutongozana?na kwanini umegawa namba kwa waumini wakiume?
 
Mwanamke yeyote atakae kuambia ametongozwa na kukataa ujue huyo aliyemtongoza hamtaki. Mwanamke akitongozwa na kukubali Huwa hawasemi utakuja kusikia mweyewe mtaani. Kwahiyo jamaa ulimuonesha meseji za Vitalis ambae ulimkataa na vipi kuhusu John, peter, Ally na Thomasi anaosikia kuwa unamahusiano nao mbona meseji zao hujamuonesha? Next time usitatue tatizo Kwa kutengeneza tatizo.
 
Sina ma ex lukuki mkuu.
Siwasiliani nao.
Hayo maneno wanawaambia marafiki na ndugu.Nao wakikutana na mimi wananiambia.
Asante kwa kutorudia kumuita boya.
 
Jamaa tafadhari punguza ukali Binti atajinyonga Huyu tukose member. Kaambiwa Yale Leo huenda akafunga kula na unaongeza haya Tena!
 
mkuu huyu kaliwa.asinge kuwa hajaliwa angenyoosha maelezo kwenye posti yake sio Hadi tumchimbe ndio aongee.
 
Amekufanyaje jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…