Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Kuna post pale juu nimekutag umeisoma? Alichosema ndicho kuwa unamahusiano na viongozi wa kabisa na kwaya?Ni kweli.
Ila sitaki ajue kama naingia humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna post pale juu nimekutag umeisoma? Alichosema ndicho kuwa unamahusiano na viongozi wa kabisa na kwaya?Ni kweli.
Ila sitaki ajue kama naingia humu
,Acha nicheke kwanza🤭😁😂🤣😅😄😃😀Yuko sahihi kuniona hivyo.Ni kweli nimeonesha tabia mbaya😁.Na ameniorodheshea sifa zangu zote mbaya nilizoonesha kwake.So hajanionea ila hizo sifa mbaya akiwahadithia ma ex wangu watamshangaa na kumuona muongo.Sijisifii mkuu ila ex zangu wanaapa kuwa hawatakaa wapate mwanamke bora kama mim,wanawaambia hadi ndugu na marafiki zao ila sasa huyu wa sasa/mwisho shida kubwa imeletwa na jinsi tumekutana.The way tumekutana ndo imefanya niwe na hizo "sifa mbaya" ila yeye anadhani ndo nilivyo na simlaumu kwa hilo.
Mi kujirekebisha sio tatizo sababu nampenda,ninachohofia ni hata nikiacha asiyoyapenda si atadhani naficha makucha kupretend?
wait kwanza, ulianzaje anzaje nawewe kumuambia mwanaume umetongozwa? uliulizwa au ndo ile kutaka kuonekana unakataaga ukitongozwa unajisemelea mwenyewe nimetongozwa nika kataa?Mara ya mwisho nimempa ushahidi wa jinsi nimetongozwa nikakataa hilo nikadhani natengeneza kumbe mwenzangu akaliangalia lile tukio kwa angle nyingine nalo likawa sehemu ya tabia zangu mbaya.Na kweli kiuhalisia njia niliyotumia kupata huo ushahidi haikua ya kistaarabu na sio tabia yangu kuwafanyia watu hivyo ila ndo yeye kashaamini niko hivyo na sina uwezo wa kumprove wrong.
NIMEKOMA..Sitamwambia tena mwanaume nikitongozwa cha msingi najua sina tabia ya usaliti basi
Na huenda ukaribu na ma ex jamaa anahisi bidada anaendelea na mahusiano nao. Hivyo anafikia hitimisho kuwa Huyu ni wale wale. Piga hesabu Kama wapo 10 au 20 na wote anawasiliana nao utajiita una mchumba hapo kweli?Achana na ma ex zako. Kumbe we bado hujawajua wanaume eeeh! Wanakwambia hivyo kwa sababu baadhi yao bado wana matumaini ya kukutafuna tena.
Na kwa nini bado unawasiliana na ma ex zako wakati upo kwenye mahusiano tena siriazi. Imeandikwa wapi kwenye Mithali 31 kwamba mke mwema ataendelea kuwasiliana na ma ex zake (lukuki)?
Kamwe usijenge ego yako kwa kutegemea sifa za mgongo wa chupa wanazokupaka hao ma ex wenye malengo yao binafsi kwako.
Msikilize mwamba (sijamuita boya) maana tayari nimeanza kuhisi kuwa kuna kitu hakiko sawa (hasa kwa upande wako). Endelea kujitafuta na kujitathimini isije ikawa umejipachika tu bure hicho cheo cha umwanamke wa Mithali 31; na jamaa keshausoma mchezo! [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa kanisani unaenda kusali au kutongozana?na kwanini umegawa namba kwa waumini wakiume?Mara ya mwisho nimempa ushahidi wa jinsi nimetongozwa nikakataa hilo nikadhani natengeneza kumbe mwenzangu akaliangalia lile tukio kwa angle nyingine nalo likawa sehemu ya tabia zangu mbaya.Na kweli kiuhalisia njia niliyotumia kupata huo ushahidi haikua ya kistaarabu na sio tabia yangu kuwafanyia watu hivyo ila ndo yeye kashaamini niko hivyo na sina uwezo wa kumprove wrong.
NIMEKOMA..Sitamwambia tena mwanaume nikitongozwa cha msingi najua sina tabia ya usaliti basi
katongozwa na muumini mwenzie kanisani mkuu.Ambae ameona alichoaambiwa mwandikaji anijuzka
Alooooo😭😭😭😭😭Jamaa yako kafanyaje, kakuacha?
Wanaume wa Dar hawatafuti mke wa Mithali, wanataka sura, rangi na tako.
Mwanamke yeyote atakae kuambia ametongozwa na kukataa ujue huyo aliyemtongoza hamtaki. Mwanamke akitongozwa na kukubali Huwa hawasemi utakuja kusikia mweyewe mtaani. Kwahiyo jamaa ulimuonesha meseji za Vitalis ambae ulimkataa na vipi kuhusu John, peter, Ally na Thomasi anaosikia kuwa unamahusiano nao mbona meseji zao hujamuonesha? Next time usitatue tatizo Kwa kutengeneza tatizo.Mara ya mwisho nimempa ushahidi wa jinsi nimetongozwa nikakataa hilo nikadhani natengeneza kumbe mwenzangu akaliangalia lile tukio kwa angle nyingine nalo likawa sehemu ya tabia zangu mbaya.Na kweli kiuhalisia njia niliyotumia kupata huo ushahidi haikua ya kistaarabu na sio tabia yangu kuwafanyia watu hivyo ila ndo yeye kashaamini niko hivyo na sina uwezo wa kumprove wrong.
NIMEKOMA..Sitamwambia tena mwanaume nikitongozwa cha msingi najua sina tabia ya usaliti basi
bachela sugu wakike jf upoo?Alooooo😭😭😭😭😭
Sina ma ex lukuki mkuu.Achana na ma ex zako. Kumbe we bado hujawajua wanaume eeeh! Wanakwambia hivyo kwa sababu baadhi yao bado wana matumaini ya kukutafuna tena.
Na kwa nini bado unawasiliana na ma ex zako wakati upo kwenye mahusiano tena siriazi. Imeandikwa wapi kwenye Mithali 31 kwamba mke mwema ataendelea kuwasiliana na ma ex zake (lukuki)?
Kamwe usijenge ego yako kwa kutegemea sifa za mgongo wa chupa wanazokupaka hao ma ex wenye malengo yao binafsi kwako.
Msikilize mwamba (sijamuita boya) maana tayari nimeanza kuhisi kuwa kuna kitu hakiko sawa (hasa kwa upande wako). Endelea kujitafuta na kujitathimini isije ikawa umejipachika tu bure hicho cheo cha umwanamke wa Mithali 31; na jamaa keshausoma mchezo! 😁😁😁
Jamaa tafadhari punguza ukali Binti atajinyonga Huyu tukose member. Kaambiwa Yale Leo huenda akafunga kula na unaongeza haya Tena!,Acha nicheke kwanza[emoji2960][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji1][emoji2][emoji3]
haya tuendelee Mae x unao wangapi ndugu mlalamikaji?
nasio mlalamikaji tuu pia wewe ni mwanamke wakwenye mithali ambae mwamba ameshindwa kukutambua kabisa[emoji2960][emoji2960]
nahao max walikuoa au vipi?
mkuu huna Cha umwanamke wakwenye mithali wala nini wee ni malaya.
mwanamke wakwenye mithali sifa yake kuu aliolewa akiwa bikiraa.wewe endelea na umalaya wako Hadi ujaze yutong ya max Huku ukijisifia kuwa wewe nimwanamke wakwenye mithali.
[emoji2960]polee
mkuu huyu kaliwa.asinge kuwa hajaliwa angenyoosha maelezo kwenye posti yake sio Hadi tumchimbe ndio aongee.Mwanamke yeyote atakae kuambia ametongozwa na kukataa ujue huyo aliyemtongoza hamtaki. Mwanamke akitongozwa na kukubali Huwa hawasemi utakuja kusikia mweyewe mtaani. Kwahiyo jamaa ulimuonesha meseji za Vitalis ambae ulimkataa na vipi kuhusu John, peter, Ally na Thomasi anaosikia kuwa unamahusiano nao mbona meseji zao hujamuonesha? Next time usitatue tatizo Kwa kutengeneza tatizo.
Amekufanyaje jamaniKwa kawaida mida hii huwa nakua kanisani ila kwa jinsi nilivyo depressed hata ningeenda Church nisingetoka na chochote.
Toka juzi nimekua naisoma MITHALI 31-10-31 kwa lengo la kujitathimini maana ndoto yangu ni kuwa huyu mwanamke anayeelezewa hapa.
Kila nikiisoma hii Methali najiona nikilandana na huyu mwanamke kwa 97% na tena nasema kwa kujiamini kuwa nimemzidi mwanamke wa Mith. 31-10-31 kwa ubora....(YES).
Mwanamke kuwa mwanamke wa MITH 31 huamki tu siku moja na kujikuta hivyo,wala huzaliwi hivyo na wala sio bahati bali ni kwa kujitengeneza kwa mchakato wa muda mrefu na kwa msaada wa roho wa Mungu.
Hata hivyo Mungu anaweza kukukutanisha na huyu mwanamke ila shetani atahakikisha anakutoa kwake kabla hujajua thamani ya mwanamke uliye nae.
Wanaume wengi mnakutana na hawa wanawake ila kwa vile shetani anapenda kusikia vitu kama KATAA NDOA atahakikisha hata Mungu akikuletea huyu mwanamke HUMUONI..Atahakikisha unaona vile anavyotaka yeye uone na ndio maana Biblia inasema 'MKE MWEMA, JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?"
JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?
Mwanaume jiulize,UKIMUONA mwanamke ambae kamwe hawezi kukusaliti hata uwe Impotent au atongozwe na Bill Gate au upoteze kazi au uumwe miaka 10 kitandani na hatasema siri hizo kwa yeyote zaidi ya kwa Mungu wake UTAMJUA?Utatumia vigezo gani KUMJUA?Kwanza kuna wanaume na baadhi ya wanawake hawaamini kama hawa watu wana exist ila wapo ila KUWAONA ni mpaka kwa neema.
Wanaume huwa mna vigezo vyenu vya kujua mke mwema ila Mungu akikuletea mwanamke ambae keshajiandaa na kujipa maarifa na uwezo wa kusimama kwa uaminifu bega kwa bega na atakayekua mumewe katika kuboresha maisha ya familia yao utatumia vigezo gani KUMUONA?
Je UTAMUONA kwa zawadi anazokuletea wakati wa uchumba au utamuona kwa sababu haombi nauli au utamuona kwa ajira/biashara yake nzuri au utamuona kwa kuwa hata ukikaa wiki bila kumtafuta halalamiki au utamuona kwa degree yake au utamuona kwa sababu hana kasoro kama binadamu wengine au UTAMUONAJE?
Kwa jinsi ninavyoongoza maisha yangu sikutegemea ipo siku nitaambiwa maneno niliyoambiwa lakini yamenisaidia kujua nifanye nini ili nisije nikaambiwa tena.
NB:Sijaandika kutafuta mwenza ndo mana PM nimefunga.
Kuandika ni njia yangu yakujifariji.
MBARIKIWE.
Mithali 31:10-31
We jamaa au ndo mtuhumiwa? Maana namtag ajibie post zako anakwepaSasa kanisani unaenda kusali au kutongozana?na kwanini umegawa namba kwa waumini wakiume?
Nipoooo mkuu jana na leo.bachela sugu wakike jf upoo?
unaumli gani?nikushauri kitu Cha faida sanaSina ma ex lukuki mkuu.
Siwasiliani nao.
Hayo maneno wanawaambia marafiki na ndugu.Nao wakikutana na mimi wananiambia.
Asante kwa kutorudia kumuita boya.
hapana mkuuWe jamaa au ndo mtuhumiwa? Maana namtag ajibie post zako anakwepa