Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kwa kila mwanaume lakini....Chura ana thamani sana ee?😁
Umeambiwa wewe ni mchawi?
muhimu, ila awe chura mdogo sio mkubwa😂Ila kwako ni muhimu ?
Kwa kawaida mida hii huwa nakua kanisani ila kwa jinsi nilivyo depressed hata ningeenda Church nisingetoka na chochote.
Toka juzi nimekua naisoma MITHALI 31-10-31 kwa lengo la kujitathimini maana ndoto yangu ni kuwa huyu mwanamke anayeelezewa hapa.
Kila nikiisoma hii Methali najiona nikilandana na huyu mwanamke kwa 97% na tena nasema kwa kujiamini kuwa nimemzidi mwanamke wa Mith. 31-10-31 kwa ubora....(YES).
Mwanamke kuwa mwanamke wa MITH 31 huamki tu siku moja na kujikuta hivyo,wala huzaliwi hivyo na wala sio bahati bali ni kwa kujitengeneza kwa mchakato wa muda mrefu na kwa msaada wa roho wa Mungu.
Hata hivyo Mungu anaweza kukukutanisha na huyu mwanamke ila shetani atahakikisha anakutoa kwake kabla hujajua thamani ya mwanamke uliye nae.
Wanaume wengi mnakutana na hawa wanawake ila kwa vile shetani anapenda kusikia vitu kama KATAA NDOA atahakikisha hata Mungu akikuletea huyu mwanamke HUMUONI..Atahakikisha unaona vile anavyotaka yeye uone na ndio maana Biblia inasema 'MKE MWEMA, JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?"
JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?
Mwanaume jiulize,UKIMUONA mwanamke ambae kamwe hawezi kukusaliti hata uwe Impotent au atongozwe na Bill Gate au upoteze kazi au uumwe miaka 10 kitandani na hatasema siri hizo kwa yeyote zaidi ya kwa Mungu wake UTAMJUA?Utatumia vigezo gani KUMJUA?Kwanza kuna wanaume na baadhi ya wanawake hawaamini kama hawa watu wana exist ila wapo ila KUWAONA ni mpaka kwa neema.
Wanaume huwa mna vigezo vyenu vya kujua mke mwema ila Mungu akikuletea mwanamke ambae keshajiandaa na kujipa maarifa na uwezo wa kusimama kwa uaminifu bega kwa bega na atakayekua mumewe katika kuboresha maisha ya familia yao utatumia vigezo gani KUMUONA?
Je UTAMUONA kwa zawadi anazokuletea wakati wa uchumba au utamuona kwa sababu haombi nauli au utamuona kwa ajira/biashara yake nzuri au utamuona kwa kuwa hata ukikaa wiki bila kumtafuta halalamiki au utamuona kwa degree yake au utamuona kwa sababu hana kasoro kama binadamu wengine au UTAMUONAJE?
Kwa jinsi ninavyoongoza maisha yangu sikutegemea ipo siku nitaambiwa maneno niliyoambiwa lakini yamenisaidia kujua nifanye nini ili nisije nikaambiwa tena.
NB:Sijaandika kutafuta mwenza ndo mana PM nimefunga.
Kuandika ni njia yangu yakujifariji.
MBARIKIWE.
Mithali 31:10-31
Duh ni hatariKwa kawaida mida hii huwa nakua kanisani ila kwa jinsi nilivyo depressed hata ningeenda Church nisingetoka na chochote.

Pole mkuu,Nahisi nimeachwa ila naombea niwe sijaachwa[emoji16].
Siwalaumu kwa kutaka sura t rangi sababu washajikatia tamaa kupata huyo wa mithali mkuu so acha wafaidi uumbaji
Asante Carlos.Keep it up My Dear !!.
Wanawake wachache sanaaaa Kwa Dunia ya Sasa wenye Uwezo wa kumkiri YESU mbele ya watu kama wewe.
Hongera, hakika unafaa kua Mke wa Mwanaume Bora .
Ukieleza kilichotokea utanistua maana nafsi imegawanyika Kuna upande unataka useme na mwingine hautaki na unaishia kuzunguka tu bila kuweka jambo bayanaHapana.
Hajaniita mchawi wa kiswahili ila ni kama ameniita mchawi wa kizungu,a witch.Mzungu akisema my wife is a witch hamaanishi anapaa na ungo wala kuvaa tungure.
Maombi yangu sio kupata mwingine maana hata yeye ni bora kwangu.Pole mkuu,
Itabidi nawe utafute mume wa kwenye Bible, sijui anatoka kitabu gani manake sio Suleiman wala Daudi walikula K moja tu. Labda Job manake sikusikia kashfa yake.
Sasa akikuacha si utasubiria mwingine mkuu?Maombi yangu sio kupata mwingine maana hata yeye ni bora kwangu.
Hayo ya K atajua na Mungu wake sijawahi kujua kama ana K nyingine zaidi yangu
Siwezi kusema kwa undani mkuu ila kasome comment niliyomuelezea to yeye.Ngoja nukakutagUkieleza kilichotokea utanistua maana nafsi imegawanyika Kuna upande unataka useme na mwingine hautaki na unaishia kuzunguka tu bila kuweka jambo bayana
Kwa kawaida mida hii huwa nakua kanisani ila kwa jinsi nilivyo depressed hata ningeenda Church nisingetoka na chochote.
Toka juzi nimekua naisoma MITHALI 31-10-31 kwa lengo la kujitathimini maana ndoto yangu ni kuwa huyu mwanamke anayeelezewa hapa.
Kila nikiisoma hii Methali najiona nikilandana na huyu mwanamke kwa 97% na tena nasema kwa kujiamini kuwa nimemzidi mwanamke wa Mith. 31-10-31 kwa ubora....(YES).
Mwanamke kuwa mwanamke wa MITH 31 huamki tu siku moja na kujikuta hivyo,wala huzaliwi hivyo na wala sio bahati bali ni kwa kujitengeneza kwa mchakato wa muda mrefu na kwa msaada wa roho wa Mungu.
Hata hivyo Mungu anaweza kukukutanisha na huyu mwanamke ila shetani atahakikisha anakutoa kwake kabla hujajua thamani ya mwanamke uliye nae.
Wanaume wengi mnakutana na hawa wanawake ila kwa vile shetani anapenda kusikia vitu kama KATAA NDOA atahakikisha hata Mungu akikuletea huyu mwanamke HUMUONI..Atahakikisha unaona vile anavyotaka yeye uone na ndio maana Biblia inasema 'MKE MWEMA, JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?"
JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?
Mwanaume jiulize,UKIMUONA mwanamke ambae kamwe hawezi kukusaliti hata uwe Impotent au atongozwe na Bill Gate au upoteze kazi au uumwe miaka 10 kitandani na hatasema siri hizo kwa yeyote zaidi ya kwa Mungu wake UTAMJUA?Utatumia vigezo gani KUMJUA?Kwanza kuna wanaume na baadhi ya wanawake hawaamini kama hawa watu wana exist ila wapo ila KUWAONA ni mpaka kwa neema.
Wanaume huwa mna vigezo vyenu vya kujua mke mwema ila Mungu akikuletea mwanamke ambae keshajiandaa na kujipa maarifa na uwezo wa kusimama kwa uaminifu bega kwa bega na atakayekua mumewe katika kuboresha maisha ya familia yao utatumia vigezo gani KUMUONA?
Je UTAMUONA kwa zawadi anazokuletea wakati wa uchumba au utamuona kwa sababu haombi nauli au utamuona kwa ajira/biashara yake nzuri au utamuona kwa kuwa hata ukikaa wiki bila kumtafuta halalamiki au utamuona kwa degree yake au utamuona kwa sababu hana kasoro kama binadamu wengine au UTAMUONAJE?
Kwa jinsi ninavyoongoza maisha yangu sikutegemea ipo siku nitaambiwa maneno niliyoambiwa lakini yamenisaidia kujua nifanye nini ili nisije nikaambiwa tena.
NB:Sijaandika kutafuta mwenza ndo mana PM nimefunga.
Kuandika ni njia yangu yakujifariji.
MBARIKIWE.
Mithali 31:10-31
Nimeona ila nayo unasema tu "amapata taarifa mbaya kunihusu na ana Imani mbaya Kwangu"Siwezi kusema kwa undani mkuu ila kasome comment niliyomuelezea to yeye.Ngoja nukakutag