Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Yuko sahihi kuniona hivyo.Ni kweli nimeonesha tabia mbaya[emoji16].Na ameniorodheshea sifa zangu zote mbaya nilizoonesha kwake.So hajanionea ila hizo sifa mbaya akiwahadithia ma ex wangu watamshangaa na kumuona muongo.Sijisifii mkuu ila ex zangu wanaapa kuwa hawatakaa wapate mwanamke bora kama mim,wanawaambia hadi ndugu na marafiki zao ila sasa huyu wa sasa/mwisho shida kubwa imeletwa na jinsi tumekutana.The way tumekutana ndo imefanya niwe na hizo "sifa mbaya" ila yeye anadhani ndo nilivyo na simlaumu kwa hilo.

Mi kujirekebisha sio tatizo sababu nampenda,ninachohofia ni hata nikiacha asiyoyapenda si atadhani naficha makucha kupretend?

Mfanye tu awe Ex
 
Kwa kawaida mida hii huwa nakua kanisani ila kwa jinsi nilivyo depressed hata ningeenda Church nisingetoka na chochote.

Toka juzi nimekuwa naisoma MITHALI 31-10-31 kwa lengo la kujitathimini maana ndoto yangu ni kuwa huyu mwanamke anayeelezewa hapa.

Kila nikiisoma hii Methali najiona nikilandana na huyu mwanamke kwa 97% na tena nasema kwa kujiamini kuwa nimemzidi mwanamke wa Mith. 31-10-31 kwa ubora....(YES).

Mwanamke kuwa mwanamke wa MITH 31 huamki tu siku moja na kujikuta hivyo, wala huzaliwi hivyo na wala sio bahati bali ni kwa kujitengeneza kwa mchakato wa muda mrefu na kwa msaada wa roho wa Mungu.

Hata hivyo Mungu anaweza kukukutanisha na huyu mwanamke ila shetani atahakikisha anakutoa kwake kabla hujajua thamani ya mwanamke uliyenae.

Wanaume wengi mnakutana na hawa wanawake ila kwa vile shetani anapenda kusikia vitu kama KATAA NDOA atahakikisha hata Mungu akikuletea huyu mwanamke HUMUONI. Atahakikisha unaona vile anavyotaka yeye uone na ndio maana Biblia inasema 'MKE MWEMA, JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?"

JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?
Mwanaume jiulize, UKIMUONA mwanamke ambae kamwe hawezi kukusaliti hata uwe Impotent au atongozwe na Bill Gates au upoteze kazi au uumwe miaka 10 kitandani na hatasema siri hizo kwa yeyote zaidi ya kwa Mungu wake UTAMJUA? Utatumia vigezo gani KUMJUA? Kwanza kuna wanaume na baadhi ya wanawake hawaamini kama hawa watu wana exist ila wapo ila KUWAONA ni mpaka kwa neema.

Wanaume huwa mna vigezo vyenu vya kujua mke mwema ila Mungu akikuletea mwanamke ambae keshajiandaa na kujipa maarifa na uwezo wa kusimama kwa uaminifu bega kwa bega na atakayekuwa mumewe katika kuboresha maisha ya familia yao utatumia vigezo gani KUMUONA?

Je, UTAMUONA kwa zawadi anazokuletea wakati wa uchumba au utamuona kwa sababu haombi nauli au utamuona kwa ajira/biashara yake nzuri au utamuona kwa kuwa hata ukikaa wiki bila kumtafuta halalamiki au utamuona kwa degree yake au utamuona kwa sababu hana kasoro kama binadamu wengine au UTAMUONAJE?

Kwa jinsi ninavyoongoza maisha yangu sikutegemea ipo siku nitaambiwa maneno niliyoambiwa lakini yamenisaidia kujua nifanye nini ili nisije nikaambiwa tena.

NB: Sijaandika kutafuta mwenza ndio mana PM nimefunga. Kuandika ni njia yangu yakujifariji.

Mbarikiwe.

Mithali 31:10-31

Kwa Muislam nikupatie mume mwema.
 
You are a dilusional church girl.

Tatizo nashindwa kukushauri.

Sikia chachi girl.
Can you plz stol all the non sense and drama and be real for a second.
F*k Mithali
F*k all the bullshit that you learned
Coz they never worked.
They will never work.

Focus on your social life skills

Hizo fairy tales unazoziamini zimeshakufelisha 3 times
You made a hat trick
You were dumped by 3 fckn church men including your pastor.
!!!!!!!!!!
Lady who are you?
Who the F**k are you?


Uliwahikujaribu upande wa pili?
Namaanisha
Have you ever discussed your situation with a real woman who understand the game.
Am not talkn about Disney Mithali woman.


Unahisi tabia zangu mbaya zinatokana na kuwa na mtoto au nini kimefanya uhisi nina mtoto?
 
Mithali what??? Hahahaaah!
Tuache kudanganyana hapa. Just imagine; (kutoka katika komenti zake)
~age: 36
~watoto: hana
~bikra: hana
~maex: wawili (wanaojulikana mpaka kwa ndugu akiwemo mchungaji)
~hitmen (madanga): unknown
~kutongozwa: yes as a lady
~nk
Kiufupi, our mithali lady yupo desperate sana kutokana na maisha aliyoyapitia na umri alionao

Yawezekana kweli anajiona ni mithali lady lakini uhalisia unamkataa... Church man aliyenaye sasa kagundua kuwa kava la kitabu halisadifu yaliyomo ndio maana kaamua kumove on muda ambao mithali lady alitaka kutulia na kujenga maisha baada ya mahangaiko mengi ya duniani.
 
Back
Top Bottom