Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,292
- 2,382
kwa akili hizi zake za kuandika. anastahili kuambiwa alicho ambiwa mpaka kikamfikisha huku JF na Nukuu za mithaliBandiko lefu ulichoambiwa hatujakiona.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa akili hizi zake za kuandika. anastahili kuambiwa alicho ambiwa mpaka kikamfikisha huku JF na Nukuu za mithaliBandiko lefu ulichoambiwa hatujakiona.........
Jamaa kagundua ripoti ya CAG ina dosari akaamua kusepa mazima....kwamba kava la kitabu na yaliyomo ndani havina uhusiano hata wa asilimia 15% tu! 😁😁😁Mithali what??? Hahahaaah!
Tuache kudanganyana hapa. Just imagine; (kutoka katika komenti zake)
~age: 36
~watoto: hana
~bikra: hana
~maex: wawili (wanaojulikana mpaka kwa ndugu akiwemo mchungaji)
~hitmen (madanga): unknown
~kutongozwa: yes as a lady
~nk
Kiufupi, our mithali lady yupo desperate sana kutokana na maisha aliyoyapitia na umri alionao
Yawezekana kweli anajiona ni mithali lady lakini uhalisia unamkataa... Church man aliyenaye sasa kagundua kuwa kava la kitabu halisadifu yaliyomo ndio maana kaamua kumove on muda ambao mithali lady alitaka kutulia na kujenga maisha baada ya mahangaiko mengi ya duniani.
Asepe tu atatokea wakunikubali na madhaifu yanguJamaa kagundua ripoti ya CAG ina dosari akaamua kusepa mazima....kwamba kava la kitabu na yaliyomo ndani havina uhusiano hata wa asilimia 15% tu! 😁😁😁
View attachment 2724350
Huyo mtu mbona nishamsahau wakuu?Mnaonaje tufunge uzi atajing'ata bure huko saa hizi ashindwe kumkiss mpenzi wake mpya jinsi mnavyomtajataja😁.kwa akili hizi zake za kuandika. anastahili kuambiwa alicho ambiwa mpaka kikamfikisha huku JF na Nukuu za mithali
Usidinywe tena na watu wa kanisani na hasa Baba Mchungaji. Baadhi yao wanatumia nguvu za giza na ukiingizwa kwenye maagano yao ya kishetani huko hutakaa uwe na amani maishani mwako. I hope utakuwa umejifunza kitu....Asepe tu atatokea wakunikubali na madhaifu yangu
Jamaa yako kafanyaje, kakuacha?
Wanaume wa Dar hawatafuti mke wa Mithali, wanataka sura, rangi na tako.
Ni kweli niliikua namkubali mwamba na sio sizitak mbichi hizi bali siwez kushinda namuwaza nikilia wkt huko aliko keshanisahau anacheka na kufurahi na mpenz wake mpya.Usidinywe tena na watu wa kanisani na hasa Baba Mchungaji. Baadhi yao wanatumia nguvu za giza na ukiingizwa kwenye maagano yao ya kishetani huko hutakaa uwe na amani maishani mwako. I hope utakuwa umejifunza kitu....
Ndiyo utapata mwingine na pengine bora zaidi lakini huyu mwamba ulikuwa unamkubali ndo maana ulikuja mpaka kuanzisha uzi huku. Sizitaki mbichi hizi ama?
Humble yourself. Repent. Be genuine. Focus on yourself and you will attract your Mr. Right!
I am rooting for you sis 🙏🏿
Ni kweli niliikua namkubali mwamba na sio sizitak mbichi hizi bali siwez kushinda namuwaza nikilia wkt huko aliko keshanisahau anacheka na kufurahi na mpenz wake mpya.Usidinywe tena na watu wa kanisani na hasa Baba Mchungaji. Baadhi yao wanatumia nguvu za giza na ukiingizwa kwenye maagano yao ya kishetani huko hutakaa uwe na amani maishani mwako. I hope utakuwa umejifunza kitu....
Ndiyo utapata mwingine na pengine bora zaidi lakini huyu mwamba ulikuwa unamkubali ndo maana ulikuja mpaka kuanzisha uzi huku. Sizitaki mbichi hizi ama?
Humble yourself. Repent. Be genuine. Focus on yourself and you will attract your Mr. Right!
I am rooting for you sis 🙏🏿
Mkuu,Ni kweli niliikua namkubali mwamba na sio sizitak mbichi hizi bali siwez kushinda namuwaza nikilia wkt huko aliko keshanisahau anacheka na kufurahi na mpenz wake mpya.
Nimekua humble kiasi cha kusema hapa kuwa alikua na haki yakunione alivyo niona sasa unataka niwe humble vipi zaidi ya kukiri na kukubali kuwa kweli nilimkosea?
Yeye aende tu nishakubali kuwa Iam single now na namtakia heri huko aendako.
Kunielewa hawezi kunielewa ila siwezi kuvunjika moyo na nitaendelea kuboresha mienendo yangu.Hivyo we usivunjike moyo, endelea tu kuwa good girl, atakuelewa tu kama ni mtu sahihi kwako. Asipokuelewa Mungu atakuletea mwingine ambaye ni sahihi kwako na atakuelewa.
Umeambiwa nini?Kwa kawaida mida hii huwa nakua kanisani ila kwa jinsi nilivyo depressed hata ningeenda Church nisingetoka na chochote.
Toka juzi nimekuwa naisoma MITHALI 31-10-31 kwa lengo la kujitathimini maana ndoto yangu ni kuwa huyu mwanamke anayeelezewa hapa.
Kila nikiisoma hii Methali najiona nikilandana na huyu mwanamke kwa 97% na tena nasema kwa kujiamini kuwa nimemzidi mwanamke wa Mith. 31-10-31 kwa ubora....(YES).
Mwanamke kuwa mwanamke wa MITH 31 huamki tu siku moja na kujikuta hivyo, wala huzaliwi hivyo na wala sio bahati bali ni kwa kujitengeneza kwa mchakato wa muda mrefu na kwa msaada wa roho wa Mungu.
Hata hivyo Mungu anaweza kukukutanisha na huyu mwanamke ila shetani atahakikisha anakutoa kwake kabla hujajua thamani ya mwanamke uliyenae.
Wanaume wengi mnakutana na hawa wanawake ila kwa vile shetani anapenda kusikia vitu kama KATAA NDOA atahakikisha hata Mungu akikuletea huyu mwanamke HUMUONI. Atahakikisha unaona vile anavyotaka yeye uone na ndio maana Biblia inasema 'MKE MWEMA, JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?"
JE NI NANI AWEZAE KUMUONA?
Mwanaume jiulize, UKIMUONA mwanamke ambae kamwe hawezi kukusaliti hata uwe Impotent au atongozwe na Bill Gates au upoteze kazi au uumwe miaka 10 kitandani na hatasema siri hizo kwa yeyote zaidi ya kwa Mungu wake UTAMJUA? Utatumia vigezo gani KUMJUA? Kwanza kuna wanaume na baadhi ya wanawake hawaamini kama hawa watu wana exist ila wapo ila KUWAONA ni mpaka kwa neema.
Wanaume huwa mna vigezo vyenu vya kujua mke mwema ila Mungu akikuletea mwanamke ambae keshajiandaa na kujipa maarifa na uwezo wa kusimama kwa uaminifu bega kwa bega na atakayekuwa mumewe katika kuboresha maisha ya familia yao utatumia vigezo gani KUMUONA?
Je, UTAMUONA kwa zawadi anazokuletea wakati wa uchumba au utamuona kwa sababu haombi nauli au utamuona kwa ajira/biashara yake nzuri au utamuona kwa kuwa hata ukikaa wiki bila kumtafuta halalamiki au utamuona kwa degree yake au utamuona kwa sababu hana kasoro kama binadamu wengine au UTAMUONAJE?
Kwa jinsi ninavyoongoza maisha yangu sikutegemea ipo siku nitaambiwa maneno niliyoambiwa lakini yamenisaidia kujua nifanye nini ili nisije nikaambiwa tena.
NB: Sijaandika kutafuta mwenza ndio mana PM nimefunga. Kuandika ni njia yangu yakujifariji.
Mbarikiwe.
Mithali 31:10-31
Enhee bwana, akutajie umgawie mauzoefu, au siyo dada To yeye ?Amekufanyaje
Lakini mwanamke wa mithali hakudinywa kabla ya ndoa mdada!!Khee!
Hapana but Iam single now.
Akitokea church man nampenda nadinywa tu.