Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing is also an experienceI know nothing 🤣🤣🤣🤣🤭
Haya fungua pm hutakosa kijana wa biblia, tena huku utapata aliye bora kabisa.Yes but Iam a modern mithali lady.A dinywable one!
KumbeNothing is also an experience
Hao wa mithali labda vijijini hukoJamaa yako kafanyaje, kakuacha?
Wanaume wa Dar hawatafuti mke wa Mithali, wanataka sura, rangi na tako.
🤣🤣🤣🤣🤭 Wananichokoza Ili niropoke🥴Apia shosti angu😁
SioKwamba kuwa mshamba ndo kuwa mithali lady?
🤣🤣🤣Wananipendea story za kubanduana wakati mwenzao nataka nimpokee Yesu nianze kuhubiri neno takatifuI know..They like you ndo mana
Onhoo,hivyo nisubiri niolewe? Mbona humu wanaume hawataki kuoa singlemom....wanasema ni kheri watupwe mto kagera waliwe na mamba kuliko kuoa singlemom 😥😭😭😭Teh teh teh.
Ila ukiolewa si utafanya mibanduano mitakatifu na neno utahubiri tu.
Kazi kwetu ma single ladies.Mwendo wa kuzini tu😁
Yes! Si umesema unataka kumpokea Yesu dearest?😁😁.Onhoo,hivyo nisubiri niolewe? Mbona humu wanaume hawataki kuoa singlemom....wanasema ni kheri watupwe mto kagera waliwe na mamba kuliko kuoa singlemom 😥😭😭😭
Enhee,ndo nasubiri niwaalike na kadi walionisuta🤭🤸🤸🤸Yes! Si umesema unataka kumpokea Yesu dearest?😁😁.
Wakawababaishe ma single mama matonya ila single mom mwenye life lake la maana anaolewa vizuri tu shosti angu😁
.