Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

🤣🤣🤣Wananipendea story za kubanduana wakati mwenzao nataka nimpokee Yesu nianze kuhubiri neno takatifu
Teh teh teh.

Ila ukiolewa si utafanya mibanduano mitakatifu na neno utahubiri tu.
Kazi kwetu ma single ladies.Mwendo wa kuzini tu😁
 
Onhoo,hivyo nisubiri niolewe? Mbona humu wanaume hawataki kuoa singlemom....wanasema ni kheri watupwe mto kagera waliwe na mamba kuliko kuoa singlemom 😥😭😭😭

Cc National Anthem ......Mungu anakuona ila😔
 
Onhoo,hivyo nisubiri niolewe? Mbona humu wanaume hawataki kuoa singlemom....wanasema ni kheri watupwe mto kagera waliwe na mamba kuliko kuoa singlemom 😥😭😭😭
Yes! Si umesema unataka kumpokea Yesu dearest?😁😁.

Wakawababaishe ma single mama matonya ila single mom mwenye life lake la maana anaolewa vizuri tu shosti angu😁
.
 
Enhee,ndo nasubiri niwaalike na kadi walionisuta🤭🤸🤸🤸
 
Back
Top Bottom