Huwa naandika direct humu humu, sinacho sehem nyingine yoyote zaidi ya humuAisee! Yani nimesoma kipande cha 20 kama nikiwa nimeshikiwa fimbo na kujaribu kuungaunga kila tukio la kuunganisha hiyo part ila sijafua dafu! Nikakosa ladha ikabidi nipumzike kidogo! Ndio nimerudi nikiwa na matumaini flani ambayo sijayakuta!
Kiweke hapa mkuu au nitumie PM kama kilikua na ukakasi mpaka kimeondolewa
Nimemaliza kusoma ila kwa uchungu sanaHuwa naandika direct humu humu, sinacho sehem nyingine yoyote zaidi ya humu
Walaaniwe[emoji2959][emoji2959][emoji19]Wametoa vyote hadi ambavyo mtu aliquote, sijajua shida ni nn. Haikuwa na contents zozote mbaya
Pole sana mkuu,Hii story yako imeamsha hisia moyoni mwangu...Kwa sasa umri umeshakwenda Ila sio umri mkubwa sana ila kwa jeshini umri wangu hauruhusu na siwezi kurudisha siku nyuma .
Niweke wazi nina baba yangu mkubwa alikuwa general jeshini (jina kapuni)aliwahi kunihimiza sana nikasome kozi ya udiplomasia Ila mimi nikaweka kichwa ngumu nikaenda kusoma udaktari,nikaja kupata kazi NGO's fulani akanishauri nisiende uko niende jeshini nikagoma nikafata mkumbo nikaenda ktk hiyo NGO's
Nakumbuka kauli yake ya mwisho alisema ACHA MVUA INYESHE TUONE PANAPO VUJA.
Na kweli mvua imenyesha na panapovuja tumepaona
Pamoja sana kamanda 👊👊Chambo wa chama Cha wezi Analyse big up kwa story nzuri na yenye mafunzo.
👉 Nimejifunza familia ndio msingi wa kila kitu.
👉Vijana Ina tubidi tupambane, ili familia zetu zisije teseka Kama sisi.
👉Mapenzi na Vita dhidi ya umasikini ni maji na mafuta.
👉I mean no malice to nobody. Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
,
Mkuu siioni ya 19 nashindwa kuendelea na 20 ntakosa kulink matukioNimejaribu kuangalia, pia sijaiona. Itabidi mods Moderator YinYang Invisible au Maxence Melo waje wakupe jibu kwanini imeondolewa.
Hiyo portion ya 19 ilikuwepo
Wakiirudisha nitag au itume upyaImetolewa na mods, sijajua sababu ni ipi. Nimejaribu kuwauliza, nasubiria majibu
Poa kaka mkubwaLabda kama watairudisha nikutag, ila kuituma tena siwezi,maana niliandika direct humu
Ahsante Darling...