Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Aisee! Yani nimesoma kipande cha 20 kama nikiwa nimeshikiwa fimbo na kujaribu kuungaunga kila tukio la kuunganisha hiyo part ila sijafua dafu! Nikakosa ladha ikabidi nipumzike kidogo! Ndio nimerudi nikiwa na matumaini flani ambayo sijayakuta!

Kiweke hapa mkuu au nitumie PM kama kilikua na ukakasi mpaka kimeondolewa
Huwa naandika direct humu humu, sinacho sehem nyingine yoyote zaidi ya humu
 
Chambo wa chama Cha wezi Analyse big up kwa story nzuri na yenye mafunzo.
👉 Nimejifunza familia ndio msingi wa kila kitu.
👉Vijana Ina tubidi tupambane, ili familia zetu zisije teseka Kama sisi.
👉Mapenzi na Vita dhidi ya umasikini ni maji na mafuta.
👉I mean no malice to nobody. Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
,
 
Hii story yako imeamsha hisia moyoni mwangu...Kwa sasa umri umeshakwenda Ila sio umri mkubwa sana ila kwa jeshini umri wangu hauruhusu na siwezi kurudisha siku nyuma .
Niweke wazi nina baba yangu mkubwa alikuwa general jeshini (jina kapuni)aliwahi kunihimiza sana nikasome kozi ya udiplomasia Ila mimi nikaweka kichwa ngumu nikaenda kusoma udaktari,nikaja kupata kazi NGO's fulani akanishauri nisiende uko niende jeshini nikagoma nikafata mkumbo nikaenda ktk hiyo NGO's
Nakumbuka kauli yake ya mwisho alisema ACHA MVUA INYESHE TUONE PANAPO VUJA.
Na kweli mvua imenyesha na panapovuja tumepaona
Pole sana mkuu,
Wengine mpaka tuliitwa mjapani kwa kupenda magari na ufundi na tuliyaweza haswa.
Mtu hata huelewi leo ni Baba ntilie🤷‍♂️.
Ila mulemule tu michuzi nayo watakula imesukwa km injini ya Scania.👊
Maisha yaendelee😁
 
Chambo wa chama Cha wezi Analyse big up kwa story nzuri na yenye mafunzo.
👉 Nimejifunza familia ndio msingi wa kila kitu.
👉Vijana Ina tubidi tupambane, ili familia zetu zisije teseka Kama sisi.
👉Mapenzi na Vita dhidi ya umasikini ni maji na mafuta.
👉I mean no malice to nobody. Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
,
Pamoja sana kamanda 👊👊
 
Back
Top Bottom