Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Yaani kuna watu wengi humu hawana uvumilivu hata kidogo na hawana utulivu wa akili. Ni kama hawana kitu kingine cha kufanya zaidi ya kushinda JF. Hebu fikiria mtu analeta bure story kwa hiari yake. Baadae watu wanaanza kumforce kama vile wanamlipa,inakera. kauli yao utasikia kwa nini alikuwa analeta kama hana nafasi ya kuleta mfurulizo? Point ya kijinga sana. Hata kama mtu umeiandaa yote bado huwezi kutuma mfurulizo.
 
Mkuu kweli usemayo.Mzee wangu bado yupo hai.nilipomaliza kidato cha sita mzee alitaka niende polisi (nafasi ilikuwa ya wazi kwa maana rega alikuwepo na ndio aliyempa mzee mchongo)
Kutoka na ujuaji wangu nikakataa kisa nataka kwenda chuo.kwa bahati mbaya nilikosa mkopo na mzee hakuwa na uwezo. Baada ya miaka kadhaa kuna siku nikawa naongea na mzee kuhusu mambo flani flani.
Mzee alinifungukia kwa namna nilivyomuangusha na nilikuwa naiona huzuni yake kupitia sura yake.
Aisee hawa wazee wanaona mbali bhana, mimi hadi leo huwa najuta kwa nini sikufuata maneno ya mzee.
Ingawa nina kazi serikalini lakini ni kazi ambayo unakuwa na hela katika siku tatu za mwezi na siku ishirini na saba upo tupu.
 
Ngoja twende nao mdogo mdogo, wataelewa tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Apostle unaturuhusu tuendelee kukesha tukisubiri vile Shani alivyokufelisha kwenye deal hilo au tulale hakuna mwendelezo?,

"Aione mzee kesho yetu"
 
Uwe unanitag na mm kaka ila naomba kuuliza ile story yako ya kwanza ilionesha kama ulitoboa maisha na hukuendelea na shule na mzee alibariki
But hii inaonesha umeenda advance inachanganyaa mzee
 
Mbona umechelewa kuisoma hii portion ya leo. Ulikuwa wapi mkuu? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mambo mengi mkuu. Unajua nimejiwekea alam saa tatu hivi ndio nakuja kufungua. Ili niikute maana kusubiri ni jau
 
Mambo mengi mkuu. Unajua nimejiwekea alam saa tatu hivi ndio nakuja kufungua. Ili niikute maana kusubiri ni jau
Nakazia hapo kwenye bold mkuu. Hata kwa upande wangu mambo ni mengi, sasa iweje utake Mimi niwe naandika na kupost mara nyingi, then ww alarm yako ikilia ndio uje kusoma? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nadhan u got my point now πŸ˜…
 
Nakazia hapo kwenye bold mkuu. Hata kwa upande wangu mambo ni mengi, sasa iweje utake Mimi niwe naandika na kupost mara nyingi, then ww alarm yako ikilia ndio uje kusoma? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nadhan u got my point now πŸ˜…
Umeshinda mkuu. Nitasubiri nikiomba neema na kesho niwe napumua.
 
kutapeliwa kunauma jamani acheni tu na kinachouma ni kile kuzidiwa akili na aliyekutapeli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…