Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

Kwa hiyo ukienda Indonesia utaongea Kiswahili? Acha ushamba thamini lugha yako
 
Raisi wa china XI JINPING hajui kiingereza na hazungumzi hiyo lugha kwenye meating na maraisi wanaozungumza kiingereza usaidiwa na mkalimani
 
Mkuu acha porojo! Ukweli usemwe. Div 0 huwezi linganisha na waliofaulu, jitambue.
 
Huwa anaongea sana mbona mm nimewahi onhea nae yuko vyema kinatosha cha urais
 
😅😅
 
Viongozi wa Chadema uenda kuongea na Mabalozi wa Nchi za Ulaya mara kwa mara. Uliishawahi kumuona John Heche anaongea Kiinglish? Niwekee clip hapa!
 
Viongozi wa Chadema uenda kuongea na Mabalozi wa Nchi za Ulaya mara kwa mara. Uliishawahi kumuona John Heche anaongea Kiinglish? Niwekee clip hapa!
Ni kweli inawezekana Heche hajui kiingereza vizuri, ila ana afadhali kuliko ilivyokuwa dhalimu magu.
 
Ni kweli inawezekana Heche hajui kiingereza vizuri, ila ana afadhali kuliko ilivyokuwa dhalimu magu.
Na bado akawa Rais wako na ulifyata wewe na ukoo wako mzima! Mkimsikia tu akiongea redioni mnakimbilia chooni! Nyambafu!!!
 
Action speaks louder than words, Tunataka mtendaji zaidi sio mzungumzaji

Hata angekuwa Bubu kama ni Mtendaji bado tunamtaka
 
Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
Kwa taarifa yako watalii wengi wanaoitembelea Arusha huwa hawajui kutema yai huko ni..

Swahili vs spaniol..

Swahili vs Portuguese

Swahili vs Italian.

Swahili vs Germany..

Swahili vs French..

Tour guide wanapiga pesa ndefu ni wale wajuao hizo lugha.

Makonda ana mkalimani wake maalum kwa hizo lugha.

Kwa kifupi kutema yai sio deal wala ujanja Arusha.

Kamata hiyo kijana.
 
Atakuwa anaongea kiswanglishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…