Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Idadi ya Wanaume wanaokufa na kuacha Wake ni kubwa sana kwa Tanzania.
Wanaume tupunguzeni kuoa wanawake wadogo sana kiumuri
Hapo ni labda mfiwa yuko suspected nae tayari kaupataMkuu pole kwa misiba hii iliyofutana.
Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
View attachment 2621698
uvikoMkuu pole kwa misiba hii iliyofutana.
Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
View attachment 2621698
Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana.
Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
View attachment 2621698
Naunga mkono hoja, sem hii picha imenikumbusha mbali sana aisee, yaani enzi za majani ya mapera, sijui mchaichai, tangawizi, covidol, vitunguswaumu, karafuu, malimao yalipanda bei hadi nikafunga genge la malimao na tangawiziNi kila mtu kujiangalia kivyake ndugu yangu na wazee na wenye matatizo ya afya inabidi wawe waangalifu sana...
View attachment 2622645
Hata mimo nimeshangaa, ukiuliza watakwambia wakivaa barakoa watazua taharuki kwa wananchi, sijui kwa nini serikali huwa inaficha mambo ya msingi namna hiyo
Au pengine Merehemu alikua na changamoto nyingine ambayo haihudiani na upumuaji
Impact ya kuoa mwanamke makamo yako unaijua mkuu?Idadi ya Wanaume wanaokufa na kuacha Wake ni kubwa sana kwa Tanzania.
Wanaume tupunguzeni kuoa wanawake wadogo sana kiumuri
Sasa brother kama mmoja anasumbua kiasi hiki tunavyo shuhudia vilio, wawili si siku za kuishi zinapungua double double!Kuoa wanawake wadogo kiumri wala siyo kisababishi kikuu cha wanaume kufa mapema. Duniani kote iko hivyo. Google sababu utazipata...na baadhi ya tafiti zinapendekeza hili suluhisho [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2622650
View attachment 2622651
Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana.
Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
View attachment 2621698
Soma utafiti braza...Sasa brother kama mmoja anasumbua kiasi hiki tunavyo shuhudia vilio, wawili si siku za kuishi zinapungua double double!
Hata hizo zikifika tu jamaa wanazigawana fasta! 🚮🚮🚮Wameshakomba mikopo yote ya covid ,subiri itoke ofa ya mikopo mingine fasta watarudisha chanjo na barakoa za kutosha
Ngoja nifanye utafiti kwa kizazi chetu hiki cha miaka ya 80 kuja 2000.Soma utafiti braza...
Wameelezea vizuri sana...
Na ni utafiti mkubwa wa karibia dunia nzima!
Yaani watu wasisogee kiasi cha kurusha virus wa magonjwa, maana yeye ni mmoja na wanaokwenda kumpa pole ni wengi na Afya zao hazijulikani, kama unakumbuka nyakati za COVID na hasa maduka ya wahindi mpaka leo hufanya hivyo ili mtu asimsogelee mhusikaTahadhari kwa kumzungushia hizo kamba?.
Na changamoto ya mafua na kubanwa kifua + hofu ukakosea ukakaa lockdown ndio chanzo kikuu cha R.I.PPossibility ya kuwa na Lockdown ni Ndogo Kamarada kwani Watanzania tutakufa na Njaa.