Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

Uzuri wanatembeaga na biti la uviko
Kwahio wakishawadungua wanaleta na stori za kifua
Mkipigiwa kamba nyekundu na vibarakoa vichache vya kuzugia
Mnaconclude ni kifua
Mnasahau kuwaza na other possible causes
 
Ukiniambia ni ile covid iliyomaliza 'kundi lile' imekuja "kusafisha" njia kwaajili ya "kundi jipya" nitashawishika, maana hawa wamechanja chanjo zote alizochanja Joe Biden
Biden pamoja na kuchanja akapata COVID.Utetezi uliotolewa ni kwamba chanjo hizo hazizuii kuambukizwa,isipokuwa zinazuia mgonjwa wa COVID kutokufariki kwa ugonjwa huo.
 
Hujajifunza kwenye korona? Mumewe kafa juzi, unataka ujichanganye naye?
Inasemekana changamoto za kupumua zimeanza tena. tetesi lkn!
Kuna is wimbi ka mafua makali kikohozi na makavu Kubana kaa mbali ....mbali

Basi tuanze hii kitu hapa mara moja mkuu...
IMG_20230515_123950.jpg
 
Kama aliyeondoka anahisiwa Kaondoka na COVID-19 japo inafichwafichwa unategemea na Mkewe awe hana?

Hivyo ilikuwa ni lazima Uzio huo uwepo ili Kuwalinda Wengine ( hasa Wageni ) na Yeye Mjane kuwa Karantini ya muda Kama hiyo Pichani.
Camaraderie so, yawezekana soon tukapigwa lockdown au naota?.
 
Kirusi cha Korona kilichoboreshwa kiko mjini. Tuanze kujifukiza na kunywa malimau na tangawizi....
Mwenye falsafa yake hayupo tena, tujikinge tu kwa kuvaa barakoa, kutumia vitakasa mikono, kuzingatia na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima, ambao hawajachanjwa wakimbie wakapate chanjo

Tupo kwenye awamu ya sayansi mkuu, zile mashine za kujifukiza zilishachomwa moto
 
Ni kila mtu kujiangalia kivyake ndugu yangu na wazee na wenye matatizo ya afya inabidi wawe waangalifu sana...
IMG-20230515-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom