Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

Mzee naelewa na najua maana ya 1 Kilometre is equal to 1000 metres Mzee. Kuna mtu aliyekimbia 1 km then akamcheka aliyekimbia 1000 metres akidai amekimbia umbali mfupi.
Duh aisee.. 🤣🤣🤣
 
Yan inashangaza sana watanzania tunashindwa kujifunza mazuri kutoka kwa jirani zetu.
 
Huko ukiiba utasimulia ya dunia ndo maana hakuna wizi. Mfano mzuri ni Zanzibar watu wanapogopa kuiba kwa sababu wanajua wezi wanafanywaga mambo gani.
 
Huko ukiiba utasimulia ya dunia ndo maana hakuna wizi. Mfano mzuri ni Zanzibar watu wanapogopa kuiba kwa sababu wanajua wezi wanafanywaga mambo gani.
Jela za Zambia na polisi wao ni balaa kweli kweli.
 
mkuu ni kweli kabisa.
mimi niko lusaka west hii ya mumbwa road jirani na kituo cha west wood.

Natype now nikiwa karibu na bar ya bill buster "J J' s pub and grill....maisha ukiachilia mbali usalama wa-zambia hawana roho mbaya ni wtu wazuri sana ,mnoooo

Any way tuko pamoja kuijenga nvhi ya hichelema
 
Nina mwaka m1 zambia,nafanya kazi kwa kampuni flani hivi, japokuwa work permit ni ghali ila sijutiii kuendelea kupiga kazi
 
Ndugu zetu wa Zambia wako vizuri kiusalama na kiushirikiano. Wacongo, warundi, wanyarwanda, watanzania, wazimbabwe, wamalawi nk wamejaa kibao Lusaka wakifanya biashara zao bila bughuza yoyote.
 
Tanzania na kenya ina jitahidi sana ukilinganisha na hao enzetu atleast na rwanda nao
 
Jitahidi sana usifanye kosa la uhamiaji au jinai. Kamwala na Chimbwakaila ni njia panda ya kuzimu.
 
Mr.Dudumizi umehamia na kuwa balozi wa Amani wa Zambia,Ile habari ya nchi yako ni kisiwa cha amani imeishia wapi🥱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…