Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

Kweli kabisa mkuu. Askari wa nchi moja kuingia katika ardhi ya nchi ya pili na silaha, kimataifa inahesabika kuwa ni uvamizi, kwahiyo wangefanya lolote wanalotaka kufanya kwa wale polisi na bado sheria za kimataifa zingewalinda maana ingeonekana kuwa walikuwa wanatekeleza wajibu wao, ili kuilinda ardhi yao dhidi ya uvamizi. Hata juzi kuna mwanajeshi wa Congo aliuwawa huko Rwanda baada mwanajeshi huyo wa Congo kuvuka mpaka na kuwafuata watu waliofanya vurugu Congo. Kwahiyo pale tatizo halikuwa hao watu waliofanya fujo Congo na kukimbilia Rwanda, bali tatizo lilikuwa ni yule mwanajeshi kuvuka mpaka wa Congo na kuingia Rwanda na silaha.
Yule jamaa wa Congo alimfuatana Nani anayefanya vurugu?Jeshi la Rwanda na Congo walikua Kwny tension.Yule mwanajeshi wa Congo akaingia ndani ya Rwanda na kuanza kurusha risasi kuelekea jengo la boarder na alijeruhi Askari mmoja wa Rwanda,aliuawa hapohapo.Walivyoomkagua walimkuta na bangi Kwny mfuko wa shati.

Nadhani majani yalimtuma kujifanya yeye ni Rambo full kujiona Ni hero kumbe Ni mgambo tu.
 
Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia.

Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi hii bila shaka wataleta ushuhuda wa hiki ninachoongea. Zambia ndio nchi ambayo unaweza kununua kitu njiani huku basi linakwenda, cha ajabu kama ulitangulia kumpa muuzaji hela kubwa, basi muuzaj atalikimbilia hilo basi hadi ahakikishe amekurudishia chenji yako, kitu ambacho kwa nchi nyingi including Tanzania hakipo. Yani ukinunua kitu ukatangulia kutoa hela na basi likaanza kwenda, basi uhesabu ushapigwa, maana muuzaji hatokupa chenji yako, badala yake atakimbia zake akijua hauna uwezo wa kutoka ndani ya basi linalotembea ili umkimbize yeye.

Hiyo tisa, kumi ni pale unapofika Lusaka katika ile stand yao kuu inayoitwa Kaunda bus terminal. Aisee pale utakuta wale jamaa wanaochenji hela wakiwa na maburungutu ya dola za mia mia, hamsini hamsini nk wameziweka mezani kwa ajili ya kuwachenjia wasafiri mbali mbali wanaoshukia pale kutoka nchi mbali mbali. Lile soko liko wazi masaa 24, na hakuna anaeingia kuwasumbua au kuwaibia wale wanao anika madola yao hadharani kwa ajili ya chenji. Kwa Tanzania ukiwa na sh laki 1 ukienda kariakoo kununua kitu, basi muda wa kulipa inabidi usogee kona kidogo ndo uchomoe hela, tena kimagutu magutu unaangalia huku na kule ili usije fatwa na vibaka. Kwa Zambia hiyo haipo.

Kuna siku nilishuka pale na mzigo wa maana, kwa vile nina mjomba wangu anaishi pale ikabidi na mimi nichukue hata wiki moja ili niuze mzigo wangu mdogo mdogo. Aisee nilishangaa kuona jamaa amekuja na zaidi ya dola 2500 tena kaziweka mfukoni tu, hana wasi wasi wowote mpaka pale town lilipo duka la mjomba wangu, akanipa changu na mimi nikamkabidhi mizigo yake akaita gari akapakia akaondoka.

Mimi mcheche ukanishika nikifikiri labda kuna watu wametuona kwahiyo wanaweza kuja kutupora yale madola aliyoniachia jamaa, mjomba wangu akacheka na kuniambia kuwa hapa watu huwa wanatembea mpaka na dola elf 7 town, itakuwa mimi wa dola elf 2 bwana.

Ki ukweli style ya maisha ya pale niliipenda sana haswa kwa upande wa usalama, sema ndo hivyo sehemu ambayo haukuanzia maisha ukisema uende kuanza tena itachukua muda kutoka.

Hizi nchi zetu zingine usalama ni zero, mpaka inafika kipindi wengi wetu tunakuwa tunatembea na kadi za bank tu mifukoni, ili kuepusha wizi wa fedha unaoweza kutokea wakati wowote. Mpaka sasa sijajua ni mbinu gani wanayotumia hawa jamaa kudhibiti wizi na ujambazi katika maeneo mbali mbali ya mji wa Lusaka na Zambia yote kwa ujumla.
Rushwa kwa askari wao mbona huongelei?
 
Yule jamaa wa Congo alimfuatana Nani anayefanya vurugu?Jeshinla Rwanda na Congo walikua Kwny tension.Yule mwanajeshi wa Congo akaingia ndani ya Rwanda na kuanza kurusha risasi kuelekea jengo la boarder na alijeruhi Askari mmoja wa Rwanda,aliuawa hapohapo.Walivyoomkagua walimkuta na bangi Kwny mfuko wa shati.

Nadhani majani yalimtuma kujifanya yeye ni Rambo full kujiona Ni hero kumbe Ni mgambo tu.
Mkuu yule mwanajeshi hata asingerusha risasi, kitendo cha kuingia tu na silaha katika nchi nyingine lilikuwa kosa kubwa kimataifa. Nikupe mfano. Mfano wewe umekaa kwako nje umepumzika usiku unapata hewa. Ghafla anakuja mtu na kisu hapo kwako ulipokaa na kuingia mpaka ndan walipolala watoto wako na pengine na mke wako. Je ww utakaa tu hapo nje ukisubiri jamaa mpaka atoke au utamfata na tahadhari zote ukijua kwamb jamaa amekuja kwa lengo la kuja kufanya action eidha kumchinja mtu au kumpiga mtu kisu cha tumbo. So na mipaka ni hivyo hivyo askari hauwezi kuingia upande wa pili wa ardhi ya nchi nyingine ukafanye action bila ruhusa ya mamlaka ya nchi husika. Hii uliza mtu yoyote atakwambia mkuu.
 
Yap mbeya mm n mtu wa mbeya napajua watu wa mbeya n wakarimu Sana labda ulikutana na walowez mbeya, katavi, ruvuma, songwe,
Ila watu wa Songwe hapana,siwakubali kabisa Wanyiha,ukiishi nao jihesabie unaishi Mogadishu,kuna ndugu yangu walitaka wamuue washenzi wale
 
Hata Wamalawi nao ni waaminifu sana kwenye biashara,hawana tabia za wizi,sasa hapa kwetu hadi Polisi tu wamegeuka majambazi,yaani umtoe mtu roho kwa sababu ya sh.mil.70 tena kaipata kiuhalali kwa kuuza madini yake. Wengine walikula hela za tetemeko Kagera halafu wakajibu sio sisi tulioleta tetemeko
 
Ya ni kweli mkuu, laiti wasinge adhibiwa, basi kimataifa ingeonekana kuwa swala lile lina baraka ya serikali. Hivi inawezekana vipi polisi wanaosomea mambo sheria katika majukumu yao ya ukamataji washindwe kujua kuwa kuvuka boda na kuingia nchi nyingine na silaha ni kosa kubwa sana kimataifa? Ile haikuwa aibu yao bali ilikuwa ni aibu ya serikali, maana inaonekana kuwa askari wetu huwa hawafundishwi hata ramani za mipaka yetu.
Kuna miaka ya nyuma kuna wanajeshi wa burundi walivuka kobero na gwanda zao na gari kabla hawajafika kabanga wakaambiwa wameingia Tz walibabaika sana
 
Mr Dudumizi usitumie nguvu kuandika vitu usivyovijua kumuelewesha anaekijua nakwambia tena majambazi walikua wanakuja Tunduma kufanya uharifu na kurudi upande wa Nakonde ambako ndio Zambia walikua wanajificha huko ila baadae kutokana na ushirikiano wa Nchi mbili ilikua rahisi kuwakamata na wengine walikua Watanzania walionyeshwa pale Hospital ya Rufaa mbeya miaka ya nyuma huko mimi mara nyingi naandika vitu nilivyoviona ni vile nimesahau mwaka wenyewe waliuawa karibu majambazi saba walikua hatari sana mpaka ile tabia ya watu wa Nakonde kulala na hela nyumbani au kwenda kwake kubadilisha dola huo mfumo ulikufa kabisa...
 
Japo mi mkristo ila unachosema nu kweli

Jamii za kiislamu zina ustaarabu sana kwenye biashara na mambo ya wizi wizi sio mkubwa kuliko jamii za kikristo.

Huo ni ukweli kabisa
Manzese ,tandale,mbagala kumejaa waislam,panya road wengi waislam
 
Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia.

Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi hii bila shaka wataleta ushuhuda wa hiki ninachoongea. Zambia ndio nchi ambayo unaweza kununua kitu njiani huku basi linakwenda, cha ajabu kama ulitangulia kumpa muuzaji hela kubwa, basi muuzaj atalikimbilia hilo basi hadi ahakikishe amekurudishia chenji yako, kitu ambacho kwa nchi nyingi including Tanzania hakipo. Yani ukinunua kitu ukatangulia kutoa hela na basi likaanza kwenda, basi uhesabu ushapigwa, maana muuzaji hatokupa chenji yako, badala yake atakimbia zake akijua hauna uwezo wa kutoka ndani ya basi linalotembea ili umkimbize yeye.

Hiyo tisa, kumi ni pale unapofika Lusaka katika ile stand yao kuu inayoitwa Kaunda bus terminal. Aisee pale utakuta wale jamaa wanaochenji hela wakiwa na maburungutu ya dola za mia mia, hamsini hamsini nk wameziweka mezani kwa ajili ya kuwachenjia wasafiri mbali mbali wanaoshukia pale kutoka nchi mbali mbali. Lile soko liko wazi masaa 24, na hakuna anaeingia kuwasumbua au kuwaibia wale wanao anika madola yao hadharani kwa ajili ya chenji. Kwa Tanzania ukiwa na sh laki 1 ukienda kariakoo kununua kitu, basi muda wa kulipa inabidi usogee kona kidogo ndo uchomoe hela, tena kimagutu magutu unaangalia huku na kule ili usije fatwa na vibaka. Kwa Zambia hiyo haipo.

Kuna siku nilishuka pale na mzigo wa maana, kwa vile nina mjomba wangu anaishi pale ikabidi na mimi nichukue hata wiki moja ili niuze mzigo wangu mdogo mdogo. Aisee nilishangaa kuona jamaa amekuja na zaidi ya dola 2500 tena kaziweka mfukoni tu, hana wasi wasi wowote mpaka pale town lilipo duka la mjomba wangu, akanipa changu na mimi nikamkabidhi mizigo yake akaita gari akapakia akaondoka.

Mimi mcheche ukanishika nikifikiri labda kuna watu wametuona kwahiyo wanaweza kuja kutupora yale madola aliyoniachia jamaa, mjomba wangu akacheka na kuniambia kuwa hapa watu huwa wanatembea mpaka na dola elf 7 town, itakuwa mimi wa dola elf 2 bwana.

Ki ukweli style ya maisha ya pale niliipenda sana haswa kwa upande wa usalama, sema ndo hivyo sehemu ambayo haukuanzia maisha ukisema uende kuanza tena itachukua muda kutoka.

Hizi nchi zetu zingine usalama ni zero, mpaka inafika kipindi wengi wetu tunakuwa tunatembea na kadi za bank tu mifukoni, ili kuepusha wizi wa fedha unaoweza kutokea wakati wowote. Mpaka sasa sijajua ni mbinu gani wanayotumia hawa jamaa kudhibiti wizi na ujambazi katika maeneo mbali mbali ya mji wa Lusaka na Zambia yote kwa ujumla.
Kipind naamia bugurun rozana nyuma ya ghorofa za polisi nyumba yenyew ilikua inaangalia ghorofa la mwanzo la polisi niliamin hakuna eneo salama km lile.

Baada ya miez saba siku hiyo natoka zangu kibaruan mida ya saa nne usiku ilikua balaa.

Jamaa waliing'ang'ania shingo yangu km wana ugomv nayo na kilichoniponza urefu nilionao na kuvaa vibod tait nikaonekana km baunsa[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kuna miaka ya nyuma kuna wanajeshi wa burundi walivuka kobero na gwanda zao na gari kabla hawajafika kabanga wakaambiwa wameingia Tz walibabaika sana
Ya umenikumbusha hayo hayo ya Burundi mkuu. Mwaka 1995, wakati huo serikali ilikuwa chini ya raisi Ally Hassani Mwinyi majeshi hayo hayo ya Burundi yalivuka boda kuingia Tanzania kwa lengo la kuja kuwaangamiza waasi wa Burundi waliofanya maafa kwa askari wa Burundi na kukimbilia Tanzania. Basi bwana warundi wakapiga hatua ya kwanza ktk ardhi yetu wakaona kimya, wakapiga ya pili kimya, ya tatu na kuendelea kimya. Basi wakaona kumbe Tanzania iko wazi namna hii haina hata jeshi la kuangalia mipaka yake, jamaa wakazidi kuingia tu kwa wingi katika ardhi ya Tanzania na vifaru vyao wakiamini kuwa wako katika ardhi ya shamba la bibi hakuna atakaewafanya kitu. Basi ndugu wale warundi walishtukia kitu kimeanguka ghafla kati kati yao, wakati wao wanatafakari ili kujua kitu hicho kimetokea wapi, ghafla wakajikuta tayari washanyanganywa silaha zao zote na wanaamrishwa warudi huko huko walipotoka bila silaha hata moja. Baada ya kuhakikisha jeshi la Burundi lote lishaingia ktk ardhi yao, jeshi letu lilitupa kiazi kimoja tu cha kuwaonya kwamba wasirudie tena ujinga ule. Unaambiwa hilo eneo lililotupwa kiazi hadi leo hakujawahi kuota chochote, yani eneo limebaki wazi kama ukumbusho.
 
Hicho kitakua kiaz cha nyuklia[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kipind naamia bugurun rozana nyuma ya ghorofa za polisi nyumba yenyew ilikua inaangalia ghorofa la mwanzo la polisi niliamin hakuna eneo salama km lile.

Baada ya miez saba siku hiyo natoka zangu kibaruan mida ya saa nne usiku ilikua balaa.

Jamaa waliing'ang'ania shingo yangu km wana ugomv nayo na kilichoniponza urefu nilionao na kuvaa vibod tait nikaonekana km baunsa[emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahaha.. nayakumbuka sana maeneo yale mkuu. Sasa mkuu kama watu wanakabwa mchana kweupe pale msimbazi ilipo police centre ya mjini, itakuwa buguruni vichochoroni tena usiku 😀😀😀😂😂 umenichekesha walivyo idandia shingo.
 
Hata Wamalawi nao ni waaminifu sana kwenye biashara,hawana tabia za wizi,sasa hapa kwetu hadi Polisi tu wamegeuka majambazi,yaani umtoe mtu roho kwa sababu ya sh.mil.70 tena kaipata kiuhalali kwa kuuza madini yake. Wengine walikula hela za tetemeko Kagera halafu wakajibu sio sisi tulioleta tetemeko
Mkuu siku hizi wamalawi wanakaba kinoma hapa Johannesburg maeneo ya town. Tatizo wamalawi wengi wamejimix na wabongo, kwahiyo siku hizi na wenyew wanajifanya wasela mavi wanakaba kaba hovyo, na ukimuachia mwanya dukani anakuacha uchi. Analamba kila kitu hadi ufagio.
 
Bila shaka ni utani huu 😂
ni kweli ni utani mkuu.Nigeria ni moja ya nchi yenye uchumi wa juu Africa lakini ni nchi inayoongoza kwa utapeli.Nigeria kugongewa tu passport lazima utoe rushwa hata ukipotea ukitaka kuonyeshwa njia jamaa anakuambia umpe hela kwanza.Pia ni nchi iliyo na wasomi wengi mno
 
Mr Dudumizi usitumie nguvu kuandika vitu usivyovijua kumuelewesha anaekijua nakwambia tena majambazi walikua wanakuja Tunduma kufanya uharifu na kurudi upande wa Nakonde ambako ndio Zambia walikua wanajificha huko ila baadae kutokana na ushirikiano wa Nchi mbili ilikua rahisi kuwakamata na wengine walikua Watanzania walionyeshwa pale Hospital ya Rufaa mbeya miaka ya nyuma huko mimi mara nyingi naandika vitu nilivyoviona ni vile nimesahau mwaka wenyewe waliuawa karibu majambazi saba walikua hatari sana mpaka ile tabia ya watu wa Nakonde kulala na hela nyumbani au kwenda kwake kubadilisha dola huo mfumo ulikufa kabisa...
So ni majambazi ya Tanzania ila yanajificha zambia...!! Aisee tz noma sanaa
 
Back
Top Bottom