Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

That's my beer ever since nilipoona wameibadili castle lager nikahamia tusker enzi ipo TBL then walipoipeleka Serengeti ikawa sio nzuri nikaona sihitaji kunywa bia za kibishoo kila siku zinabadilika tu, nikahamia Safari, it's my beer na naipenda sana.
Nmeanza kunywa hii bia nikiwa na miaka 15/16 mpaka leo

Ova
 
Bia ni moja tu guiness smoth bariiiiiiidiii
Vibia vya juzi mliojifunza pombe, kwa wakongwe hata windhoek naona uzushi tu nope Safari yangu maisha yanaenda murua kabisa. Hivi vibia vingine vinakujaga na kuondoka au unaenda kijijini inakubidi upakie kwenye gari katoni zako kadhaa simply kule haupatikani.

With safari lager it's available everywhere you go.
 
Safari ni beer, i was brewer 5 yrs....
Wakiifanya iwe ni kimwa tupu bila kuweka mangano Heineken hatoboii....

Ubora wa bia ni pamoja na flavor, mabia mengi ya kibongo yana maharufu ya ajabu ajabu
Jamaa mmoja alitukuta tunakunywa hizi beer zetu local akasema aisee nawaonea huruma sana wake zenu.Akasema yeye akijamba mpk mkewe hua anafungua madirisha kabisa.Kijambo cha kimea halisi a.k.a ushuzi wa kizalendo.
 
Umeruka mistari

Baiskeli au daladala safari ni safari,

Kilikuwa bonge la promo,

Serengeti Serengeti enzi hizo chui lager! Hakuna lite
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„,Kuna Tangazo jingine la bia lilikua linaimbwa'utaipata popote marafiki wako walipo,utaipata popote uendakooooo.Iwe mbali au karibu na utajikuta uko na wenye kufahamika pamoja na marafiki zako wa kweliiii'.

Sikumbuki ilikua Ni bia gani mkuu.
 
Hii ni tusker mzee

Tangazo walilipatia hili[emoji2]
 
Sijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.

Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Takataka haziepukiki labda kuzipunguza tu, hata hayo maziwa na na juice sio salama sana
 
Windhoek nimezinywa Sana 2007-2010 hapo,baadae nikaanza kuona taste yake siielewi.Nikanywa Castle lager nayo baadae ikawa na sukari nyingi Sana nikahamia kwny Kilimanjaro lager ndio mpk leo.Nakaaga na vijana wanavimba na beer za flying fish nacheka Sana.
 
'utaipata popote marafiki wako walipo,utaipata popote uendakooooo.Iwe mbali au karibu na utajikuta uko na wenye kufahamika pamoja na marafiki zako wa kweliiii,bia moja tu ya kweliiii tuskerrrr kwa hali na mali inatuunganidha tunafurahia urafiki,wetu tunaipoifurahia bia yetuuuu;!!

Bia moja tu,ya kweliiii tuskerrrrr.

Bonge la tangazo

Marafiki wa kweli bia bora.

Hahahahah the old is gold mazee

Japo mimi mdau wa kili wazee wa kuzungusha
 
Na familia zao zinakula royalty/mrabaha kwny hio bia ya safari milele na milele.
 
Safari Moja uanzisha nyingine ..
Walikuwa na ma promotion mengi Sana huko miaka ya nyumba sasa wanakula matunda tu ya zile promotion...
Hadi kuanzisha falsafa za mibuyu na vijumba(hats) na watu kutoa tafsiri kila mmoja kadri ya uelewa wake.

Safari alijitangaza sana enzi za Safari, Balimi, Bingwa na Castle Lager.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Umetisha Sana mkuu,yaani ulivyoandika Nilikua nasoma huku nalisikia kichwani.
 
Takataka haziepukiki labda kuzipunguza tu, hata hayo maziwa na na juice sio salama sana
Nakunywa juice ya kutengeneza home na maziwa yaliyokamuliwa live sio yaliyosindikwa.

Uko sahihi kwamba haiwezekani kuepuka sumu zote. Ndio maana inabidi kuhakikisha zinakuwa minimum ili ini lichuje.

Sasa pombe inapeleka sumu live tena kwa wingi na kupelekea overwork kwenye ini.
 
Tusker ilipotea sijui iliuzwa au ilikuwaje!
Beer za nje zilipoteaza baada ya brand za ndani, kupata promo za kutosha.
Kilimanjaro ikawa sponsor wa events kibao,
Safari wamachinga visima,
Serengeti mnyama ndiyo usiseme!

Bidhaa yoyote invest kwenye marketing, the rest becomes history!
 
Safari Moja uanzisha nyingine ..
Walikuwa na ma promotion mengi Sana huko miaka ya nyumba sasa wanakula matunda tu ya zile promotion...
Hakika mkuu, waliitangaza sana, hadi kwenye mabango makubwa barabarani,
Ni wakati wa kula faida sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…