kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ila Kweli.......!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmeanza kunywa hii bia nikiwa na miaka 15/16 mpaka leo
Ova
Vibia vya juzi mliojifunza pombe, kwa wakongwe hata windhoek naona uzushi tu nope Safari yangu maisha yanaenda murua kabisa. Hivi vibia vingine vinakujaga na kuondoka au unaenda kijijini inakubidi upakie kwenye gari katoni zako kadhaa simply kule haupatikani.Bia ni moja tu guiness smoth bariiiiiiidiii
Jamaa mmoja alitukuta tunakunywa hizi beer zetu local akasema aisee nawaonea huruma sana wake zenu.Akasema yeye akijamba mpk mkewe hua anafungua madirisha kabisa.Kijambo cha kimea halisi a.k.a ushuzi wa kizalendo.Safari ni beer, i was brewer 5 yrs....
Wakiifanya iwe ni kimwa tupu bila kuweka mangano Heineken hatoboii....
Ubora wa bia ni pamoja na flavor, mabia mengi ya kibongo yana maharufu ya ajabu ajabu
😄😄😄,Kuna Tangazo jingine la bia lilikua linaimbwa'utaipata popote marafiki wako walipo,utaipata popote uendakooooo.Iwe mbali au karibu na utajikuta uko na wenye kufahamika pamoja na marafiki zako wa kweliiii'.Umeruka mistari
Baiskeli au daladala safari ni safari,
Kilikuwa bonge la promo,
Serengeti Serengeti enzi hizo chui lager! Hakuna lite
Hii ni tusker mzee[emoji1][emoji1][emoji1],Kuna Tangazo jingine la bia lilikua linaimbwa'utaipata popote marafiki wako walipo,utaipata popote uendakooooo.Iwe mbali au karibu na utajikuta uko na wenye kufahamika pamoja na marafiki zako wa kweliiii'.
Sikumbuki ilikua Ni bia gani mkuu.
Takataka haziepukiki labda kuzipunguza tu, hata hayo maziwa na na juice sio salama sanaSijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.
Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Windhoek nimezinywa Sana 2007-2010 hapo,baadae nikaanza kuona taste yake siielewi.Nikanywa Castle lager nayo baadae ikawa na sukari nyingi Sana nikahamia kwny Kilimanjaro lager ndio mpk leo.Nakaaga na vijana wanavimba na beer za flying fish nacheka Sana.Vibia vya juzi mliojifunza pombe, kwa wakongwe hata windhoek naona uzushi tu nope Safari yangu maisha yanaenda murua kabisa. Hivi vibia vingine vinakujaga na kuondoka au unaenda kijijini inakubidi upakie kwenye gari katoni zako kadhaa simply kule haupatikani.
With safari lager it's available everywhere you go.
Hahaha aisee uko sahihi kabisa mkuu.Hii ni tusker mzee
Tangazo walilipatia hili[emoji2]
'utaipata popote marafiki wako walipo,utaipata popote uendakooooo.Iwe mbali au karibu na utajikuta uko na wenye kufahamika pamoja na marafiki zako wa kweliiii,bia moja tu ya kweliiii tuskerrrr kwa hali na mali inatuunganidha tunafurahia urafiki,wetu tunaipoifurahia bia yetuuuu;!![emoji1][emoji1][emoji1],Kuna Tangazo jingine la bia lilikua linaimbwa'utaipata popote marafiki wako walipo,utaipata popote uendakooooo.Iwe mbali au karibu na utajikuta uko na wenye kufahamika pamoja na marafiki zako wa kweliiii'.
Sikumbuki ilikua Ni bia gani mkuu.
Na familia zao zinakula royalty/mrabaha kwny hio bia ya safari milele na milele.Kwa kweli,hili dude lilikuwa hatari zamani kabla wasauzi hawajainunua tz breweries enzi ya mkapa,walikuja na fomula mpya wakachakachua kidogo,still sio mbaya..
Hakika tunajivunia bia yetu.wabunifu wa safari lager walitoa hiyo fomula baada ya kutoka masomoni ujerumani miaka ya 70s.kina somebody Minja,mshana wakemia wakongwe sijui kama bado wapo haI.
Hadi kuanzisha falsafa za mibuyu na vijumba(hats) na watu kutoa tafsiri kila mmoja kadri ya uelewa wake.Safari Moja uanzisha nyingine ..
Walikuwa na ma promotion mengi Sana huko miaka ya nyumba sasa wanakula matunda tu ya zile promotion...
Iwe mchana au usiku,.... Safari ni safari.Umezaliwa mwaka 2005?
Safari ni safari, iwe kwa miguu, au kwa basi safari ni safari
Ingia youtube utaona matangazo yao bab kubwa
😄😄😄 Umetisha Sana mkuu,yaani ulivyoandika Nilikua nasoma huku nalisikia kichwani.'utaipata popote marafiki wako walipo,utaipata popote uendakooooo.Iwe mbali au karibu na utajikuta uko na wenye kufahamika pamoja na marafiki zako wa kweliiii,bia moja tu ya kweliiii tuskerrrr kwa hali na mali inatuunganidha tunafurahia urafiki,wetu tunaipoifurahia bia yetuuuu;!!
Bia moja tu,ya kweliiii tuskerrrrr.
Bonge la tangazo
Marafiki wa kweli bia bora.
Hahahahah the old is gold mazee
Japo mimi mdau wa kili wazee wa kuzungusha
Nakunywa juice ya kutengeneza home na maziwa yaliyokamuliwa live sio yaliyosindikwa.Takataka haziepukiki labda kuzipunguza tu, hata hayo maziwa na na juice sio salama sana
Dah nchi hii hainaga fadhila mkuu,aliyebuni wimbo wa taifa au bendera ya taifa utakuta hata hawajulikani kabisa.Na familia zao zinakula royalty/mrabaha kwny hio bia ya safari milele na milele.
Safari moja ndogo huanzisha nyingine.Nmeanza kunywa hii bia nikiwa na miaka 15/16 mpaka leo
Ova
Tusker ilipotea sijui iliuzwa au ilikuwaje!😄😄😄,Kuna Tangazo jingine la bia lilikua linaimbwa'utaipata popote marafiki wako walipo,utaipata popote uendakooooo.Iwe mbali au karibu na utajikuta uko na wenye kufahamika pamoja na marafiki zako wa kweliiii'.
Sikumbuki ilikua Ni bia gani mkuu.
Hakika mkuu, waliitangaza sana, hadi kwenye mabango makubwa barabarani,Safari Moja uanzisha nyingine ..
Walikuwa na ma promotion mengi Sana huko miaka ya nyumba sasa wanakula matunda tu ya zile promotion...