Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

Nani kakwambia bia a.k.a chapati ni takataka na sumu?
"Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako", ndivyo wanavyoandika.

Ila wanatakiwa kuandika, "pombe ni sumu inayoenda kuoverwork ini lako na kupelekea kushindwa kufanya kazi kwa siku za usoni. Pia kisukari ni uhakika ukifika miaka 40 na kuendelea"
 
Nimeona ndugu zangu wengi waliokufa kwa madhara ya pombe kwa kansa ya ini na kisukari. Wanywaji wengi wakifikisha miaka 40 mpaka 50 wanavuna kisukari na mateso na majuto mengi.
Hiyo mijuis na mimaziwa ndio haina sumu?
 
"Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako", ndivyo wanavyoandika.

Ila wanatakiwa kuandika, "pombe ni sumu inayoenda kuoverwork ini lako na kupelekea kushindwa kufanya kazi kwa siku za usoni. Pia kisukari ni uhakika ukifika miaka 40 na kuendelea"
Kisukari wanaumwa wanaokunywa juice na soda... Pombe hazipo kwenye hiyo list ya visababishi vya kisukari

Hayo maziwa na juice ndio yatakupa kisukari miaka mitano tuu ijayo... Endekeza..

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimeanza kuinywa wakati rais ni Nyerere.
Kuna kipindi kukawa na yenye shanga, mbuyu, vibanda.
Safari ya miaka ya 2000 kurudi nyuma ilikuwa "ikifunuliwa" ukiwa unapita mita 50 lazima uipate ile harufu yake ya kimea kilichoiva.
Ile ya zamani naamini ilikuwa inaiva sana kwa kuwa unakuta bia imetengenezwa tarehe 22 - 02 na wewe umeipata tarehe 12 -09.
Leo hii unakuta imetengenezwa wiki tatu zilizopita.
Zamani ukinywa kwenye chupa unaliona kabisa mabaki ya shairi
Ladha ilikuwa ladha

Ova
 
Flying fish imekaa kidemu sana nikiona mtoto wa kiume anakunywa sikai nae.
Windhoek nimezinywa Sana 2007-2010 hapo,baadae nikaanza kuona taste yake siielewi.Nikanywa Castle lager nayo baadae ikawa na sukari nyingi Sana nikahamia kwny Kilimanjaro lager ndio mpk leo.Nakaaga na vijana wanavimba na beer za flying fish nacheka Sana.
 
Safari ni noma sana, ukiwa na kichwa cha panzi huwezi kuhimili mikiki yake.
 
Sijazungumzia soda. Nakunywa juice ya matunda na maziwa tu.
Organic or synthetic juice? kuhusu maziwa nisilizungumzie sana maana unaweza ukawa unakunywa maziwa ambayo residues za kutosha tu kuweza kukudhuru kiafya.
 
Wala usijali, endelea. Safari moja huanzisha nyingine.
Hakika huwa nashangaa sana eti mtu hanywi bia ila misoda mijuis ya azamu anafukia hatari.

Wangejua ilivyo na mikemikali bora wangekunywa ngano yenye kimea.

#MaendeleoHayanaChama
 
Organic or synthetic juice? kuhusu maziwa nisilizungumzie sana maana unaweza ukawa unakunywa maziwa ambayo residues za kutosha tu kuweza kukudhuru kiafya.
Juice ya matunda inatengenezwa home. Maziwa yanakamuliwa directly.
 
Back
Top Bottom