The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Nimekunywa safari,kilimanjaro,bingwa,serengeti,windhoek,budweiser lakini moyo wangu umeuangukia guiness iwe stout au smooth..hizo safari zinajaza tu tumboVibia vya juzi mliojifunza pombe, kwa wakongwe hata windhoek naona uzushi tu nope Safari yangu maisha yanaenda murua kabisa. Hivi vibia vingine vinakujaga na kuondoka au unaenda kijijini inakubidi upakie kwenye gari katoni zako kadhaa simply kule haupatikani.
With safari lager it's available everywhere you go.
Maziwa he?Juice ya kutengeneza home
Ng'ombe anakamuliwa.Maziwa he?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji1][emoji1][emoji1] Umetisha Sana mkuu,yaani ulivyoandika Nilikua nasoma huku nalisikia kichwani.
Moja ya tangazo...kusafiri asili yakee..nchini Tanzania...safarii moja..huanzisha nyingiinee.Enzi hizo matangaz yalikua redioni zaidiHayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Mimi nimeanza kuinywa wakati rais ni Nyerere.Nmeanza kunywa hii bia nikiwa na miaka 15/16 mpaka leo
Ova
Guiness na Castle Milk Stout nazo ni bomba sana.Bia ni moja tu guiness smoth bariiiiiiidiii
Au sasa fala anaagiza raundi ingine.ilipigwa sana Promo miaka kama 20 iliyopita kiasi kwamba Walevi wengi wa sasa ndio walikuwa wanafunguka macho wanaona safari
enzi hizo tulikuwa tunakejeli
Safari
(Sasa Fala anaagiza Round isitishwe)
Watoto wadogo hawa,hajui hata Safari walidhamini Ligi ya bongo, Safari lager premier leagueUmezaliwa mwaka 2005?
Safari ni safari, iwe kwa miguu, au kwa basi safari ni safari
Ingia youtube utaona matangazo yao bab kubwa
Hahaa we sio mkata maji wewe, bia zote ni tam sema zinatofautiana kidogotu.Siku hizi mbona imekuwa chungu Sana au Ni mdomo wangu?
Kila la heri katika safari yako ya kuishi milele,, aliyekuambia kifo cha bila mateso msalimie sanaNimeona ndugu zangu wengi waliokufa kwa madhara ya pombe kwa kansa ya ini na kisukari. Wanywaji wengi wakifikisha miaka 40 mpaka 50 wanavuna kisukari na mateso na majuto mengi.
Sijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.
Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Huwa najiuliza kuna faida gani ya kufa ukiwa na viungo vyote sawa.Sijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.
Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Wala usijali, endelea. Safari moja huanzisha nyingine.Huwa najiuliza kuna faida gani ya kufa ukiwa na viungo vyote sawa.
#MaendeleoHayanaChama