Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

Vibia vya juzi mliojifunza pombe, kwa wakongwe hata windhoek naona uzushi tu nope Safari yangu maisha yanaenda murua kabisa. Hivi vibia vingine vinakujaga na kuondoka au unaenda kijijini inakubidi upakie kwenye gari katoni zako kadhaa simply kule haupatikani.

With safari lager it's available everywhere you go.
Nimekunywa safari,kilimanjaro,bingwa,serengeti,windhoek,budweiser lakini moyo wangu umeuangukia guiness iwe stout au smooth..hizo safari zinajaza tu tumbo
 
Zamani wakati nakua ,wanywaji wa bia ya safari wote walikuwa wananawiri na kuota vitambi fulani amazing hiv na sura zao zilikuwa hazizeeki yaani zinang'aa,ajabu siku hizi kila anayependelea kunywa hii bia ya safari utakuta ana sura ngumuuu,sura kavuuu,na 85% hawana vitambi amazing vya afya kukubali.nilichogundua siku hizi hii bia imeongezewa ma chemical kuliko ngano .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Moja ya tangazo...kusafiri asili yakee..nchini Tanzania...safarii moja..huanzisha nyingiinee.Enzi hizo matangaz yalikua redioni zaidi
 
Nmeanza kunywa hii bia nikiwa na miaka 15/16 mpaka leo

Ova
Mimi nimeanza kuinywa wakati rais ni Nyerere.
Kuna kipindi kukawa na yenye shanga, mbuyu, vibanda.
Safari ya miaka ya 2000 kurudi nyuma ilikuwa "ikifunuliwa" ukiwa unapita mita 50 lazima uipate ile harufu yake ya kimea kilichoiva.
Ile ya zamani naamini ilikuwa inaiva sana kwa kuwa unakuta bia imetengenezwa tarehe 22 - 02 na wewe umeipata tarehe 12 -09.
Leo hii unakuta imetengenezwa wiki tatu zilizopita.
 
Mm nikikosa a safar au Kilimanjaro bas siwezi kutumia nyingine

Kama siyo kvant bas Ni safri na kilimany

Sijawai kutumia lite mwk wa tatu hii
 
Safari ni brand ya Nchi, hata muwekezaji wa TBL kwenye mkataba wake kifungu Kipo bayana, lazima azalishe safari atake asitake na haruhusiwi kubadili taste yake kwa kiwango kikubwa.
Wale wanaume wanaokunywa vi serengeti light na Windhoek ukimpa Yale makombora mawili ya safari lazima aimbe kilugha
 
ilipigwa sana Promo miaka kama 20 iliyopita kiasi kwamba Walevi wengi wa sasa ndio walikuwa wanafunguka macho wanaona safari

enzi hizo tulikuwa tunakejeli

Safari

(Sasa Fala anaagiza Round isitishwe)
Au sasa fala anaagiza raundi ingine.
 
Umezaliwa mwaka 2005?

Safari ni safari, iwe kwa miguu, au kwa basi safari ni safari

Ingia youtube utaona matangazo yao bab kubwa
Watoto wadogo hawa,hajui hata Safari walidhamini Ligi ya bongo, Safari lager premier league
 
Kwa taarifa yako, tangu mmarekani apewe kampuni hakuna kujitangaza kupitia mabango, tv, Wala redio. Na wako vibaya sana kimauzo. Juzi Kati mate wangu kanipitishia hapa home Kama creti 3 ziko mbioni kuisha muda wake na mzigo umejaa stoo. Bahati mbaya hakujua Kama nimeacha kutumia bia.
 
Nimeona ndugu zangu wengi waliokufa kwa madhara ya pombe kwa kansa ya ini na kisukari. Wanywaji wengi wakifikisha miaka 40 mpaka 50 wanavuna kisukari na mateso na majuto mengi.
Kila la heri katika safari yako ya kuishi milele,, aliyekuambia kifo cha bila mateso msalimie sana
 
Bia ya makonda madereva bodaboda wabeba zege na kaz ngumu wote bia gan ukinywa ukiamka asubui unakua mgonjwa
 
Back
Top Bottom