Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
"Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako", ndivyo wanavyoandika.Nani kakwambia bia a.k.a chapati ni takataka na sumu?
Hiyo mijuis na mimaziwa ndio haina sumu?Nimeona ndugu zangu wengi waliokufa kwa madhara ya pombe kwa kansa ya ini na kisukari. Wanywaji wengi wakifikisha miaka 40 mpaka 50 wanavuna kisukari na mateso na majuto mengi.
Mr Thomas mwagilia moyo babuuYes babuu,mwaglia moyoo babuu
Kisukari wanaumwa wanaokunywa juice na soda... Pombe hazipo kwenye hiyo list ya visababishi vya kisukari"Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako", ndivyo wanavyoandika.
Ila wanatakiwa kuandika, "pombe ni sumu inayoenda kuoverwork ini lako na kupelekea kushindwa kufanya kazi kwa siku za usoni. Pia kisukari ni uhakika ukifika miaka 40 na kuendelea"
Zamani ukinywa kwenye chupa unaliona kabisa mabaki ya shairiMimi nimeanza kuinywa wakati rais ni Nyerere.
Kuna kipindi kukawa na yenye shanga, mbuyu, vibanda.
Safari ya miaka ya 2000 kurudi nyuma ilikuwa "ikifunuliwa" ukiwa unapita mita 50 lazima uipate ile harufu yake ya kimea kilichoiva.
Ile ya zamani naamini ilikuwa inaiva sana kwa kuwa unakuta bia imetengenezwa tarehe 22 - 02 na wewe umeipata tarehe 12 -09.
Leo hii unakuta imetengenezwa wiki tatu zilizopita.
Ukinywa sumu unapona kwa maziwa.Hiyo mijuis na mimaziwa ndio haina sumu?
Windhoek nimezinywa Sana 2007-2010 hapo,baadae nikaanza kuona taste yake siielewi.Nikanywa Castle lager nayo baadae ikawa na sukari nyingi Sana nikahamia kwny Kilimanjaro lager ndio mpk leo.Nakaaga na vijana wanavimba na beer za flying fish nacheka Sana.
futa hiiSiku hizi mbona imekuwa chungu Sana au Ni mdomo wangu?
Acha udictatorFlying fish imekaa kidemu sana nikiona mtoto wa kiume anakunywa sikai nae.
Bia na soda ipi inaleta shida mwilini?Sijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.
Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Chema chajiuza. Kibaya chajitangaza.Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Na wachawi, waongo waongo wengi ndio nyinyi wanywa juisiSijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.
Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Sijazungumzia soda. Nakunywa juice ya matunda na maziwa tu.Bia na soda ipi inaleta shida mwilini?
Hii inahusiana na hii mada?Na wachawi, waongo waongo wengi ndio nyinyi wanywa juisi
Organic or synthetic juice? kuhusu maziwa nisilizungumzie sana maana unaweza ukawa unakunywa maziwa ambayo residues za kutosha tu kuweza kukudhuru kiafya.Sijazungumzia soda. Nakunywa juice ya matunda na maziwa tu.
Hakika huwa nashangaa sana eti mtu hanywi bia ila misoda mijuis ya azamu anafukia hatari.Wala usijali, endelea. Safari moja huanzisha nyingine.
Juice ya matunda inatengenezwa home. Maziwa yanakamuliwa directly.Organic or synthetic juice? kuhusu maziwa nisilizungumzie sana maana unaweza ukawa unakunywa maziwa ambayo residues za kutosha tu kuweza kukudhuru kiafya.
Hivi Guiness Extra Stout ipo kweli mbon imekua adimu mana ina vibe sana..!Nimekunywa safari,kilimanjaro,bingwa,serengeti,windhoek,budweiser lakini moyo wangu umeuangukia guiness iwe stout au smooth..hizo safari zinajaza tu tumbo