Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Safari ilifanyiwa promo Hadi Bitchuka aliitungia wimbo!
Ni juzi tu mwaka 2003 Safari ilifanyiwa promo ya Safari moja huanzisha nyingine. Kipindi hicho nakunywa Safari 17 na kuendesha Vitara yangu Hadi nyumbani.
 
Windhoek bei sana hizo ni imported, wewe kunywa mataputapu ushibe ukalale
 
Noma sana
 
Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Beer ambayo haina promo bongo ni Charles glass tu.. Nikkmaanisha castle lager
 
Safari bia ngumu sana ukinywa hizo bia jiandae kunywa supu mara mbili ya hizo bia za safari maana hang over yake ni nyokoo
 
Kuna sabuni inaitwa jamaa na nyingine Mbuni. Hizo hazinaga promo ila ndo zinatamba mtaani.
 
Safai bia ngumu sana ukinywq hizo bia jiandae kunywa supu mara mbili ya hizo bia za safari maana hang over yake ni nyokoo
Siku hizi watz tumekuwa mayai sana, hii bia enzi za mwalimu ndo ilikuwa bia kiongozi kabla ya kunywa bia zingine kama Pilsner, Ndovu na Tusker
 
Siku hizi watz tumekuwa mayai sana, hii bia enzi za mwalimu ndo ilikuwa bia kiongozi kabla ya kunywa bia zingine kama Pilsner, Ndovu na Tusker
Aaah kaka teknolojia ilikuwa low Heineken alcohol sawa na safari lakini haina uchovu ukiamka.

Safari nikinywa kichwa kinauma sijui kwanini
 
Aaah kaka teknolojia ilikuwa low Heineken alcohol sawa na safari lakini haina uchovu ukiamka.

Safari nikinywa kichwa kinauma sijui kwanini
Alafu mwaka 1999/2000 walikuja bia ngumu zaidi chapa Bingwa, ilichangamkiwa baadae watu wakaikumbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…