Safari ilifanyiwa promo Hadi Bitchuka aliitungia wimbo!Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Ni juzi tu mwaka 2003 Safari ilifanyiwa promo ya Safari moja huanzisha nyingine. Kipindi hicho nakunywa Safari 17 na kuendesha Vitara yangu Hadi nyumbani.