Jodoki Kalimilo JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 12,559 Reaction score 11,180 Aug 21, 2024 #121 raraa reree said: Bingwa ameingia bingwa ๐ถ๐ถ๐ถ Click to expand... Tangazo moja hivi la kimamlaka la muziki mnene kabisa
raraa reree said: Bingwa ameingia bingwa ๐ถ๐ถ๐ถ Click to expand... Tangazo moja hivi la kimamlaka la muziki mnene kabisa
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 21, 2024 #122 Unakosea Padogo Unashindwaje Kuweka Pictures Ya Bia Tamu
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 Aug 21, 2024 #123 MamaSamia2025 said: Kuna sabuni inaitwa jamaa na nyingine Mbuni. Hizo hazinaga promo ila ndo zinatamba mtaani. Click to expand... Na magadi pia ..
MamaSamia2025 said: Kuna sabuni inaitwa jamaa na nyingine Mbuni. Hizo hazinaga promo ila ndo zinatamba mtaani. Click to expand... Na magadi pia ..
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 Aug 21, 2024 #124 Shinnok said: Mwaka upi huo Click to expand... asee kama hujawahi ona tamgazi la safari na vile vijumba vya msonge dah jipige kifua sema mimi ni mtoto wa afumbili na 5
Shinnok said: Mwaka upi huo Click to expand... asee kama hujawahi ona tamgazi la safari na vile vijumba vya msonge dah jipige kifua sema mimi ni mtoto wa afumbili na 5
Gulio Tanzania JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,325 Reaction score 7,807 Aug 21, 2024 #125 Championship said: Sijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe. Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini? Click to expand... Kutokunywa pombe ndio huwa sumu kubwa sana mwisho huwa magonywa ya stroke
Championship said: Sijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe. Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini? Click to expand... Kutokunywa pombe ndio huwa sumu kubwa sana mwisho huwa magonywa ya stroke
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,443 Reaction score 3,002 Aug 21, 2024 #126 Ben Zen Tarot said: Siku hizi mbona imekuwa chungu Sana au Ni mdomo wangu?......acha kunywa makali Click to expand...
Ben Zen Tarot said: Siku hizi mbona imekuwa chungu Sana au Ni mdomo wangu?......acha kunywa makali Click to expand...