Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Tangazo moja hivi la kimamlaka la muziki mnene kabisaBingwa ameingia bingwa 🎶🎶🎶
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangazo moja hivi la kimamlaka la muziki mnene kabisaBingwa ameingia bingwa 🎶🎶🎶
Na magadi pia ..Kuna sabuni inaitwa jamaa na nyingine Mbuni. Hizo hazinaga promo ila ndo zinatamba mtaani.
asee kama hujawahi ona tamgazi la safari na vile vijumba vya msonge dah jipige kifua sema mimi ni mtoto wa afumbili na 5Mwaka upi huo
Kutokunywa pombe ndio huwa sumu kubwa sana mwisho huwa magonywa ya strokeSijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.
Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Siku hizi mbona imekuwa chungu Sana au Ni mdomo wangu?......acha kunywa makali