Sijawahi kuona Rais kama huyu tangu nchi yetu iumbwe

Kajipime kwanza , hakuna Raisi aliyekuwa mwema kama mwendazake na hatapata kutokea daima ktk nchi yetu , watu waliishi kwa kuheshimiana na kujaliana, leo hii yako wapi , sema wewe ni mwizi na mtu asiyependa haki na usawa , kuna sehemu ulishikwa , hivi kuna ndugu yako alipotea au kuuwawa kipindi chake ?

Usikae sehemu kuwajaza watu upumbavu uliokujaa kichwani mwako , kumpata mtu sahihi tena kama mwedazake ni ngumu sana , kazi aliiweza na hatakuja kutokea mwingine kama yeye labda hao kina MAKONDA ,na MAJALIWA huwenda mmoja aao akikamata madaraka siku zijazo , nchi ikawa sehemu nzuri na salama.

Siyo kama wanavyobumunda kwa sasa hali imekuwa mbaya sana sema hamjui tu ninyi wafia matumbo.
 
hayo wee unasema tu, huwajui na wala hutawajua, LAKINI yule shetani anajulikna kwa umma wa watanzania kuwa aliua watu, aliteka watu, alidhulumu watu, ALIVUNJA KATIBA,

Book ‘I AM THE STATE: A President’s Whisper From Chato’ Launched​


Written by Tanzanian journalists, the book details the contested legacy of former leader John Magufuli.


View: https://youtu.be/fWFr76f3jRQ

Wachawi wanapakatwa na malaika?🐼
 
Sisi tunamnunulia gari mpya Mwenyekiti mpya wa Chadema mh Tundu Lisu 😂😂
 
Alikuwa katili sana.
Hakuwa katili sana wala nini bali mlikuza tu, yani kiongozi awe katili sana halafu tukio lake kubwa la ukatili analohusishwa nalo liwe moja tu la Lissu kiasi kwamba et hadi mnataka gari la Lissu liwekwe makumbusho.

Mnamkuza tu.
 
Hakuwa katili sana wala nini bali mlikuza tu, yani kiongozi awe katili sana halafu tukio lake kubwa la ukatili analohusishwa nalo liwe moja tu la Lissu kiasi kwamba et hadi mnataka gari la Lissu liwekwe makumbusho.

Mnamkuza tu.
Unaandika kama mtoto,,,,,, uchawa, Uccm,,,,,Soma kitabu cha I am The State
 

Mtu anayeamini kila mwenye pesa nyingi ni mwizi, hafai kabisa kuaminiwa na kupewa uongozi.
 

Umewasilisha kama shairi, lakini lililokosa content.

Maswali machache kwako:

1) Kuna Rais yeyote yule Duniani, hata yule ambaye alikuwa mbaya kabisa, ambaye hakukufanyika kitu chochote cha maendeleo wakati wa utawala wake?

2) Kuanzisha mradi wa ujenzi reli, baadhi ya madaraja; ufufuaji wa ATCL, udhibiti wa mfumuko wa bei, na nidhamu kwa watumishi, ina uhusiano gani na mauaji na uonevu wa watu waliokuwa wakimkosoa?

Hivi mimi nikiwa napenda sana kuwasaidia watu wenye shida, lakini wakati huo huo sipendi kuambiwamapungufu yangu yoyote yale, kiasi kwamba nikaamua kupambana na wanaonikosoa kwa kuwakodi watu wawaue watu wanaonikosoa. Uovu wangu wa kuwaua wanaonikosoa, utapotea kwa sababu huwa nawasaidia watu?

Marehemu kuna mazuri aliyafanya lakini pia alifanya uharamia wa hali ya juu dhidi ya wote waliomkosoa. Huo ni ukweli ambao utaendelea kubakia hivyo. Alikuwa na viashiria vyote vya udikteta, ndiyo maana hakuheshimu katiba wala sheria. Alitaka yeye awe katiba na yeye awe ndiyo sheria.

Tunampongeza kwa kuweza kuyasimamia yaliyokuwa mazuri, lakini pia hatutaacha kuusema uharamia wake. Yeye hayupo tena, lakini mikono yake ya utekelezaji wa uharamia bado ipo. Samia, naye kuamua kushimana na mikono ya uharamia, maana yake anapendezwa na kufurahishwa na uharamia wa wao. Naye kwa hilo, anakuwa sehemu ya uovu.
 

It's agony not knowing where Ben Saanane is, say parents

thecitizen.co.tz
https://www.thecitizen.co.tz › Home › News › National

17 Apr 2021 — A Tanzanian bishop allegedly commits suicide over debts. The incident is purportedly to have occurred on Thursday, May 16, 2024, at around 1pm ..

.
 
Unaandika kama mtoto,,,,,, uchawa, Uccm,,,,,Soma kitabu cha I am The State
Wote wenye kumuona Magufuli katili sana ni kwamba wamesoma hicho kitabu? Kila siku hapa habari ni zile zile za Lissu na ndio tukio kubwa mnalotaka hadi gari la Lissu liwekwe makumbusho.

Nadhani wewe ndio unaandika kama mtoto hivi ccm na hao machawa ndio wanamsifia Magufuli na sio Sukuma gang tena?
 

wewe si unaonekana kama msomi, soma kitabu hicho uone ambayo huyajui
 
Hawakuwa na dhambi ya kuua kwa makusudi ti kwa vile mmetofautiana mawazo. Ben alifanya ubaya gani? Kuonesha kuwa PhD aliyopata Jiwe haikuwa halali? Si angelimuonesha kuwa ni halali na siyo kumuua
Wewe unaona dhambi ni kuuwa tu basi wengi tutaingia peponi kwa kutokuuwa.
 
Msikilize Mwenyekiti wako
Hapo hukuelewa nini sasa. Kwani hujui mawazir, makatibu wakuu, wabunge, wakurugenzi nk kama wana mishahara yao. Kamba maana yake mishahara yao inapoishia na hailingani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…