Sijawahi kuona Rais kama huyu tangu nchi yetu iumbwe

View attachment 2994070
wewe si unaonekana kama msomi, soma kitabu hicho uone ambayo huyajui
Sasa kama hicho kitabu ambacho tulitegemea nyie wenyewe mkigombee na kukisoma kwa wingi ila imekuwa tofauti bado mmeishia kumtaja Lisu na Bensaa8 tu ndio unataka mie nikakisome? Muamasishane wenyewe kukisoma hicho kitabu ili tuone mkija na kuelezea ukatili mpya wa Magufuli tusioujua na sio kila siku Lissu tu halafu mnatuambia yule jamaa alikuwa katili sana.
 
Dah machawa mnaamini mama atapendwa kwa kumkandia Magu. Hiyo njia imefeli tangu siku ya kwanza pita mtaani uone bi kizimkazi anavyosemwa. Kila mtu hamtaki nyinyi endeleeni kujifariji kwa kumzodoa asiyeweza kujitetea.

Na 2025 mkitoa zaidi ya fomu moja mazenu hapiti ndani ya chama na hata ikitoka moja Chadema wakajipanga vizuri muuza nchi kwa waarabu sijui hata 20 asilimia kama ataifikisha.
 
Labda kijijini ambao hawajui kufanya baishara za kimataifa. Wakipata buku kwa siku inawatosha. Wanaomkandia mama ni kula kulala
 
Mkipata Rais mkali shida mkipata mpole Shida Watanzania mnataka nini Sasa?
 
Uwe unasikiliza kuelewa,Chamburo kasema alinyang'anywa pesa 2022
 
Hili lenu linazomewa kila Kona sasa hivi
 
Pumba
 
Tuko Tanzania halisi tuliyoizoea. Nchi mojawapo kati ya nchi 10 Afrika zenye uchumi mkubwa
Nilidhani tumepiga hatua na kufanana na nchi moja wapo katika nchi zilipiga hatua kimaendeleo kumbe tumerudi kwenye Tanzania tuliyoizoea tu.
 
Kwa kweli huyu rais haijawahi kutoka.wewe fikiria tu uuze bandari zote umkabidhi mwarabu halafu ufukuzwe wananchi wako theni ukaribishe wazungu wawekeze mahoteli ulipowafukuza watu wako.hatujawahi kuona rais wa Hivyo yangu tz iumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…