Nakubaliana na wewe. Kwa mazingira mazuri aliyoyaweka mama biashara zinawezekana na watu tunapiga hela. Ila kipindi kile cha shetani magufuli ilibaki kidogo nijinyinge mana kila sehemu ilikuwa vilio wakabaki wale kula kulala ndo wanamsifia tu ili wote tufananeHuna akili tafuta pesa mdgo wangu bila pesa utahis kila mtu amekukosea utahis hata baba yako na mama yako walikosea kukulea
Acha utoto wa kitoto! kwahiyo Lisu alipopigwa risasi ni msoga ilisema asiombewe, T shirt za picha yake zisivaliwe, Msoga ndiye alimnyima matibabu, alimfukuza ubunge, Msoga ndiye aliwazuia polisi wasichunguze kifo cha Ben Saanane, mawazo, na wengine wengi..... acha utoto wa kijinga
Nakubaliana na wewe. Kwa mazingira mazuri aliyoyaweka mama biashara zinawezekana na watu tunapiga hela. Ila kipindi kile cha shetani magufuli ilibaki kidogo nijinyinge mana kila sehemu ilikuwa vilio wakabaki wale kula kulala ndo wanamsifia tu ili wote tufanane
Simple maindNakubaliana na wewe. Kwa mazingira mazuri aliyoyaweka mama biashara zinawezekana na watu tunapiga hela. Ila kipindi kile cha shetani magufuli ilibaki kidogo nijinyinge mana kila sehemu ilikuwa vilio wakabaki wale kula kulala ndo wanamsifia tu ili wote tufanane
Soma tena uelewe. Nyie ndo wale mnaosoma vichwa vya habari halafu mnaconclude.Kila Kona ipi hiyo? Kwa taarifa Yako tuu wanaopigwa spana Huwa ni watu werevu sana na hufanikiwa mnoo na matokeo yake mtaona baadae akitoka Madarakani.
Cha muhimu ni Kwamba System ikikubari hakuna shida nyie wengine ni kelele Cha chura hazijawahi mzuia tembo kunywa maji.
Huyo ni Rais Hadi 2030 ana mission nyingi za muhimu kufanya Kwa Ajili ya Taifa hili.
Mwisho wewe ndio unashangaa ila Kina Pascal Mayalla waliandika Makalla mwanzoni kabisa mwa Utawala wa Samia kwamba kitakachomletea Changamoto Samia ni
-Uzanzibar wake na ndivyo inafanyika
-Uanamke wake na ndivyo inafanyika
-Dini yake na ndivyo inafanyika Kwa sehemu.
Mengine ni visingizio tuu ila Kwa kuwa Samia analijua hili mapema ndio maana unamuona hayumbishwi Wala hafanyi mambo Kwa mihemko Wala kufurahisha magenge ya wajinga na wafitini.
Kwangu Mimi Samia ndio Rais Bora kuwahi tokea Tanzania Kwa vigezo vyovyote hakuna wa kumfikia.
Ni kweli yule bwana ilikuwa ni tatizo kubwa, malalamiko karibu yote kwenye ziara za Makonda na huko aliko ilikuwa ni Utawala wake ,just imagin.Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi tu CCM kuogopa kufanywa lolote.
Juzi Tundu Lissu kaenda kumuona nurse aliyetimuliwa kisa kuokoa uhai wa Lissu wakati haikuwa lengu Lissu aishi.
Jana Makonda alikuwa na mkutano Arusha wafanyabiashara wakadai walinyanganywa pesa hivyo wanamshukuru mama kuwarudishia pesa zao.
Yaani sijui hii nchi ilipatwa na nini aise. Tuliufyata wote mana yule bwana kuua nchi nzima abaki peke yake halikuwa issue kwake.
Pole kwa makasirikoMtizamo hasi. Hiyo ndege unayopanda ni maono ya nani? Hiyo Train unayojisifia nayo ni maono ya nani? Nani kaleta mfumo wa Control number kama wewe ni mlipa kodi? Well Tundu lisu hata kwenye chama chake hawamtaki, he can't even prove the state was involved. just dirty politics and sympathy seeker, Vijana wa Chadema na maono yetu. Well he has been around since he came back amekifanyia nini chama chenu? Total derailment they have nothing to offer mara wanaanza kulaumiana kuna hela chafu in the party, sasa hivi karukia agenda ya gari iliyopigwa risasi, je ni ajenda ya kitaifa? Let see kama atakuwa anatembea nalo kwenye kampeni as mtaji wa siasa. Well let see Uzanzibar na Utanganyika kama utawatoa.
Acha majunguKila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi tu CCM kuogopa kufanywa lolote.
Juzi Tundu Lissu kaenda kumuona nurse aliyetimuliwa kisa kuokoa uhai wa Lissu wakati haikuwa lengu Lissu aishi.
Jana Makonda alikuwa na mkutano Arusha wafanyabiashara wakadai walinyanganywa pesa hivyo wanamshukuru mama kuwarudishia pesa zao.
Yaani sijui hii nchi ilipatwa na nini aise. Tuliufyata wote mana yule bwana kuua nchi nzima abaki peke yake halikuwa issue kwake.
Ndiyo maana muumba mbingu na dunia akaamua kumuondoa hivyo kuwa ni ukombozi Kwa walimwengu/watanzania.Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi tu CCM kuogopa kufanywa lolote.
Juzi Tundu Lissu kaenda kumuona nurse aliyetimuliwa kisa kuokoa uhai wa Lissu wakati haikuwa lengu Lissu aishi.
Jana Makonda alikuwa na mkutano Arusha wafanyabiashara wakadai walinyanganywa pesa hivyo wanamshukuru mama kuwarudishia pesa zao.
Yaani sijui hii nchi ilipatwa na nini aise. Tuliufyata wote mana yule bwana kuua nchi nzima abaki peke yake halikuwa issue kwake.
Eti ndege unayopanda, kwani alikwambieni kuwa pesa iliyotumika kununulia hiyo ndege ni pesa yake ya mshahara?Pole kwa makasiriko
Siyo majungu Kwa mtu mwenye mawazo huru.Acha majungu
Jiwe litakuwa linapigwa na kuunguzwa na moto mkali wa jehanamu hadi lowe ungawako salama maana hawakuwahi kuua watu, kupiga risasi, kupoteza watu, kunyanganya pesa ambazo samia anazirudisha, kuteka. wamelala mahali pema maana walikufa wakiwa wamepakatwa na malaika. Siyo hili
View attachment 2994021
Utemi amfanyie Nani kule? Atakuwa apigishwa push up kila kukichaNahisi ule utemi anao hata huko alikoenda
Ndio inasaidia nini!Alikuwa katili sana.
Wazazi wanajuta!Utemi amfanyie Nani kule? Atakuwa apigishwa push up kila kukicha
Ondoka kwa dada yako mume wake analalamika!Jiwe litakuwa linapigwa na kuunguzwa na moto mkali wa jehanamu hadi lowe unga
umeelewa,Nenda kasome MEMKWA ili ujifunze kuandika. Hakuna 'mhaŕifu', bali kuna 'mhalifu'
We mpumbavu mimi siyo mdogo wako. Naweza kuwa baba yako sema tu mama yako alikulia sweken huko NangurukuruHuna akili tafuta pesa mdgo wangu bila pesa utahis kila mtu amekukosea utahis hata baba yako na mama yako walikosea kukulea
Hii kali 😂na hapatawahi kuja kutokea duniani,
Rais muungwana, mpole, makini, madhubuti, mahiri na mwana mapinduzi mwenye nia na dhamira njema ya dhati na
maono ya mbali sana kwa Tanzania yenye neema, kisiasa, kijamii na kiuchumi, kama Rais aliepo hivi sasa madarakani Tanzania, ambae,
ni comrade Dr.Samia Suluhu Hassan, mwangaza wa Tanzania
kuna vitu havijirudiagi aise 🐒Hii kali 😂