Sijawahi kuona vita nyepesi kama hii kwa wananchi

Wewe muhuni tu uliyeshiba maharage unakuja kujamber jf
 
Chadema wana shida moja nayo ni kudandia linalopita mbele yao
Na tatizo lao hilo limezaa tatizo jingine (sub-tatizo) la kusahau hatari ya kimarinda inayomkabili deputy-mwenyekiti kutokana na hizi safari zake za ulaya za mara kwa mara.
 
Na tatizo lao hilo limezaa tatizo jingine (sub-tatizo) la kusahau hatari ya kimarinda inayomkabili deputy-mwenyekiti kutokana na hizi safari zake za ulaya za mara kwa mara.
Umeenda mbali sana we shoga mfi.rwaji
 
Wewe hata sheria huijui ni chawa tu asiye na elimu. Kama unayo ni bora hivyo vyeti ukaviudishe kwenye vyuo ulivyo soma.
Hao wanaokudanganya kuwa wanajua sheria ndio hao hao waliohongwa waje wakudanganye wewe kupitia sheria.

Wanakudanganya kuwa bandari imeuzwa, lkn hawajakuonesha kipengele cha kuuziana. Wamekudanganya kuwa mkataba ufanyiwe marekebisho, lkn mpaka leo hawajakuwekea huo mkataba kuonesha mahali panapohitaji marekebisho sasa hao watu kama sio waongo ni nini?

Au walitegemea watu wataingia tena mkenge wawaunge mkono kama walivyowaunga katika swala la Lowasa?!
 
Fikra CCM hizo, ndio tatizo la watanzania wengi ni kutopenda kufikiri, kupenda mteremko na kutojali kwani hawaoni hasara zozote hata nchi ikiuzwa.
Kweli kbs mkuu katika swala la watanzania kutopenda kufikiri umeongea point. Hebu fikiria mwanasiasa uchwara aliekudanganya kuwa Lowasa ni fisadi, leo anakuja na uongo mungine wa kuuzwa sijui bandari, mara mkataba haifai, lkn chakushangaza hawawawekei mkataba wenyewe hadharani ili muone hicho kipengele cha kuuziana au kilochokuwa hakifai kubadilishwe. Ni sawa na jirani akwambie mtoto wako amemuibia bila kukuonesha kile alichoiba kama ushahidi wa kile anachokwambia, na wewe bila kufikiri uanze kumuadhibu mwanao bila kuwa na ushahidi wa kile unachompigia.
 
Hoja yako imekaa kama ya teja. Sijawahi kuona binadamu mwenye ujasiri wa kutetea mkataba unaofanana na mkataba kutoka kwa shetani motoni.
 
TICTS hawezi pewa kazi pale.
Yeye aanze kuondoa crane zake

DP world lazima atapewa tu

Kama gezi ya Mtwara ilikuja hata pale Wanajeshi watawekwa kulinda na wataojifanya wahujumu watahujumiwa wao
Hahahaha ya ni kweli kbs
 
Wavutabangi na mateja kumbe na nyie mnaweza kusoma mikataba?
 
Na tatizo lao hilo limezaa tatizo jingine (sub-tatizo) la kusahau hatari ya kimarinda inayomkabili deputy-mwenyekiti kutokana na hizi safari zake za ulaya za mara kwa mara.
Duh aisee....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hakuna mwaka ccm walikosa kujibu hoja kama mwaka huu kwenye issue ya dp world. watu na akili zao wanazunguka tu lakini hawajibu hoja. hadi aibu.
 
Hoja yako imekaa kama ya teja. Sijawahi kuona binadamu mwenye ujasiri wa kutetea mkataba unaofanana na mkataba kutoka kwa shetani motoni.
Hiyo profile ya Gadafi itoe haraka sana, unamdhalilisha mzee wa watu. Maana katika uhai wake hakuwahi kushikiwa akili na watu jamii ya wanasiasa uchwara wetu kama unavyoshikiwa wewe.
 
hakuna mwaka ccm walikosa kujibu hoja kama mwaka huu kwenye issue ya dp world. watu na akili zao wanazunguka tu lakini hawajibu hoja. hadi aibu.
Aibu ni kwa yule anaetaka kwenda kuhiji katika kaburi la adui yake aliefurahia kifo chake.

Na bado kuna watu wataenda mpaka katika kaburi la chachawangwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aibu ni kwa yule anaetaka kwenda kuhiji katika kaburi la adui yake aliefurahia kifo chake.

Na bado kuna watu wataenda mpaka katika kaburi la chachawangwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hutaki waende? Wewe umeenda kuhiji kwa wanaokupa visenti ili uendelee kuropoka ukazuiliwa? Jaribu kujipa thamani ya ubinadamu wako.
 
Aibu ni kwa yule anaetaka kwenda kuhiji katika kaburi la adui yake aliefurahia kifo chake.

Na bado kuna watu wataenda mpaka katika kaburi la chachawangwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
jibuni hoja. tuseme ukweli bila unafiki, (kama una akili walau kidogo), kwenye ulimwengu wa capitalism, mtu anayekuja kusema akiwekeza wewe usijenge bandari nyengine, yeye tu ndio awekeze bandari zote, sio kuuza nchi huko? kwanini msiseme wewe wekeza dsm port, wenzako pia waje wawekeze bagamoyo, mwingine aje awekeza Tanga, mwingine aje mtwara, mwingine yeyote au hata wewe wekeza tena kwenye maziwa n.k, ili kuwe na ushindani, ushindani ndio utaleta huduma bora zaidi na mmoja akidengua mwingine anafanya badala ya sasa dp world wakiamua kutufanyia fitna hakuna mwingine wa kuhudumia nchi, na bandari zote mmekabidhi mikononi mwake. mbona hakuna mtu anachukia uwekezaji? hakuna mtu anachukia mwarabu, na hakuna mtu anachukia dini? ila WATU WANASEMA BADILISHENI VIPENGELE VYA MKATABA, basi. mbona rahisi sana lakini mnajifyatua kujifanya hamuelewi?

na inakuwaje mnautetea sana bila hoja, kuna nini nyuma yake? tukisema kuna rushwa nyuma yake mtakataa? kati ya wanaopinga wote, nani kapinga mwarabu au mkataba? wote hoja imejikita kwenye vipengele vya mkataba na hadi sasa ilitakiwa kiongozi atoke atangaze kwamba tutakaa tubadilishe vipengele na mkataba urudishwe bungeni upya baada ya vipengele kubadilishwa. kitu kirahisi kama hiki kweli kinawashinda kufikiria hadi mmekuwa wajinga kama vipisi vya mmavi ya mbwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…