Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Sio Atheism!! Nakwambia hivi mzazi naye ni mtu na binadamu kama wengine.Atheism in action,
Hivyo na yeye anaweza kuwa Mjinga vilevile...
Mtu kwa mzazi haifanyi ujinga wake kuisha Akilini.
Think big!!! Sio unawaza kichwakichwa na kuendeshwa na Mihemko ya kihisia na kidini...!!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app