Sijivunii wazazi wangu

Sijivunii wazazi wangu

Atheism in action,
Sio Atheism!! Nakwambia hivi mzazi naye ni mtu na binadamu kama wengine.

Hivyo na yeye anaweza kuwa Mjinga vilevile...

Mtu kwa mzazi haifanyi ujinga wake kuisha Akilini.

Think big!!! Sio unawaza kichwakichwa na kuendeshwa na Mihemko ya kihisia na kidini...!!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kauli za namna hii kama hii ya kwako ndio zinalea ujinga na upumbavu.

Mzazi ni mtu pia na anaweza kuwa mjinga na Mpumbavu vilevile.

Maswala ya mzazi mzembe na mjinga kutumia kigezo cha "Uzazi na laana" kama defence mechanisms (silaha za kujilinda) ili asisemwe vibaya ni UJINGA na UPUMBAVU....

Imani za kidini zinalea ujinga na upumbavu hasa kwenye kuwatetea wazazi wezembe,wakwepa majukumu kwa kigezo eti ni wazazi.... Even parents can be Fools....

Over!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sijawahi kuona comment ya kipumbavu kama hii tangu huu mwaka uanze..🤣🤣, ila ni kukosa hekima na upumbavu kwa mzazi kutokuwajibika kwa mtoto wake..😎 Binafsi nina jua kwamba hata wajinga wanazeeka ndio maana sio kila mzee ana bisara. Pia hakuna laana inayo mpata mtoto kutoka kwa mzazi mpumbavu.
Isipokua....
Bado naendelea kusisitiza kwamba sio jambo jema kwa mtoto kumsema baba yake kwamba hadi leo anaishi kwao na hata mama yake ni singo mama, je kusema huku kunaweza kubadilisha nini hata kama hauwafurahii wazazi wako??
Naomba kuendelea kuwasisi tiza vijaba kwamba umasikini wa mzazi haumfanyi mtoto pia awe masikini, na kama hivyo ndivyo basi hakuna mtoto ambae angekubali kuazliwa na singo mama iwapo watoto wote wangepewa nafasi ya kuchagua wazaliwe na nani.
 
JF ina wazazi na wazazi watarajiwa, ushauri wangu ni kwamba wazazi jitahidini kujielewa na kutimiza majukumu yenu ipasavyo, acheni kutesa viumbe ambao hawakuwaomba muwalete duniani.

Punguzeni viburi na majivuno pindi ndoa/mahusiano yenye mtoto/watoto yanapovunjika, wekeni utaratibu mzuri wa kulea viumbe vyenu visivyo na hatia.

Mnachukulia poa lakini mnasababishia watoto wenu maumivu ya milele isipotokea devine intervention.

Na muendelee kuniombea nisijekuongoza hii wizara ya jinsia na watoto mtanyooka!
 
Ni kama vile umeshafanya maamuzi Tyr, endelea kuwatukana tu , tena ingefaa utafute kipindi Kwenye tv na radio uwatukane vzr
Hofu zako hazinizuii kutoa maoni..

Nakwambia hivi mzazi naye ni mtu na binadamu kama wengine Hivyo anaweza kuwa mjinga vilevile....

Mtu mjinga akiwa mzazi HAIFANYI ujinga wake kuisha Akilini....

U gar it????????

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
kulipiza kisasi!!! Nani kazungumzia hayo? we Ucsi men una shida kwa akili sio bure maana toka comment yako ya kwanza sikuelewi au wewe ni aina ya hawa wazazi mkuu jitahidi ubadilike maana soon watoto wako watakulaumu sana.
Mie hata unitukane nitakusamehe tu.... Pia sina mtoto kijana, bado niponipo sana.
Ebu rahisisha maisha, nenda mahakamani na ukawakane wazazi wako ili uipate amani..🤣🤣
 
Hofu zako hazinizuii kutoa maoni..

Nakwambia hivi mzazi naye ni mtu na binadamu kama wengine Hivyo anaweza kuwa mjinga vilevile....

Mtu mjinga akiwa mzazi HAIFANYI ujinga wake kuisha Akilini....

U gar it????????

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wale wale walio walaumu wazazi wao kwamba baba ni masikini na anaishi nyumbani kwao, mama ni singo maza na kisha nashukuru gavamentor kwa kumzaa, kumlisha, kumyonyesha, kumtibu, kumvisha na kumsomesha bure...😜😜
 
Sijawahi kuona comment ya kipumbavu kama hii tangu huu mwaka uanze..[emoji1787][emoji1787], ila ni kukosa hekima na upumbavu kwa mzazi kutokuwajibika kwa mtoto wake..[emoji41] Binafsi nina jua kwamba hata wajinga wanazeeka ndio maana sio kila mzee ana bisara. Pia hakuna laana inayo mpata mtoto kutoka kwa mzazi mpumbavu.
Isipokua....
Bado naendelea kusisitiza kwamba sio jambo jema kwa mtoto kumsema baba yake kwamba hadi leo anaishi kwao na hata mama yake ni singo mama, je kusema huku kunaweza kubadilisha nini hata kama hauwafurahii wazazi wako??
Naomba kuendelea kuwasisi tiza vijaba kwamba umasikini wa mzazi haumfanyi mtoto pia awe masikini, na kama hivyo ndivyo basi hakuna mtoto ambae angekubali kuazliwa na singo mama iwapo watoto wote wangepewa nafasi ya kuchagua wazaliwe na nani.
We nawe unakurupuka huko hujaelewa komenti yangu unakuja na Mihemko yako.

Ulicho kiandika wewe hapa ndicho kilichopo kwenye mantiki ya komenti yangu ya mwanzo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wale wale walio walaumu wazazi wao kwamba baba ni masikini na anaishi nyumbani kwao, mama ni singo maza na kisha nashukuru gavamentor kwa kumzaa, kumlisha, kumyonyesha, kumtibu, kumvisha na kumsomesha bure...[emoji12][emoji12]
Tatizo lako wewe unakurupuka huelewi unacho kiandika.

Nakwambia hivi mzazi naye ni mtu kama wengine Hivyo na yeye anaweza kuwa mjinga vilevile..

Mtu mjinga akiwa mzazi HAIFANYI ujinga wake kuisha Akilini..

Hofu zako za Kidini na kiimani zinakufanya kupinga komenti zangu....[emoji23][emoji23][emoji23]

That's the reality even parents can be Fools.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mie hata unitukane nitakusamehe tu.... Pia sina mtoto kijana, bado niponipo sana.
Ebu rahisisha maisha, nenda mahakamani na ukawakane wazazi wako ili uipate amani..🤣🤣
Me sijakutukana na wala siwezi kutukana mtu ambae simjui mkuu sifahamu umri wako wala unapotokea, Kiufupi wewe ndo umekuja kwenye uzi wangu kujaribu kunipinga na sijakulazimisha uniunge mkono maana pia haitosaidia chochote, ila kwa comments zako me nakuambia sijakuelewa hata kidogo vitu unavyoviandika naona kama vimekaa kulazimisha mtazamo wako uwe wangu ila haiwezi kuwa hivyo maana nimegundua bado kuna code umeshindwa kufungua kwenye uzi wangu... Unachonishauri mimi nakijua kabla ya kuanza kuandika kichwa cha uzi huu na nilitegemea pia kukutana na comments kama zako..... Advice yangu ni kwamba kama wewe ni aina ya wazazi wangu basi jitahidi ubadilike mapema.
 
We nawe unakurupuka huko hujaelewa komenti yangu unakuja na Mihemko yako.

Ulicho kiandika wewe hapa ndicho kilichopo kwenye mantiki ya komenti yangu ya mwanzo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tupigane kwa hoja mkuu, wala usikubali hasira iutawale moyo wako...😜
Kwahiyo unaona nisahihi kijana kumlaumu mama yake kwamba ni singo mama??
Na unaona ni hekima kwa kijana kumlaumu baba yake kwamba bado anaishi kwao na ndio maana hajivunii??
Yaani unaona niswa kabisa kijana anapo siaitiza kwamba anashukuru kusoma bure na bila hivyo asingefika hata kidato cha nne..!!
 
Wazazj wengine fucken kbsa kwn tuliwaomba kuja dunian mm nisingetuma hata mia aiseee kmmke
 
Tupigane kwa hoja mkuu, wala usikubali hasira iutawale moyo wako...😜
Kwahiyo unaona nisahihi kijana kumlaumu mama yake kwamba ni singo mama??
Na unaona ni hekima kwa kijana kumlaumu baba yake kwamba bado anaishi kwao na ndio maana hajivunii??
Yaani unaona niswa kabisa kijana anapo siaitiza kwamba anashukuru kusoma bure na bila hivyo asingefika hata kidato cha nne..!!
we sio mzima kweli, nani kalaumu? Nimelaumu au nimeeleza hali halisi kwahiyo badala ya kueleza hivyo ningeelezaje mkuu ebu niambie ningaeandikaje?
 
Tatizo lako wewe unakurupuka huelewi unacho kiandika.

Nakwambia hivi mzazi naye ni mtu kama wengine Hivyo na yeye anaweza kuwa mjinga vilevile..

Mtu mjinga akiwa mzazi HAIFANYI ujinga wake kuisha Akilini..

Hofu zako za Kidini na kiimani zinakufanya kupinga komenti zangu....[emoji23][emoji23][emoji23]

That's the reality even parents can be Fools.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Naungana nawewe mkuu, tena nilianza kumsema wajibu wa mzazi kwa mtoto wake pale kwenye comment ya mwanzo kabisa... and sijawahi kuwa mwenye hofu na bado hainifanye nibadikishe kile ninacho kiamini.
Yes, wazazi wapumbavu wapo, wezi wapo, vichaa wapo nakadhalika... ila hii sio kigezo ya kumfanya kijana amtukane ama ajutie kuzaliwa na mzazi wake kamwe sababu hakuna mtoto mwenye uwezo wa kuchagua azaliwe na nani.
 
Atheist in the making
Sema huna hoja! Sio unabadilisha mada Tuanze kudiscuss Atheist na Theist...[emoji23]

Back to the topic...!!

Nakwambia hivi mzazi naye ni mtu na binadamu kama wengine Hivyo anaweza kuwa mjinga vilevile.

Mtu mjinga akiwa mzazi HAIFANYI ujinga wake kuisha Akilini mwake.

U gar it?????

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
we sio mzima kweli, nani kalaumu? Nimelaumu au nimeeleza hali halisi kwahiyo badala ya kueleza hivyo ningeelezaje mkuu ebu niambie ningaeandikaje?
Ungeandika tu kwamba mama yako ni singo mama na baba yako bado anaishi kwao, lakini unapo jutia kuzaliwa nao minadhani unakosea kwasababu nature haikupi option ya kuchagua uzaliwe na baba/mama wa aina gani
 
Ebu nenda kaquote nilipoandika neno najutia, Mkuu mimi najitambua sana lait ungejua hilo au ungekuwa karibu nami ukapata uhalisia wa maisha yangu hadi hapa nilipo usingenipinga hata kidogo... Watu wenye ufahamu zaidi yangu huniambia nisahau na niwachukulie tu kama ndo mtihani wangu niishi nao kibishi kwa heshima ila sijawahi kupingwa hisia zangu juu ya yao.
 
Back
Top Bottom