Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Natamani iwe hivyo. Wanapwaya sana.

Mwigulu hana kabisa ethics, sasa hivi anatowa hotuba huku anavuta makamasi yake kooni, yanasikika kwenye tv. Hili jitu halina kabisa oersonality ya kuwa waziri.
Zamani ulifanikiwa kunidanganya. Niliamini kuwa unafahamu vizuri Kiswahili, kumbe sivyo.

Unafanya makosa mengi katika lugha.

Siyo 'kutowa', ni 'kutoa'.
 
Shida ni kwamba anashabikia Simba, washabiki wa Simba ni ....
 
Mkataba ni mwema sana ule kwa wenye kuelewa maana ya biashara za bandari.

Huwezi kuendesha biashara ya bandari yenye mafanikio duniani sasa hivi kama hauna chain ya biashara hiyo.

Wengi wenu mnaiuoinga mkataba wa awali wa IGA nawaona kuwa hamuelewi huo mkataba ulivyo.

Wewe tatizo lako ninii kwenye ule mkataba uliojadiliwa bungeni?

Naona majaliwa mpaka sasa hanjasema lolote kuhusu huo mkataba na yeye ndiye PM. Au alikuwa na uhusiano Na TICTS?
 
Mwisho wa Majaliwa inasemekana ni mwaka huu, ameshajua na ameshajiandaa, tatizo hajui atatolewa kwa gear ipi. Inaweza kuwa gear ya kiuungwana au fedheha.

Kwa sasa Majaliwa anateseka sana kisaikolojia, hana raha na hajui nini kitafuata.
 

Hilo jizi la kura hata likipigwa chini ni poa tu.
 
Mwisho wa Majaliwa inasemekana ni mwaka huu, ameshajua na ameshajiandaa, tatizo hajui atatolewa kwa gear ipi. Inaweza kuwa gear ya kiuungwana au fedheha.

Kwa sasa Majaliwa anateseka sana kisaikolojia, hana raha na hajui nini kitafuata.
Majaliwa ni Decent PM this country has ever had so far, leave aside the likes of Msuya..Malecela..Warioba..

He is the Next. Heshima hii lazima tumpe. No matter what, maana nyinyi maccm hampendani.

Ila Majaliwa deserves the green light as the best leader.

Undeni zengwe, ila mtaumbuka.
 
Wewe kibibi umetumwa kuleta ramli chonganishi? muondoeni tu ili mwendelee na dili lenu la kupiga bandari mnada.
 
mama sa100 shikamoo! lakini sisi hatuna amani mioyo yetu na DP world
 
Wewe kibibi umetumwa kuleta ramli chonganishi? muondoeni tu ili mwendelee na dili lenu la kupiga bandari mnada.
Kasome post namba moja. Nimetumwa na nafsi yangu.
 
Tigo wanatumaga meseji kuuuliza waziri mkuu ni nani ?
CCM mnaviziana muda wote.
Tunasubiri execution.
 
Hiyo mbona Kiislam ruksa.

Mwanamke wa Kiislam ndiyo haolewi na asiye Muislam.
Hii umeitoa wapi? mwanamke anaolewa upande wowote ule kwa sababu dini ni swala la mwanaume na siyo mwanamke.
 
Tigo wanatumaga meseji kuuuliza waziri mkuu ni nani ?
CCM mnaviziana muda wote.
Tunasubiri execution.
Hakuna kitu kama hicho.

Labda haja recover kjtoka kifo cha rafiki yake toka ujana wao au ana mengine ambayo yanamfanya abadilike.

Lolote lile, kwa upande wangu namuona hayupo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…