Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

Kila appy kwanzia x instagram na hata Google ukifuatia upuuzi itakupatia upuuzi , mimi naona tatizo lipo kwako kufuatilia upuuzi🤔
Ndg we mgumu kuelewa nahisi waalimu wako waliokufundisha walipata shida sana na wewe , ulirudia madarasa mara ngp ?
 
Kumbuka ile tiktok ni app kama ilivyo YouTube inatumia algorithm yakumsoma user kwa vitu anavopenda kuvitazama na kumuonyesha hivo vitu.

so kama unaviona hivo vitu kwenye app yako ujue kwamba hivo ni vitu unavopenda kutazama au algorithm inajaribu kuksoma kama utavipenda zaidi. So ni heri ukaviblock kama vinakuudhi, ila huyo jamaa anafikirisha kwakweli[emoji23].
 
Hhhh nimesoma halafu kuna mahala nikacheka , hoja yangu asilimia kubwa ya content za kule ni upuuzi , mbona telegram imesifika kwa malaya kujiuza
 
Nani anayekajua kale ka msemo ka Kiingereza kanakosema Great minds discuss...... akamalizie ili tujue mleta mada yupo kwenye kundi gani ukilinganisha na wanaume wa tiktok.
 
Duh Mapepo ya Kizaz Hichi

Tuskie Mtu anatolewa
Pepo la Challenge 👻

Mchungaji : Pepo la Challenge Tokaa out
 
100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…