Sijui ni kwanini nikiufikiria tu huu Uhusiano wa Kiushirikiano ufuatao naogopa sana

Umeshapoteza muda kuandika uzi wa kipuuzi..eti waziri mkuu na rais wa states wanaenda vatican..toa ushahidi sio unatuandikia porojo za kwenye kahawa....tupe facts je USA inategemea kitu gani kutoka vatican???
Ndugu mtanzania mwenzetu... Kabla hujaandika kitu kwa lengo la kupinga au kubisha nenda ukasome ufuatilie kwanza kwenye vitabu, majarida na mitandaoni.

Hao Vatican ndo waongoza dunia sasa kama hujui na aliyoyaandika huyo unayembishia ni kweli kabisa!
 
Kuna mfalme mmoja huko ulaya alileta za kuleta akajikuta anatembea kwa magoti kuelekea vatican kwa papa kuomba msamaha. Dola ya rumi ipo kimtindo (invisible) na ina nguvu kubwa duniani hakuna wa kuichezea, chezea vitu vingine lakini si vatican
Mwiba1
 
"Na taarifa ikufikie popote pale kuwa Vatican ni Taifa Kubwa Tishio lisiloonekana (Invisible) lenye Nguvu ya Ajabu ambayo hata Marekani na Israel hawana na ndiyo maana Wanaiogopa na Kuiheshimu"

UKWELI UNAOUMA NA ULIOTUKUKA!

Sema mkuu ukipiga vyombo unatiririkaga nyuzi za million dollars tu... weekend iheshimiwe 😅👍🏾🙌🏾
 
Washamba hawa hawajiamini .!!
 
Usiwe unatuletea stori za kwenye kahawa bwana njoo na evidence ni mfalme yupi na mwaka gani..
kwa taarifa yako huko kwenye kahawa ndiyo kuna stori nyingi za ukweli. Shangaa wakati wa vuguvugu kuelekea uchaguzi mkuu wanasiasa hutembelea vijiwe vya kahawa hata kama si wanywaji wa kahawa. Wananunua mabirika yote na kuwanywesha wanywaji wanywe tani yao. Unafikiri hao wanasiasa wanatafuta nini huko? Wanatafuta habari za ukweli wa mambo yanasemwaje, upepo unavumaje kuhusu kupata kura dhidi ya wapinzani wao. Usilete ubishi kwa mambo usiyoyajua kimizania ukweli wake upoje
 
Hii mada ipo levo za juu mno. Kwa upeo mdogo wa wtz walio wengi ninaowafahamu wataishia kukutukana tu
 
Nitasikitishwa sana kama BAKWATA watacounter tamko la TEC. Tutaingiza jamii kwenye mtanziko wa ajabu sana. Rais Samia, serikali yako na chama changu CCM kina watu makini kabisa wa kuweza kukuvusha hapa ulipo kwama.
Niambie yule Abdarah Burembo ambaye ni mshauri wa Rais katika siasa elimu yake ni ya namna gani, halafu mzee Butiku alishasema mhe.rais ndiye anayefanya hili jambo likue hivi kama angejitokeza na kusema kitu au kutoa ufafanuzi watanzania pengine wangemuelewa lkn badala yake amekaa kimya na kuwatuma wasaidizi wake, inashangaza sana.Na kujitokeza kwenye mambo kama haya ndio utamaduni wetu.
 
Na safari hii tutawachinja kama kuku, yaani nasubiri kwa hamu hawa jamaa wanavyojifanya wanajuaaaa, nina hasira nao kama zote, yaani natamani hata sasa hivi niondoke na kijiji
Machokocho ya upinde kweli ndio wa kupigana?
Njoeni tu tunawasubiri
umchinje nani kenge wewe? Kabla hujainua jambia lako utaanguka wewe
 
Kwani umeambiwa watu wanataka vita bro,hapo ndipo unapotofautisha Madrasa na Elimu ya kizungu
Sasa sisi hatuchanganyi hizo elimu kama nyie washamba ,eti mtu anajulikana Phd kwa kusoma theology 😅😅kisa kasoma kingereza basi anaonekana msomi mkubwa Tanzania.

Wewe mshamba kaa pembeni uwezo mdogo hao unaowategemea wameandika chapisho kwa kuungana ila bado wameandika utumbo kama watoto wa shule ya msingi sembuse wewe zero kabisa😅.
 
acha ujinga wa kidini jikite kwenye mambo ya msingi. Una mihemko ya kidini mjinga wewe. Wengine si wakatoliki na tunapinga uwepo wa uwekezaji tata wa bandari. Mkileta za kuleta nanyi mtakula za uso hata na wasio wakatoliki, kenge wewe mfia dini
 
Kukikubali = Admission of Guilty.
 
Yaani safari hii mmeyakanyaga aisee, tutawachinja kimya kimyaaaa,
Saanisasa
umchinje nani we mfia dini? Pumbavu zako, nimekuambia nchi imejaa wasio wakatoliki na hawakubaliani na vipengele tata vya huo mkataba. Unahemka kidini, waambie wafuasi wa dini yako nao watoe hoja kupinga au kuunga mkono mkataba tujue mbivu na mbivu. Acha ushabiki wa kidini
 
Hii mada ipo levo za juu mno. Kwa upeo mdogo wa wtz walio wengi ninaowafahamu wataishia kukutukana tu
Wanitukane mara ngapi Mkuu wangu? Maandiko ya GENTAMYCINE huwa ni Maalum kwa Watu Intelligent kama Wewe na Wenzako baadhi hapa JamiiForums na kamwe usitegemee nikawa Naeleweka na Wapumbavu wa Kutosha walioko hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…