GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #81
Hivi kweli kabisa Ulitegemea Mpumbavu kama huyo Anielewe Mimi GENTAMYCINE na huu Uzi wangu unaohitaji Akili Kubwa Kuuelewa?Ndugu mtanzania mwenzetu... Kabla hujaandika kitu kwa lengo la kupinga au kubisha nenda ukasome ufuatilie kwanza kwenye vitabu, majarida na mitandaoni.
Hao Vatican ndo waongoza dunia sasa kama hujui na aliyoyaandika huyo unayembishia ni kweli kabisa!
Cc: Mwiba1