Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
UPO!Kuna uhusiano wowote na secret society?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UPO!Kuna uhusiano wowote na secret society?
Ndugu mtanzania mwenzetu... Kabla hujaandika kitu kwa lengo la kupinga au kubisha nenda ukasome ufuatilie kwanza kwenye vitabu, majarida na mitandaoni.Umeshapoteza muda kuandika uzi wa kipuuzi..eti waziri mkuu na rais wa states wanaenda vatican..toa ushahidi sio unatuandikia porojo za kwenye kahawa....tupe facts je USA inategemea kitu gani kutoka vatican???
Mwiba1Kuna mfalme mmoja huko ulaya alileta za kuleta akajikuta anatembea kwa magoti kuelekea vatican kwa papa kuomba msamaha. Dola ya rumi ipo kimtindo (invisible) na ina nguvu kubwa duniani hakuna wa kuichezea, chezea vitu vingine lakini si vatican
Nilikuwa nasubiri u commentUnaolazimishwa ni ushoga tu. Chombo kikuu cha kueneza ushetani ni kanisa.
Washamba hawa hawajiamini .!!Hawawezi kutangaza vita hawa waoga hawa,
Mikwaraaa mingiii
Na hawajui kama sasa hivi watu wamejipanga, tena mpaka mapandikizi yao kwenye taasisi zetu tumeshawajua, na safari hii hawachomoki,
Saanisasa
Hakuna kurudi nyuma kwani iwe isiwe siku moja utaondoka tu kwahiyo vijana wa kiislamu wote tukutane pale kidongo chekundu siku ya ijumaa ijayo
UongoI wrote specifically for Intelligent ( Brainiac ) people like you and few others but not the Fools ( Morons ) you see.
kwa taarifa yako huko kwenye kahawa ndiyo kuna stori nyingi za ukweli. Shangaa wakati wa vuguvugu kuelekea uchaguzi mkuu wanasiasa hutembelea vijiwe vya kahawa hata kama si wanywaji wa kahawa. Wananunua mabirika yote na kuwanywesha wanywaji wanywe tani yao. Unafikiri hao wanasiasa wanatafuta nini huko? Wanatafuta habari za ukweli wa mambo yanasemwaje, upepo unavumaje kuhusu kupata kura dhidi ya wapinzani wao. Usilete ubishi kwa mambo usiyoyajua kimizania ukweli wake upojeUsiwe unatuletea stori za kwenye kahawa bwana njoo na evidence ni mfalme yupi na mwaka gani..
Hii mada ipo levo za juu mno. Kwa upeo mdogo wa wtz walio wengi ninaowafahamu wataishia kukutukana tuTEC + VATICAN + POPE = MAFIA, INTELLIGENT AND RICH PEOPLE (Precious Blood Brothers)
Halafu Rais yoyote wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Kisiri wakimaliza Kuapishwa tu lazima waende Vatican City kwa Pope ( Papa ) wakabusu Rozari na Msalaba wake.
Na taarifa ikufikie popote pale kuwa Vatican ni Taifa Kubwa Tishio lisiloonekana (Invisible) lenye Nguvu ya Ajabu ambayo hata Marekani na Israel hawana na ndiyo maana Wanaiogopa na Kuiheshimu.
Nawapongeza kwa Kushtuka mapema kabla ya Hatari yao kwa Mrembuaji Macho Kungu Mmoja na Kusalimu Amri kwa Zao lao Kuu Afrika Mashariki na Kuufyata Kwake.
Chezeni na Wote ila siyo hawa RCs!!!
Kwani umeambiwa watu wanataka vita bro,hapo ndipo unapotofautisha Madrasa na Elimu ya kizunguToa ujinga wako hapa.!!
Mlivyokuwa waoga wa vita ,jaribuni muone 😅😅.
Niambie yule Abdarah Burembo ambaye ni mshauri wa Rais katika siasa elimu yake ni ya namna gani, halafu mzee Butiku alishasema mhe.rais ndiye anayefanya hili jambo likue hivi kama angejitokeza na kusema kitu au kutoa ufafanuzi watanzania pengine wangemuelewa lkn badala yake amekaa kimya na kuwatuma wasaidizi wake, inashangaza sana.Na kujitokeza kwenye mambo kama haya ndio utamaduni wetu.Nitasikitishwa sana kama BAKWATA watacounter tamko la TEC. Tutaingiza jamii kwenye mtanziko wa ajabu sana. Rais Samia, serikali yako na chama changu CCM kina watu makini kabisa wa kuweza kukuvusha hapa ulipo kwama.
umchinje nani kenge wewe? Kabla hujainua jambia lako utaanguka weweNa safari hii tutawachinja kama kuku, yaani nasubiri kwa hamu hawa jamaa wanavyojifanya wanajuaaaa, nina hasira nao kama zote, yaani natamani hata sasa hivi niondoke na kijiji
Machokocho ya upinde kweli ndio wa kupigana?
Njoeni tu tunawasubiri
Sasa sisi hatuchanganyi hizo elimu kama nyie washamba ,eti mtu anajulikana Phd kwa kusoma theology 😅😅kisa kasoma kingereza basi anaonekana msomi mkubwa Tanzania.Kwani umeambiwa watu wanataka vita bro,hapo ndipo unapotofautisha Madrasa na Elimu ya kizungu
acha ujinga wa kidini jikite kwenye mambo ya msingi. Una mihemko ya kidini mjinga wewe. Wengine si wakatoliki na tunapinga uwepo wa uwekezaji tata wa bandari. Mkileta za kuleta nanyi mtakula za uso hata na wasio wakatoliki, kenge wewe mfia diniHawawezi kutangaza vita hawa waoga hawa,
Mikwaraaa mingiii
Na hawajui kama sasa hivi watu wamejipanga, tena mpaka mapandikizi yao kwenye taasisi zetu tumeshawajua, na safari hii hawachomoki,
Saanisasa
Hakuna kurudi nyuma kwani iwe isiwe siku moja utaondoka tu kwahiyo vijana wa kiislamu wote tukutane pale kidongo chekundu siku ya ijumaa ijayo
Kukikubali = Admission of Guilty.Kitabu chake chenye utata, In God's Name: An Investigation into the Murder of Papa John Paul I (1984), kilidai kwamba Papa John Paul I, alipatikana amekufa akiwa na umri wa miaka 65 katika vyumba vyake muda mfupi tu baada ya kuwa papa mnamo 1978, alitiwa sumu na Waashi wa siri waliokuwa wamejipenyeza Vatikani na Benki ya Vatican.
Wakaguzi, na Kanisa, walitupilia mbali kitabu hiki kama nadharia ya njama isiyo na msingi. Kitabu hiki kilitengeneza orodha ya Wauzaji Bora wa New York Times kwa wiki 15, kilitafsiriwa katika lugha nyingi, na kilichapishwa tena na tena, kikiuza zaidi ya nakala milioni sita.[1]
Kisa cha umafia kwa 'mhasibu wa mungu'Tafuta kitabu....Banco Ambrosiano
umchinje nani we mfia dini? Pumbavu zako, nimekuambia nchi imejaa wasio wakatoliki na hawakubaliani na vipengele tata vya huo mkataba. Unahemka kidini, waambie wafuasi wa dini yako nao watoe hoja kupinga au kuunga mkono mkataba tujue mbivu na mbivu. Acha ushabiki wa kidiniYaani safari hii mmeyakanyaga aisee, tutawachinja kimya kimyaaaa,
Saanisasa
Wanitukane mara ngapi Mkuu wangu? Maandiko ya GENTAMYCINE huwa ni Maalum kwa Watu Intelligent kama Wewe na Wenzako baadhi hapa JamiiForums na kamwe usitegemee nikawa Naeleweka na Wapumbavu wa Kutosha walioko hapa.Hii mada ipo levo za juu mno. Kwa upeo mdogo wa wtz walio wengi ninaowafahamu wataishia kukutukana tu