Sijui ni kwanini nikiufikiria tu huu Uhusiano wa Kiushirikiano ufuatao naogopa sana

DOLA YA WARUMI ILISHAJIFIA, IMEBAKI KWENYE MGONGO WA KANISA TU. HAWANA TEKNOLOJIA HAWANA UCHUMI IMARA NK
WARUMI WALIKUWA ZAMANI.
NGUVU ZA KIDINI ZINA FIFISHWA TARATIBU NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA.
WARABU WENYEWE BADO WANATUMIA MKONO WA CHUMA KUJISIMIKA, WAKIWEKA DEMOKRASIA NAO WATAKUWA HAWANA NGUVU ZOZOTE KATIKA NCHI ZAO.
SCIENCE AND TECHNOLOGY IS S POWERFUL WEAPON TO PARALYZE ALL RELIGION DOGMAS.
 
Hilo nalo naomba mkalitizame
 
Umeandika Utopolo wa wiki,
 
Toka nilivyo sikia habari za wajesuit Toka siku hiyo niliona kanisa katoliki siyo dhehebu la Dini Bali ni Empire, hao Jesuit ndiyo wanasimamia parokia ya msimbazi center hao ni zaidi ya makachero ndani ya kanisa, serikali ikijitenga na Roma itapata anguko kubwa na la aibu na balozi wa Papa hayuko nchini kama Pambo hao Wana agenda nyingi Sana,
 

Pole sana,ila usa ndio baba wa dunia hii hao wengine ni vibaraka tu na vita vya ukraine watu wanauziana silaha na kutoka na utajiri ndio mana mpaka leo hakuna mshindi its all about bidness.

Ukitaka ujue ukubwa wa usa jaribu kununua mafuta nje ya mfumo wa dola.

Hayo machanjo madawa unayotumia wewe na ukoo wako bila dola mtakufa kama vibudu.
 

Kieneo ni dogo sana,ila kumbuka roman empira ndio empire kubwa kuhawi kutwala dunia nzima hakujawahi tokea empire kubwa kwama hiyo katika historia ya dunia.

Kama hoja ya udogo kumbuka pia British ilitawala sehemu kubwa ya dunia.

Hatutazami ukubwa wa eneo tunatazama nguvu na uwezo wa kimamlaka. Get your senses.
 
Wanaenda kisiri Vatican kubusu Rozari na Msalaba halafu wewe ukajua! Ahahahahaha!!!
 
Roman empire ilikufa 476 AD. So far brittish empire ndio kubwa kuliko maana inamiliki na ina say kubwa katika colony zake zote mpaka leo kimikataba. Najua mapadre wenu ndio wanawajaza ujinga ya kwamba wingi wa waumini na makanisa yenu ndio power yenyewe huo ni uongo. Drop some facts not conjectured bullshitts
 
Acha uoga..bandari achukue mwarabu tu hao roman ni kenge tu walishapitwa na wakati
 
Aisee umendika point kubwa sana maana huyu kenge anaonekana kanywa maji ya bendera ya rumi...rumi ni tawala iliyokufa huko miaka 476AD wamebakiza nguvu yao kwenye makanisa tu wakati wenzao wanainvest kwenye nishati na technology wao wanategemea sadaka za makenge kama hili cc GENTAMYCINE
 
Bi-polar! We una shida ya akili
Umekosa point mgongo wazi wewe alafu mshamba tu umekaa ulaya ganI miaka 20+ wakati unaonekana huna exposure. Hujawahi kufika rome kenge wewe maana ungefika usingeandika upuuzi huu mbwa mwitu wewe rome kijiji tu kwa states rome inategemea sadaka za waumini tu hakuna kitu
 
Mwiba1 Kuzaliwa na Upumbavu wa Kudumu unategemea kweli akuelewe au anielewe na Mimi pia Mkuu?

Ungempuuza tu kama nami nilivyompuuza ila Asante kwa Elimu Kubwa uliyompa ambayo hata hivyo kutokana na Upumbavu wake huo bado atakubishia tena.
 
Matusi ni dalili ya Umasikini wa Akili.
 
Sasa we nguruwe pori unamtisha nani kusema tutangaze vita hadharani?

Yaani unamtisha nani kwa mfano?..
 
Watu wengi duniani ni mabogus
 
Rubbish
 
Nimesoma nimecheka kimya kimya sema watanzania bado akili zetu hazichakati mambo vizuri topic ya genta haijakaa kidini hata kidogo katoa skeleton namna world intelligence ilivyo watu tumekimbilia udini tunachukua vitu kwa mihemko sana
TUkizungumzia bandari wao wanakuja na udini, imekuja issue ya walaka tena isiyotaja mambo ya uislam wao washakomalia udini, tena hawataji kabisa katiba ktk story zao, naweza sema most are stupid
 
Nyie hamuwezi kuwashinda christ hata mkeshe masjid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…