Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kelele nyiiiingi! Huko unapopataja tumeishi miaka zaidi ya 20, kila chocho na lifestyle tunazijua unakuja kupiga kelele hapa. Kuna maisha yasioonekana kwa macho ya kawaida wala kusikika na masikio ya kawaida na huwezi kujua, kusikia wala kuona unless uwe mfatiliaji na smart enough kichwani! Huwezi kuelewaPadri wako ndivyo alivyokuaminisha?? Dunia iko chini ya USA pamoja na ISRAEL na UINGEREZA na kama unabisha mwambie mama aseme suu kwa hizo nchi mbili. Papa kila siku anatukanwa uarabuni huko. Mtukane malikia basi tuone sakata lake.
Malkia wa wapi na wewee? Malkia ashakufaga hujui hataPadri wako ndivyo alivyokuaminisha?? Dunia iko chini ya USA pamoja na ISRAEL na UINGEREZA na kama unabisha mwambie mama aseme suu kwa hizo nchi mbili. Papa kila siku anatukanwa uarabuni huko. Mtukane malikia basi tuone sakata lake.
Just like I fathom my being.🙏If its invisible how come you know that it exists 🤔
Vitu havionekani wala kusikika wewe umevisikia wapi..huko hujaishi peke yako sio lazima tukufungulie mafaili..nchi zenye military power zinajulikana..wewe huna exposure acha kukaa vijiweniKelele nyiiiingi! Huko unapopataja tumeishi miaka zaidi ya 20, kila chocho na lifestyle tunazijua unakuja kupiga kelele hapa. Kuna maisha yasioonekana kwa macho ya kawaida wala kusikika na masikio ya kawaida na huwezi kujua, kusikia wala kuona unless uwe mfatiliaji na smart enough kichwani! Huwezi kuelewa
Vatican isikie hivyohivyo!
Its yet another myth as no one has ever seen that space technology?🤔Just like I fathom my being.🙏
mnawashwa acheni ujingaHawawezi kutangaza vita hawa waoga hawa,
Mikwaraaa mingiii
Na hawajui kama sasa hivi watu wamejipanga, tena mpaka mapandikizi yao kwenye taasisi zetu tumeshawajua, na safari hii hawachomoki,
Saanisasa
Hakuna kurudi nyuma kwani iwe isiwe siku moja utaondoka tu kwahiyo vijana wa kiislamu wote tukutane pale kidongo chekundu siku ya ijumaa ijayo
Yaani inAshangaza kwakweli kila sehemu wanatangaza vita duh! ugali unawasumbuaNimesoma nimecheka kimya kimya sema watanzania bado akili zetu hazichakati mambo vizuri topic ya genta haijakaa kidini hata kidogo katoa skeleton namna world intelligence ilivyo watu tumekimbilia udini tunachukua vitu kwa mihemko sana
ushetani nikitu gani?Unaolazimishwa ni ushoga tu. Chombo kikuu cha kueneza ushetani ni kanisa.
Leta picha!SAMIA MUDA
unataka kunichosha kufungua vitabu vya historia nini? Pambambana na waraka wa TEC kwa hoja, ukichomoka hapo nitag tuendelee na mjadala bila jazbaHujajibu hoja ni mfalme gani huyo ebu tupe jina na aliongoza mwaka gani?? Alafu toka lini uingereza mfalme akawa na nguvu wakati nchi inaongozwa na malkia?? Rudi tena kijiweni kwako waagizie kahawa wakufafanulie
TEC + VATICAN + POPE = MAFIA, INTELLIGENT AND RICH PEOPLE (Precious Blood Brothers)
Halafu Rais yoyote wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Kisiri wakimaliza Kuapishwa tu lazima waende Vatican City kwa Pope ( Papa ) wakabusu Rozari na Msalaba wake.
Na taarifa ikufikie popote pale kuwa Vatican ni Taifa Kubwa Tishio lisiloonekana (Invisible) lenye Nguvu ya Ajabu ambayo hata Marekani na Israel hawana na ndiyo maana Wanaiogopa na Kuiheshimu.
Nawapongeza kwa Kushtuka mapema kabla ya Hatari yao kwa Mrembuaji Macho Kungu Mmoja na Kusalimu Amri kwa Zao lao Kuu Afrika Mashariki na Kuufyata Kwake.
Chezeni na Wote ila siyo hawa RCs!!!
I'm sorry sir , it's how you comprehend the word invisible don't take it too contemplative for it will loose the meaning of the intent described.Its yet another myth as no one has ever seen that space technology?🤔
hayo mawazo yako ahyana ukweli wowote na mengine uzushi wako hakuna unalojuaTEC + VATICAN + POPE = MAFIA, INTELLIGENT AND RICH PEOPLE (Precious Blood Brothers)
Halafu Rais yoyote wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Kisiri wakimaliza Kuapishwa tu lazima waende Vatican City kwa Pope ( Papa ) wakabusu Rozari na Msalaba wake.
Na taarifa ikufikie popote pale kuwa Vatican ni Taifa Kubwa Tishio lisiloonekana (Invisible) lenye Nguvu ya Ajabu ambayo hata Marekani na Israel hawana na ndiyo maana Wanaiogopa na Kuiheshimu.
Nawapongeza kwa Kushtuka mapema kabla ya Hatari yao kwa Mrembuaji Macho Kungu Mmoja na Kusalimu Amri kwa Zao lao Kuu Afrika Mashariki na Kuufyata Kwake.
Chezeni na Wote ila siyo hawa RCs!!!
Bi-polar! We una shida ya akiliVitu havionekani wala kusikika wewe umevisikia wapi..huko hujaishi peke yako sio lazima tukufungulie mafaili..nchi zenye military power zinajulikana..wewe huna exposure acha kukaa vijiweni