ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,962
tutatumia wese jingi sana.Sawa mkuu ukishaukwaa

Sawa mkuu mgandotutatumia wese jingi sana.
mgando ni mafuta mazito yatachana mkeka mapema, yapo mafuta special vilainishi maalumu..Sawa mkuu mgando
Mgandomgando ni mafuta mazito yatachana mkeka mapema, yapo mafuta special vilainishi maalumu..
labda Vaseline, na lingine na weka kwenye sikio kama akibaMgando
Mgando babyCarelabda Vaseline, na lingine na weka kwenye sikio kama akiba
nitamuuliza anapendelea yepiMgando babyCare
Mgandonitamuuliza anapendelea yepi
imeisha hiyo wacha nika wawakilisheMgando
😂😂😂 hupo vizuri kweny hadhi za kutunga sema ometupa funzoMimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu.
Nilipoingia darasa la sita, familia iliniamini sana. Nilikuwa nakaa kwa dada yangu mkubwa, alinihudumia kama mama. Shemeji yangu, mume wa dada yangu, alikuwa kama baba kwangu. Lakini usiku mmoja uliharibu kila kitu, alinibaka. Nilijichukia sana.
Dada yangu hakutaka kusikia haya mambo, alisema namkosea heshima mume wake. Nilikuwa nalia kila usiku. Hakuna aliyeniona, hakuna aliyeniuliza, "Uko sawa?"
Miaka ikaenda, niliendelea kusoma, lakini nikawa siyo yule yule tena. Nilianza kuwa na hasira na wanaume, nikawa siamini mtu yeyote. Nilijifundisha kuficha chuki yangu ndani ya tabasamu, na nikaanza mpango wangu wa kulipa kisasi. Bila kujua, nilikuwa nimeambukizwa virusi vya UKIMWI na shemeji yangu.
Nilipofika chuoni, nikageuka kuwa mtu mwingine. Nikawa natafuta wanaume, hasa waliooa. Nilikuwa nawafanya wanione kama mwanamke wa ndoto zao. Nikawaambia maneno wanayotaka kusikia, nikawapa mapenzi ya kuwakoleza, na baada ya hapo, nilihakikisha wanakuwa sehemu ya kisasi changu.
Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi wao ni waume za watu, viongozi wa makanisa, walimu, wafanyabiashara, na sijawahi kuwaambia ukweli. Niliamini kama mimi niliumizwa bila huruma, basi nitafanya dunia yote ilie pamoja nami.
Lakini leo… leo nimechoka kuvaa tabasamu la kishetani huku nikiungua kwa ndani. Najua ninachokifanya si sahihi, lakini je, ni nani aliyenisaidia kipindi nilipokuwa nalia na unyanyasaji niliofanyiwa?
Siombi huruma yenu, maana ni mfu mtarajiwa. Naomba ushauri tu. Je, naweza kubadilika? Nawezaje kuiponya nafsi yangu yenye uchungu? Nawezaje kurudisha utu wangu uliopotelea kwenye visasi?
■ Kama una jambo linakutatiza, usikae nalo. Linaweza kuharibu hatima ya maisha yako. Tushirikishe, tusaidiane na tushauriane. Nitumie ujumbe WhatsApp: 0716 101690
View attachment 3426643
SawaMimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu.
Nilipoingia darasa la sita, familia iliniamini sana. Nilikuwa nakaa kwa dada yangu mkubwa, alinihudumia kama mama. Shemeji yangu, mume wa dada yangu, alikuwa kama baba kwangu. Lakini usiku mmoja uliharibu kila kitu, alinibaka. Nilijichukia sana.
Dada yangu hakutaka kusikia haya mambo, alisema namkosea heshima mume wake. Nilikuwa nalia kila usiku. Hakuna aliyeniona, hakuna aliyeniuliza, "Uko sawa?"
Miaka ikaenda, niliendelea kusoma, lakini nikawa siyo yule yule tena. Nilianza kuwa na hasira na wanaume, nikawa siamini mtu yeyote. Nilijifundisha kuficha chuki yangu ndani ya tabasamu, na nikaanza mpango wangu wa kulipa kisasi. Bila kujua, nilikuwa nimeambukizwa virusi vya UKIMWI na shemeji yangu.
Nilipofika chuoni, nikageuka kuwa mtu mwingine. Nikawa natafuta wanaume, hasa waliooa. Nilikuwa nawafanya wanione kama mwanamke wa ndoto zao. Nikawaambia maneno wanayotaka kusikia, nikawapa mapenzi ya kuwakoleza, na baada ya hapo, nilihakikisha wanakuwa sehemu ya kisasi changu.
Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi wao ni waume za watu, viongozi wa makanisa, walimu, wafanyabiashara, na sijawahi kuwaambia ukweli. Niliamini kama mimi niliumizwa bila huruma, basi nitafanya dunia yote ilie pamoja nami.
Lakini leo… leo nimechoka kuvaa tabasamu la kishetani huku nikiungua kwa ndani. Najua ninachokifanya si sahihi, lakini je, ni nani aliyenisaidia kipindi nilipokuwa nalia na unyanyasaji niliofanyiwa?
Siombi huruma yenu, maana ni mfu mtarajiwa. Naomba ushauri tu. Je, naweza kubadilika? Nawezaje kuiponya nafsi yangu yenye uchungu? Nawezaje kurudisha utu wangu uliopotelea kwenye visasi?
■ Kama una jambo linakutatiza, usikae nalo. Linaweza kuharibu hatima ya maisha yako. Tushirikishe, tusaidiane na tushauriane. Nitumie ujumbe WhatsApp: 0716 101690
View attachment 3426643
Km ile yako kiongozi ya kujitumia sms kupitia simu mbili tofauti…!! 😹😹Story za kutunga
Mzee naona style yako ya kuosha rungu 🤣Huyu demu yuko wapi tufanye partnership nae...mie pia na ukimwi na sijui wangapi nimewaambukiza.
Huyu atafaa tuwe bonny and clyde